nchi

  1. S

    JamiiForums Tanzania Ifikie mahali tuelewe na kukubali kuwa Rais wa Tanzania ana uhuru wa kuvunja Katiba ya nchi kwa makusudi, na hakuna utaratibu wa kuzuia hilo kwa sasa

    Maneno mengi sana yanasemwa nchini kuwa mara nyingi Rais Magufuli anavunja katiba ya Jamhuri ya Tanzania kwa makusudi. Nakiri kuwa hata mimi kuna wakati nilishazungumzia hilo. Baadae nilijiuliza ikiwa mimi ningekuwa ndio Magufuli, nikijua ninaweza kuvunja katiba kimakusudi na hakuna utaratibu...
  2. JamiiForums Tanzania Italia Ni nchi ya majitu uingereza ni vijitu

    Kama unawafahamu wazungu basi utaweza kuwatofautisha kwa muonekano waitalia Ni majitu makubwa yenye nywele nyeusi na Ni white redish waitalia wengi wana nywele nyeusi ila waingereza Ni vijitu vidogo ila vyenye akili wajerumani warefu wakubwa wasweden Ni weupe pyeeee na wanorwy pia wanafanana na...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe ni mwanasiasa aliyekomaa huwezi kumsikia anaisema vibaya Serikali ya nchi yake hovyo hovyo!

    Katika hili swala la ukomavu wa kisiasa kiukweli Mbowe namsifu, hutamsikia akiisema vibaya serikali kwa utaratibu wa hovyo hovyo. Kuna wakati huwa najiuliza kama yule Boss wa ACT wazalendo angekuwa ndio KUB sijui hali ingekuwaje? Maana huwa anaongea lolote, popote tena bila utaratibu...
  4. JamiiForums Tanzania Nini Tafsiri sahihi ya Uchumi wa Kati?Je, nini faida ya kuwa nchi ya uchumi wa kati?

    Kuna msemo maarufu ambao unatumika sana na viongozi wetu wa kisiasa kuhusu lengo la taifa letu kuwa taifa la uchumi wa kati.Katika vipimo vya uchumi wa dunia nchi ya uchumi wa kati ni nchi ambayo raia wake wanalo pato la TZS 3,000,000 kwa mwaka hadi TZS 30,000,000 ambayo ni sawa na pato la kati...
  5. JamiiForums Tanzania Faru 9 weusi waingizwa nchini kutoka Afrika Kusini ikiwa ni jitihada ya kurejesha jamii hiyo iliyo hatarini kutoweka

    Faru 9 weusi wameingizwa #Tanzania kutoka Afrika Kusini ikiwa ni jitihada za kurejesha jamii hiyo ya faru iliyopo hatarini kutoweka, kutokana na ujangili uliofanyika kipindi cha nyuma. Shirika la CITES, linalohusika na wanyama waliopo hatarini kutoweka linakadiria hadi 2015 kulikuwa na faru wa...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa uchafu unaoendelea nchi nzima ni vema Waziri wa Tamisemi akajiuzulu au atimuliwe

    Huu ujinga unaotendwa na watendaji wa vijiji na kata nchi nzima wa kuhakikisha fomu za wagombea wa upinzani hazipokelewi kwa udi na uvumba, haujawahi kuwepo kwa kiwango kama hiki tangu nipate akili, sijawahi kuona serikali ya ccm isiyojiamini kama hii tangu nchi hii iachwe na wakoloni, ni aibu...
  7. JamiiForums Tanzania China yazindua 5G technology nchi nzima. Mitandao yote ya simu kutoa 5G kuanzia Ijumaa

    Serikali ya China imetangaza kuanzia Ijumaa ya kesho tarehe 2 Nov, mitandao yote ya simu China itaanza kutoa huduma ya 5G na kufikia mwisho wa mwaka huu inategemewa sehemu kubwa ya miji ya China itakuwa na huduma ya mtandao wa 5G. Hii ndio itakuwa huduma kubwa zaidi ya mtandao wa 5G duniani...
  8. JamiiForums Tanzania DC wa Tunduru Julius Mtatiro, asimamia upigaji viboko kwa watoto Watoro Issa na Farid

    Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Ndg. Julius Mtatiro ameendeleza kampeni ya kiwilaya ya kupambana na utoro sugu, nidhamu za wanafunzi na mimba za utotoni wilayani Tunduru, na leo amewaelekeza walimu kuwaadhibu watoro sugu mbele ya wazazi wao na amezionya pande zote zinazohusika na uzembe huo. Katika...
  9. JamiiForums Tanzania Zanzibar yaanza kutoa vitambulisho vipya vya ukazi kwa wananchi wake

    Serikali ya Zanzibar imeanza kutoa vitambulisho vipya vya ukazi kwa wananchi wa Zanzibar ==== Uzinduzi wa Vitambulisho vipya vya Kieletroniki (SMART CARDS) vya Mzanzibar mkaazi. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipokea Kitambulisho kipya cha...
  10. JamiiForums Tanzania Mambo kumi unatakiwa kujua kuhusu nchi ya Congo

    THE AFRICAN VISION October 28, 2019 Teknolojia ya ulimwengu inategemea congo kwa sababu ina 80% ya coltan ya ulimwengu (madini ambayo husaidia kuendeleza teknolojia ya ulimwengu. Congo ni nchi ya pili kubwa barani Aafrika.ifani na saizi ya Ulaya ya Magharibi. Congo ndio nchi yenye misitu...
  11. JamiiForums Tanzania Ni nchi zipi ungependa uishi tofauti na Tanzania?

