nchi

  1. Kwa nchi yenye matatizo makubwa ya maji, tunaruhusu vipi swimming pools?

    Kuna hili suala nimeliwaza kwa muda mrefu sana. Inakuwaje katika nchi ambayo hata maeneo ya mijini tu kuna changamoto kubwa za maji tunaruhusu ujenzi wa swimming pools? Najua wengine mtanishambulia kwa kuleta usukuma wangu hapa ila kuna mambo inabidi utafakari kwa maslahi ya taifa. Kama ni...
  2. Waziri Ndalichako, naona kama Elimu haiendeshwi naye bali inajiendesha yenyewe

    Prof NDALICHAKO YUPO kwenye wizara ya elimu tangu awamu ya hayati Magufuli kama waziri mpaka sasa lakini naona kama elimu haiendeshwi nae inajiendesha yenyewe. Kuna shule inaitwa NGUVU MPYA SEKONDARY ipo chanika maeneo ya nguvu kazi, kidato cha kwanza pekee wapo 636 nimekwenda wiki iliyopita...
  3. L

    Nchi yenye nguvu zaidi kiteknolojia duniani inawezaje kujishusha hadi kuzikandamiza kampuni za nchi nyingine?

    Katika siku ambayo Bunge la Marekani liliidhinisha uteuzi wa balozi mpya nchini China, serikali ya nchi hiyo kama kawaida yake ilitangaza kuziwekea vikwazo kampuni 34 za teknolojia za China kwa kisingizio cha “kutishia usalama wa taifa”, na kuziweka kampuni nyingine 8 za China kwenye “orodha...
  4. Jinsi Natepe alivyomhenyesha Rais Ali Hassan Mwinyi

    Alipojiuzulu uwaziri wa mambo ya ndani ya nchi mwaka 83 kama sijakosea nafasi yake aliteuliwa mzee mmoja kutoka Zanzibar anaitwa mzee Natepe kushika Uwaziri wa Mambo ya ndani ya nchi. Natepe alipoingia tu ofisini alimtaka Waziri aliyemtangulia kutoka katika nyumba ya Waziri ili yeye aweze kukaa...
  5. M

    Rais tupia Jicho malalamiko ya askari wako hayana afya kwa Nchi

    Niliandika asubuhi japo ujumbe haukuwa moja kwa moja kwako,,lakini uzalendo wangu umenituma kurudia tena kuandika,,,Mimi ni mwananchi ambae shughuli zangu hunifungamanisha sana na askari wa majeshi mbali mbali nafikiri toka kipindi cha Magufuli. Binafsi sipendezwi na maneno ambayo yana...
  6. Askofu Gwajima atangaza mfungo wa kumng'oa AMALEKI katika nchi

    Saa chache kabla ya kwenda kuhojiwa na Kamati ya nidhamu ya chama chake (CCM), Mchungaji Josephat Gwajima ametangaza mfungo wa saa 72 kwa ajili ya kumng'oa (mtawala) Amaleki katika nchi. kwani Amaleki mwenyewe anasemaje?
  7. WALEMAVU WALIVYOSAHULIKA NCHI HII.

    Ndugu zangu nmepata wasaa wa kuhudhuria tukio la SPECIAL OLYMPICS TANZANIA linalofanyika hapa jijini Mwanza kitaifa nimejifunza na kuona mengi sana. Nilijichanganya tu na watumishi wengi wa Uma ili niweze kujua mawili matatu juu ya tukio hilo.Nikataka kujua hili tukio limehusisha watu...
  8. Nchi haishi vituko hii: Raul Ganzalez kutua Azam fc

    | Nahodha wa zamani wa Real Madrid na mshambuliaji bora wa zamani wa Madrid Raúl González Blanco 🇪🇸 ni miongoni mwa makocha waliotuma maombi ya kuinoa Azam FC 🇹🇿. ===== Former Real Madrid captain and Madrid's best ever forward Raúl González Blanco 🇪🇸 are among the top coaches who have applied...
  9. Tanzania yetu ndio nchi ya furaha

    Nikiwa njiani najisomea na kusikiliza habari tofautitofauti za kijamii, kisiasa, kiuchumi toka mataifa tofauti; nimejikuta nikimshukuru Mungu kuwa mtanzania. Hakika Tanzania yetu ndio nchi ya furaha. Tumebarikiwa kuwa na waasisi bora wa taifa waliotuachia misingi imara isiyotikisika...
  10. Vita dhidi ya Rais Samia ni vita dhidi Tanzania, hatutakubali mchafue taswira ya Rais wetu

    Rais Samia, Mama Mnyenyekevu, Mzalendo na Mchamungu, ni kiongozi alitejawa akili za ajabu na mtu mwenye uelewa mkubwa anafanay kazi usiku na mchana kuhakikisha Tanzania inapata maendeleo. Kikundi cha wapuuzi wachache wanaopambana kuchafua maamuzi na utendaji kazi wa Rais Samia tunatangaza vita...
  11. M

    Utaratibu wa kuonana na Rais wa nchi ukoje?

