Sifa ya Serikali corrupt, sio maneno yangu nimecopy and paste kwa mwl mzee wetu Julius Nyerere Enzi za uhai wake but still Bado anaishi hata sas
1: haikusanyi Kodi
2: inamzigo wa madeni (i.e deni la taifa)
3: inatumwa na wenye mali
4: inawafanyia kazi wenye mali
5: inafukuzana na vijitu...
Sijui tunakwenda wapi hipo siku utasikia Hospitali imefungwa watumishi wote mpaka muhudumu wa mwochari naye kaenda beach.
Kama mahakama zishafikia huku tumekwisha.
Kuna mkoa wa X sitaki kutaja unapopatikana madini ya dhahabu ukisifika wilaya yake.
Kwa hiyo wenye kesi au tunataka kesi tusubiri...
📸Tokyo, Japan
NB: Mada hii imekuwa direct translated from English to Swahili kwa kutumia ChatGPT 4
Chini ya mradi ujulikanao kama JICA Africa Hometown Initiative, Shirika la Ushirikiano wa Kimataifa la Japan (JICA) limeweka miji ifuatayo nchini Japan kuwa "miji ya nyumbani" kwa raia wa baadhi...
Hivi karibuni kumezuka trend ya waandishi na Youtube duniani kote kwenda maeneo ya wahadzabe na kuwashangaa na kuwachukua video kuonesha maisha yao ikiwemo Ulaji wa nyani, uzamani wao, lugha yao isiyotamkika wala kuandikika na vingine vingi ambavyo kwa dunia ya leo ni aibu au ni kushangaa...
Aliongeza kuwa Wizara ya Fedha imeidhinisha bajeti ya dharura ya dola milioni 18.7 ili kuushughulikia mzozo huo. Rais Duma Boko alisema jeshi litasimamia usambazaji wa dawa za dharura, huku shehena za kwanza zikiondoka mara moja katika mji mkuu wa Gaborone na kuyapa kipaumbele maeneo ya vijijini...
Habari wanajamvi,
Kwanza kabisa naomba nianze kwa kudeclare my interest. Katika maisha yangu yote sijawahi hata siku moja kujihusisha na siasa kwa namna yoyote ile. Sijawahi kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa, wala sikuwahi kufungamana na itikadi za kisiasa za upande wowote. Mimi si...
Kwa hasira sana natafakari ni kwanini tume block uwezo wetu wa kufikiri.
Kwanini tuna kariri ni lazima tuwe na ma-vyama ya kichawa- chawa na wanasiasa- waongo waongo ndiyo watuongozee nchi yetu
Sehemu nyingine wanakua na familia fulani inawatawala bila ukomo, ata kama hao watu ni ma-kenge au...
Tunapata wapi Raha ya kujivunia kuzaliwa kwenye hili TAIFA kama kweli keki inatafunwa tena kwa ufisadi na wanasiasa na wafanyabiashara.ebu ndugu zangu niwekeni wazi ufisadi huu wa kutisha kila sehemu NI kweli au basi Tu watu kuchafuana.
Kuanzia tunazaliwa na kujitambua tuseme awamu ya mkapa...
WANAJESHI/ POLISI NA USALAMA WAFUNDISHWE UJASIRI WA KUPINGA DHULMA NA KUTETEA HAKI NDANI YA NCHI. HUO NDIO UJASIRI WA KWELI NA SIO VINGINEVYO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Moja ya sifa kuu za mwanajeshi na askari ni kuwa JASIRI na ili Mwanajeshi aitwe Jasiri lazima awe jasiri wa kupigania...
Tatizo hawa waTanzania hawasimamii ukweli iweje usome hadi Phd ktk elimu ya miamba,maji,utabibu,uchumi,nk halafu usiifanyie kazi taaluma yako ukimbilie siasa/ubunge usio fani yako upige na magoti kuomba kura kwa wasio wasomi kama siyo ujinga ni nini??
Nani mjinga hapo asiyesoma ambaye...
Hoja hii hailengi kuamsha chuki dhidi ya imani yoyote, bali kutahadharisha kuhusu hatari ya kuingiza udini kwenye siasa. Tanzania ni ya wote bila kujali dini, dhehebu, kabila au historia.
Kwa miaka mingi walikuwa na "access pass" ya moja kwa moja hadi juu kabisa ya mamlaka. Walizoea kumuona...
Ni kwa zaidi ya miezi sita sasa namba za huduma kwa wateja za TARI za kanda zote hazipatikani.
Pili website ya TARI kuto-update uwepo wa mbegu mpya unaweza ukakuta mbegu mpya kwenye PDF ila kwenye website haja update ndani ya mwaka sasa
Pia Tantrade walikuwa wanaweka bei za bidhaa kama...
Inawezekana kabisa Watu wameridhika kwakua wanaishi vizuri kupitia Wana mtandao.
KOSA kubwa tunalolifanya kama Nchi ni kutokuwaza THAMANI YA RASILIMALI ZETU MIAKA MICHACHE IJAYO !!.
Katika Wakati ambao Thaman ya Rasimali zetu itakua juuu zaidi, ndio wakati ambao Serikali itakua Haina chochote...
Uwezi kulalamika pesa fulani au nchi imekuwa kikwakozo na biashara.Sasa
Kuna watu ukiweka mada naomba washindane bei ya nyama ya ng’ombe kujibu mada tu.
Maana inaweza kuwa betting
---
1. Kukuza Utawala Bora na Haki kwa Wote
Watanzania wanahitaji kuona haki ikitendeka bila upendeleo. Uwazi katika uongozi, kusikiliza wananchi, kushughulikia kero zao kwa wakati ni msingi wa kuondoa manung’uniko na kuimarisha mshikamano.
2. Kuweka Msingi wa Usawa Katika Fursa
Fursa za...
Kuna sehemu hata uwe na pesa kiasi gani hauwezi kuzifikia au kuingia nchi za aazungu.
Pia kuna vifaa hata uwe na pesa kiasi gani hauwezi uziwa hii ni kwa nchi za wazungu tu.
Haya njoo hapa AFRICA ni sehemu gani ukiwa na pesa hapa africa hauwezi kufika au kuingia?
Au ni kitu gani hapa AFRICA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.