Fursa za Nje ya Nchi: Scholarship (kusoma), Ajira/kujiajirina Biashara/kuwekeza

6Was9

JF-Expert Member
Mar 2, 2021
1,480
2,000
KAMA KICHWA CHA UZI KINAVYOJIELEZA:

Karibu tuweze kushare fursa mbali mbali zinazopatikana nje ya mipaka ya nchi yetu ya TANZANIA.

Uzi huu ni maalumu kwa wote wenye roho nyeupe na mawazo chanya yatakayotuwezasha kuleta maendeleo katika nchi yetu..

kwa kuzifukuzia fursa nje ya nchi.

Tatizo la ajira kwa wahitimu wa fani mbali mbali kila siku linazidi kuongezeka,

hivyo basi ni vyema walau asilimia kadha kuangalia fursa nje ya mipaka ya Tz, kuliko wote " kukaa na kusikilizia mishe" au kusbiria ajira za serikalini.

Pia kwa wafanyabiashara wanaofikiria kukuza biashara zao kuexport na kuimport..

Wenye ndoto za kujiendeleza kimasomo ngazi za juu nchi za ulaya, marekani etc... kutafuta exposure na kadhalika..

Wale wa taloi walioizunguka hii dunia pia mnaweza kutupa mawili matatu,

kutokana na experience yenu na ni namna gani inaweza kumsaidia na MTanzania ambaye ana ndoto za kufanikisha moja ya mambo niliorodhesha kwenye kichwa cha uzi hapo juu..

Karibu!

images.jpeg

images (1).jpeg

images (2).jpeg
 

Chillah

JF-Expert Member
Oct 12, 2016
5,991
2,000
Fursa ni nyingi, ila ni nyepesi sana kwa waajiriwa wa serikalini...

Kwa mfano kwa sasa kuna online trainings nyingi sana una chagua una taka nini ila ni lazima uwe mtumishi na zote ni moja kwa moja kutoka nchi washirika ktk maendeleo...

Na hizi online zimekuja baada ya kuingia maswala ya Uviko19 na mawimbi yake...

Ingia ubalozi wa uholanzi ktk page yao fb, Indonesia, Germany, UK, China etc utaona watu wanavyo kula maskolaships


Updates:


FB_IMG_1629456716827.jpg
 

Chillah

JF-Expert Member
Oct 12, 2016
5,991
2,000
Karibu sana mkuu ndio hizo tunazotakiwa kushare kwa pamoja hapa.

Maana waajiriwa serikalini wakitoka njee na walio ndani pia wanapata fursa za ajira serikalini
Holland
German
UK
Irish
CSC (jumuiya ya madola)
CSC China
Korea
Japan
Indonesia
Uae
USA
Sa
Poland
Italy
Russia
Swiden
Norway
Denmark
Finland
Etc

Manchi kibao yana skolashipu ni wewe kuchangamkia, zipo za kulipia wakati wa kuomba na zipo za bure

IMG_20210817_122550.jpg


IMG_20210817_122544.jpg
 

6Was9

JF-Expert Member
Mar 2, 2021
1,480
2,000
Holland
German
UK
Irish
CSC (jumuiya ya madola)
CSC China
Korea
Japan
Indonesia
Uae
USA
Sa
Poland
Italy
Russia
Swiden
Norway
Denmark
Finland
Etc

Manchi kibao yana skolashipu ni wewe kuchangamkia, zipo za kulipia wakati wa kuomba na zipo za bure
Taarifa nzuri sana kwa wanohitaji kusoma nje.. ni vyema pia TUPATE EXPERIENCE YA WATU WAILOOOMBA SCHOLARSHIP WAKAFANIKIWA

,NAMNA YA UJAZAJI WA FORM ,UJIBUJI WA MASWALI, ZILE INSHA ZAO!!

INTERVIEW ZA VISA PAMOJA NA PROCEDURES NYINGINE KAMA HIZO...
 

Amehlo

JF-Expert Member
May 8, 2019
2,454
2,000
Taarifa nzuri sana kwa wanohitaji kusoma nje.. ni vyema pia TUPATE EXPERIENCE YA WATU WAILOOOMBA SCHOLARSHIP WAKAFANIKIWA

,NAMNA YA UJAZAJI WA FORM ,UJIBUJI WA MASWALI, ZILE INSHA ZAO!!

INTERVIEW ZA VISA PAMOJA NA PROCEDURES NYINGINE KAMA HIZO...

Kabisa
 

Chillah

JF-Expert Member
Oct 12, 2016
5,991
2,000
Kwa wasikuwa waajiriwa wa serikali yetu pendwa inakuwaje?
Nyingi zina wapa kipaumbele waajiriwa wa serikali kuna Hungary, orange huko Holland etc

Na hasa zinazo pitia ktk mamlaka za serikali.Na hata ambazo hazipitii huko, kwa mfano za ubalozi etc

Kuzipata ni kusoma vigezo na kujua muda wa kutuma maombi.

Pia jifunze lugha za mataifa husika ina saidia, wachina wamechukua wengine kupitia program ya kufundisha kichina ktk vyuo vyetu, wakorea etc.

Kuna fellowships pia.

Mambo ni mengi pambania jifunze kitu kipya, hakuna linalo shindikana.

*************

Kuna magroup mbalimbali huko duniani kwa ajiri ya kusaidiana kupeana mwangaza, ukiona mtz mwenzio ana bana Basi ingia kwa wahindi, Pakistan hawa watu wana saidiana sana sana na wanaingia ulaya kwa wing mno...

Akili kumkichwa....

Check hapa tume kutana watu kutoka mataifa mbalimbali... Watu wenye njaa, hapa thread kupata mrejesho utakesha, tuchangamkie technologyElon Musk says we need universal basic income because 'in the future, physical work will be a choice'

Screenshot_20210820-234257.png


Screenshot_20210820-234423.png
 

6Was9

JF-Expert Member
Mar 2, 2021
1,480
2,000
Nyingi zina wapa kipaumbele waajiriwa wa serikali kuna Hungary, orange huko Holland etc...

Na hasa zinazo pitia ktk mamlaka za serikali... Na hata ambazo hazipitii huko, kwa mfano za ubalozi etc

Kuzipata ni kusoma vigezo na kujua muda wa kutuma maombi...

Pia jifunze lugha za mataifa husika ina saidia, wachina wamechukua wengine kupitia program ya kufundisha kichina ktk vyuo vyetu, wakorea etc...

Kuna fellowships pia...

Mambo ni mengi pambania jifunze kitu kipya, hakuna linalo shindikana...
Mkuu dondosha link za websites kadhaa unazozifahamu tafadhali
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom