Kama alivyokuwa Mobutu Seseko na Rais wengine wa Afrika, Wazungu ukiwapa access na resource zako, ukifanya vyote wanavyotaka kamwe hawatakutoa madarakani, hii ndiyo Afrika ilivyo.
Sie tunajua Magufuli alivyopambana na Mabeberu na kuwapiga pliers kwenye interest zao, hivyo hawakutaka Magu...
Wengi wa wakimbizi duniani wanatoka katika nchi 5, Afghanistan, Myanmar, Sudan Kusini, Syria na Venezuela. Na nchi hizi ndizo zimo hatarini zaidi na athari za mabadiliko ya tabianchi.
===========
Since the 1990s, we have become increasingly committed to protecting the environment and of the...
NUKUU ZA KATIBU MWENEZI TAIFA SHAKA HAMDU SHAKA AKIONGEA BAADA MHE RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KUWASILI AKITOKEA ZIARA, JUMAPILI 20 FEBRUARI 2022
" CCM inaridhishwa na juhudi za kisera zitokanazo na upeo, uthubutu na juhudi zinazochukuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan katika medani za Kimataifa"...
China imeshuhudia uuzaji mwingi wa bidhaa zake za photovoltaic (PV) nje ya nchi mwaka jana wakati dunia inaongeza juhudi za kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Kwa mujibu wa Wizara ya Viwanda na TEHAMA, mwaka 2021 uuzaji nje wa bidhaa za PV za China ulipita dola za kimarekani bilioni 28.4...
Hangaya leo karudi toka huko Ulaya alikokuwa.
‘Wenyewe’ wamefurahi sana. Wanadai anaupiga mwingi.
Sasa hebu tuliangalie tena suala la ulinzi wake, kwa kiasi na kiwango ambacho tunaweza kukijadili kutokana na kile tunachokiona.
Akiwa huko nje ya nchi, ulinzi wake huwa ni wa kawaida sana. Hawa...
Serikali ya Tanzania imepata msaada wa Euro Milioni 425 (Tsh. Trilioni 1.15) kutoka Kamishineni ya Umoja wa Ulaya (EC) kwa ajili ya kugharamia miradi mbalimbali ya maendeleo, Rais wa Kamisheni hiyo ametangaza kiasi hicho cha msaada baada ya kukutana na Rais Samia ambaye yuko ziarani nchini...
Nitaandika kidogo lakini kwa mwandiko uliokolea , nitaandika Kwa ajili ya watu wenye akili zakupambanua mambo na siyo kwa wanaosubiri siku zipite wazeeke. Naandika kwa watu wenye macho ya ujasusi wa kidiplomasia na siyo wenye ujasusi wa jinai unaoongozwa na nguvu nyingi akili kisoda. Twende KAZI...
Tanzania Haitakuwa Nchi ya Kwanza Hapa Duniani kwa Viongozi Ku Sacrifice Mambo Kadhaa Kadhaa kwa Ajili ya Manufaa Mapana ya Taifa na Mwananchi Wake.
1. Kambarage alipokubali na kuwashawishi wenzake kukubali kura tatu mwaka 1958 njia ya kuelekea kupata uhuru ilianza kuwa nyepesi.
2. De Clerk...
Kwema Wakuu!
Baada ya kuzifuatilia Siasa za nchi hii Kwa takribani miaka kumi sasa, nachelea kusema mwakani Mungu akipenda nitajiunga na mambo ya Siasa.
Nitafanya Siasa za kuibadilisha nchi hii naam kuikomboa nchi hii pale walipoishia wakombozi wengine.
Nitafanya Siasa za kubadilisha fikra za...
Na Caroline Nassoro
Mara nyingi kumekuwa na kauli zinazodai kuwa, China inazipa nchi za Afrika mzigo wa madeni, na hii inatokana na misaada na mikopo yenye riba nafuu inayotolewa na nchi hiyo katika miradi mbalimbali ya maendeleo ya nchi za Afrika.
Lakini tukifuatilia kwa undani zaidi, kauli...
DUTCH DISEASE
Huu ugonjwa ni effect ya resource curse.
Dutch disease ni ugonjwa ambao unatokea kwenye nchi ambayo imebarikiwa na rasilimali kama mafuta, gesi, madini nk
Huu ugonjwa unatokea kama ifuatavyo
Nchi ikigundua imebarikiwa na rasilimali flani, nchi ambazo hazijabarikiwa na hiko kitu...
Maajabu, Tanzania ni moja kati ya nchi masikini zaidi Duniani, inaishi kwa handouts, raisi wake anafunga safari kusafiri Mabara kutafuta mkopo wa dola milioni 100 USD, hapo hapo inafanya kila inalowezekana kuokoa Dunia isiangamie na climate change, hii ni nchi ambayo mchango wake kwenye CO2...
My Take 1
Sirro anapenda sana kuita-ita neno gaidi. Naona anarahisisha sana mziki wa magaidi.
My Take 2
Sirro kama hawezi kuondoka mwenyewe aondolewe kwa nguvu. Kashfa ya askari wake kufanya ujambazi haisafishiki
======
Kamanda Sirro: Ni viongozi ambao tunawategemea kwenda kuwasaidia...
Korea Kaskazini imetamba ktk jumanne ya wiki hii kuwa nchi hiyo ni moja ya nchi chache duniani zenye silaha za nyuklia na makombora yenye ubora wa hali ya juu. Ikaendelea kutamba kuwa nchi hiyo (Korea Kaskazini) ndio nchi pekee yaweza kuidindia Marekani kwa 'kuitikisa dunia' kupitia majaribio...
Waziri wa Habari na Mawasiliano ya Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, leo Alhamisi amesema atatoa leseni za kuanza kuchapishwa kwa magazeti ya MwanaHALISI, Tanzania Daima, Mseto na Mawio “Kifungo kimetosha. Kikubwa kazi iendelee,” amesema Nape.
"Agizo la Rais ni Sheria,leo nitatoa leseni kwa...
Mama Samiah ana lipi la kutuambia juu ya kauli yake kwamba akipata nafasi ya kukopa atakopa tena. Tumsikilize mwamba akiwafundisha wanafunzi wake, na endapo Rais wetu anaweza kuirudia ile kauli yake juu ya mikopo?
================================
Update: 15/02/2022...
Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi inayoendelea imevutia macho ya dunia. Jumla ya nchi tano za Afrika, ambazo ni Kenya, Nigeria, Madagascar, Morocco na Eritrea zimeshiriki kwenye michezo hiyo. Kwa nchi za Afrika, kushiriki katika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi, sio tu ni ishara ya...
Kutumia lugha ya mkoloni kwa shughuli mbali mbali hasa zisizoepukika kwa sasa, mfano masomo ya sayansi, sioni kama ni shida sana.
Shida yangu ni lugha ya mkoloni kufanywa kuwa ndio lugha ya taifa na inatumika mtaani hadi na wauza nyanya, ambao wangezweza kutumia lugha yao wenyewe kwenye masuala...