    Habari wakuu Mada hapo juu yahusika..Binafsi ukiacha Tanzania nchi zifuatazo napenda kuishi mazima 1.Canada, Naipenda tuu kwa kuwa huwa sisikii matukio yoyote ya ubaguzi kuuana vurugu za kisiasa nk.Kiufupi napenda sana Canada hata uchumi uko stable 2.Australia Hii nayo ina sifa kama za Canada...
  12. JamiiForums Tanzania Wazimbabwe waandamana kupinga vikwazo vya Marekani na EU kwa nchi hiyo

    Maelfu ya wananchi wa Zimbabwe jana waliandamana kumuunga mkono Rais Emmerson Mnangagwa kupinga vikwazo vilivyowekwa na Marekani pamoja na Umoja wa Ulaya dhidi ya nchi hiyo. Marekani na Ulaya imewawekea vikwazo maafisa wengi waandamizi wa Zimbabwe pamoja na Rais Mnangagwa kwa madai ya kukiuka...
  13. JamiiForums Tanzania Chozi la nchi yangu Tanzania

    Tanzania ni Jamhuri, na ni muungano wa nchi 2, yaani Tanganyika na Zanzibar,kabla ya mwaka 1884, hapakuwa na historia ya nchi iliyoitwa Tanzania, isipokuwa zilikuwa ni tawala cha kichifu, kitemi kutegemeana na makabila ya maeneo mbali mbali yalipopatikana katika eneo ambalo hapo baadae liliitwa...
  14. J

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro awaonya watakaojaribu kuvuruga uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa 2020

    Inspekta Jenerali wa polisi Simon Sirro ametoa onyo kali kwa wote watakaojaribu kuvuruga uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa 2020. Kamanda Sirro amesema jeshi lake limejipanga sawasawa kukabiliana na sintofahamu yoyote endapo itajitokeza. IGP Sirro ameyasema hayo jijini Mwanza...
  15. JamiiForums Tanzania Pale Gerezani Mukamira Rwanda wapo kila raia kutoka nchi zote A.Mashariki, hasa wakosoaji wakuu wa utawala na utalazimishwa kukiri kosa au kuuawa

    Pale Gerezani walinambia kwamba bora ukili kosa ama unauwawa hapa hapa, anasimulia mtekwaji "Nakumbuka ilikuwa usiku wa manane wakaja watu nisiowajua wakaingia Nyumbani kwangu, wakakagua simu yangu na mawasiliano nayofanya kwa kila mtu , bahati mbaya Sana walikuta nawasiliana na wanaharakati...
  16. JamiiForums Tanzania CCM: Tunayataka mataifa yote duniani yaliyoiwekea vikwazo nchi ya Zimbabwe kuondoa vikwazo hivyo mara moja

    Makamu Mwenyekiti wa CCM BARA ataongea na umma juu ya msimamo wa chama na diplomasia ya kimataifa kutokea Ofisi ndogo za CCM - Lumumba. UPDATE Itakumbukwa kwamba Mkutano wa 10 wa Vyama vya Ukombozi vya Kusini mwa Afrika uliofanyika Zimbabwe tarehe9-12 Septemba 2019 uliazimia Vyama kupaza sauti...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akutana na viongozi wa Taasisi ya Mashauriano ya Kisheria kwa Nchi za Asia na Afrika

    viongozi wa Taasisi ya Mashauriano ya Kisheria kwa Nchi za Asia na Afrika (AALCO) ambao wanahudhuria mkutano wa 58 unaofanyika hapa nchini kwa siku 5 ukiwakutanisha wajumbe kutoka nchi wanachama 49 na mashirika mbalimbali. Viongozi wa AALCO waliokutana na Mhe. Rais Magufuli ni Rais wa AALCO...
  18. JamiiForums Tanzania Rwanda na Urusi waingia kwenye makubaliano ya nyuklia

    Hongera sana Rwanda, kainchi kadogo kiasi cha mkoa lakini kanaskika na kutikisa... Raisi wa Urusi, Vladmir Putin amesema kuwa nchi yake inaweza kuisaidia Afrika bila masharti ambayo huambatanishwa kwenye misaada ya mataifa ya magharibi. ''Tunaona jinsi mataifa ya magharibi yanavyotoa...
  19. JamiiForums Tanzania Tuelimishane: Malengo ya kuteua balozi bila kumpa nchi ya Ubalozi ni nini hasa

    Wakuu Waasalam. Naomba tujaribu kuelimishana kidogo hasa kwa wale wajuzi wa masuala ya kidiplomasia. Malengo ya Kuteua Balozi Bila Kumpa Nchi ya Ubalozi ni Nini Hasa? na majukumu yake yanakua yepi? na je anakua na mshahara wa ziada kwa kazi hiyo na boss mwengine pia wizara ya mambo ya nje...
  20. JamiiForums Tanzania Kuwe na somo la katiba na sheria za nchi kuanzia kidato cha kwanza hadi chuo kikuu

    Wakuu mimi nashauri tui"shape" vizuri vizazi vijavyo vya JMT kwa kuwafundisha katiba na sheria za nchi na umuhimu wake. Hii itawasaidia watoto kuelewa vizuri hata wakiwa watu wazima, mithali inatufundisha hivyo. (A) Itawasaidia watoto wetu kuelewa: 1.wakati wa kusema mambo fulani yahusuyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…