Ili kusonga mbele kama Taifa na kuleta maendeleo sawa kwa watu tubuni Majimbo since our Country is large tuingie kwenye mfumo huu. Na iwe hivi:
1. Mwanza, Kagera, Geita yawe BUKOBA STATE
2. Shinyanga, Tabora na Katavi yaitwe TABORA STATE.
3Dodoma, Singida na Morogoro yaitwe DODOMA DC STATE...