    Naombeni kwa wenye uelewa muweze kunijuza. Hivi kwa Mimi mwananchi wa kawaida (hohehahe) nikitaka kuonana na mkuu wa nchi natakiwa kufuata taratibu zipi ili nimfikie! Hususani Kama Nina Jambo la muhimu ambalo nataka nimfikishie yeye mwenyewe moja kwa moja? Au kwa Hali yangu nifute kabisa...
  12. Wajanja wanavyoitafuna nchi kimya kimya

    Mtandao wa kubook tiketi za treni ni mzito sana, baada ya kufunguka unakutana na ujumbe huo. Wewe umegundua nini hapo😁😁? Watu wanataka kufunga hesabu zao mwisho wa mwaka wasepe. Ndio maana nasema sasa hivi ukipata fursa piga tu hakuna mzalendo tena. Kila mtu anaangalia tumbo lake. Tanzania...
  13. Chadema, P'se, Msisusie Mkutano wa Vyama, Wasilisheni Hoja Zenu Mezani, Zitamfikia Samia, Ana Nia Njema na Nchi Hii, Mpeni Ushirikiano!.

    Wanabodi, Hili mada ya ushauri wa bure kwa Chadema, nimesoma humu kuwa wamesusia mkutano wa kesho wa vyama vya siasa kule Dodoma kwa hoja mpaka kesi inayomkabili Mwenyekiti wao ifutwe. Nawashauri ndugu zangu Chadema, wasisuse unless wana uhakika, kwa kususa kwao, kuna something tangible, they...
  14. Wako mtandaoni wanapiga domo, Mama Yuko Kazini anajenga nchi

    CHADEMA wimegeuka kuwa Chama Cha Twitter, msemaji wao mkuu ni Mari Sarungi. Wako bize sana mtandaoni kupiga domo. Hawana hoja za maana tena,mijadala yao mikubwa ni mara Tanganyika haipo, mara Ucifu ulifutwa na vitu vingine vya kudandia dandia. Jambo moja ninalopenda sana kuhusu Serikali ya...
  15. T

    Mzee Bulembo acha kudhalilisha watu kwa kuharibu diplomasia wakati wewe ndio muharibu

    Kutokana na uchu na tamaa ya madaraka mzee wangu Abdalah Bulembo na wengine wanakuita alhaji ulitoa kauli ambayo iliishtua dunia na pengine dunia kuamini Tanzania ni nchi ambayo serikali inaua watu wanaohoji pesa za miradi Kufuatia mkopo wa benki ya dunia(WB) kwenye mambo mbalimbali ambayo...
  16. Wanaoitwa wahuni Mungu alishawakataa. Kama nchi hatuwezi kurudia tena makosa yale -- never!

    Friends and Enemies, Let us pray,dear our heavenly father we thank you for this precious gift of life,we thank you that we are very alive and still breathing. Amen.. Katika maisha epuka sana kujiona kuwa upo juu ya wanadam wenzako na kuwadharau hususan unapopata mamlaka juu yao,au ukwasi kuzid...
  17. Simba kuhama nchi?

    Katika kipindi cha michezo cha Redio Clouds, Nimemsikia kiongozi wa Simba akisema kuwa Simba imepata maombi toka Zanzibar, Zambia, Burundi, Rwanda na DRC wakiwaomba waihamishie timu ya Simba kwenye ligi zao iwapo mgogoro wao na TFF usipofikia muafaka. Je, ukiwa mdau wa Soka, ungetamani Simba...
  18. M

    Serikali ijitafakari, mawazo ya kuuza umeme nje ya nchi wakati hali ni mbaya ndani hayakubaliki

    Thread was deleted
  19. Mwaka 2022 utakuwa mwaka mgumu tangu nchi yetu kupata Uhuru

    Wananchi wa Tanzania, wanategemea kilimo cha mvua. Kufikia mwezi huu 12/2021 maeneo mengi ya Tanzania hakuna mvua, jua ni kali sana. Tunaweza kuchukulia hali hii kwa namna ya kawaida. Lakini ukweli ni kwamba mwaka 2022 utakuwa mwaka mgumu sana katika nchi yetu. Ukame utakuwa mkubwa mno...
  20. K

    Hivi makomando wa JWTZ wako competent kweli kulinganisha na wenzao wa nchi nyingine?

    Nilikua nacheck maadhimisho ya miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika, na moja ya jambo lililonishangaza ni kuwaona the so called commandos wa JWTZ wanapita na mafurushi sijui ya vitu gani migongoni nikajiuliza hawa uwanja wa vita huwa wanaenda wakiwa hivyo walivyopita? Nikaona ngoja nicheck wenzao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…