nchi

  1. W

    PostGE2025 Samia Suluhu Hassan: msiwe wabomoaji wa nchi yenu

  2. PostGE2025 Balozi za Ulaya na Marekani na Nchi Rafiki zitatoa angalizo kwa Wananchi wao wanaopanga kwenda Tanzania kufanya Utalii kuelekea DEC 9

    Hakuna Mtalii Wala Muwekezaji Makini anayeweza kwenda Tanzania Kwa Sasa wakati Hana Hakikisho lake la Usalama wake mwenyewe na uwekezaji wake. Wasomi Ngulo walionya haya hata kabla ya Oct 29!!. DEC 9 ni maandamano makubwa ya Amani.
  3. PostGE2025 Maandamano yamekwishashinda tunapaswa kuchukua bunge na ikulu na uthibiti wa taasisi zote za nchi ndio ushindi wetu

    Maandamano yamekwisha shinda tunapaswa kuchukua bunge na ikulu na uthibiti wa taasisi zote za nchi ndio ushindi wetu. Tuka wafurumushe huko
  4. R

    PostGE2025 Uchaguzi wa 2025 Tanzania imeng'ara kwenye magazeti kama nchi ya mauaji na isiyo na demokrasia

    Historia ya Tanzania imebadilika ghafla kutokana na udikteta wa Rais Samia, Taifa lililosifika ulimwenguni kwa amani na ukarimu wa raia wake, sasa imekuwa nchi inayozungumzwa kama nchi iliyojaa mauaji, ukandamizaji na udikteta Vyombo vyetu vya habari vilipuuza sana kuripoti habari za matukio ya...
  5. Watanzania waishio nje ya nchi wanapaswa kuandamana #D9 tunataka watanzania angalau 100 kila nchi

    Wito kwa Watanzania waishio nje ya nchi wanapaswa kuandamana #D9 tunataka watanzania angalau 100 kila nchi bado kidogo tushinde.
  6. R

    PostGE2025 Heche: CHADEMA imetoa mawakili nchi nzima kwa watu wote wenye kesi za uhaini, hakuna kurudi nyuma hadi ukombozi upatikane

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara John Wegesa Heche amesema chama hicho kwa kitatoa mawakili kwa wote walioshtakiwa kesi za uhaini nchi nzima Akizungumza nje ya viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam leo Novemba 12, 2025 baada ya...
  7. R

    PostGE2025 Askofu Msoganzila: Nchi inanuka, wauaji msipotubu damu hiyo itawalilia mpaka mnakufa

    Askofu Michael Msonganzila wa Jimbo la Katoliki Musoma ameeleza kuwa Wananchi waliomba Uchaguzi wa amani lakini imekuwa tofauti watu wengi wamepoteza maisha mbaya zaidi hata wasio na hatia waliokuwa majumbani mwao na wengi kujeruhiwa Askofu Msonganzila ameongeza kuwa nchi inanuka imepakwa mavi...
  8. J

    2025-2030 hakutakuwa na tamasha la msanii ndani ya nchi

    Salute kwenu JF bosses! Kutokana na usaliti wao kwa wananchi na kuwakumbatia watawala waliofanya mauaji ya kikatili October 29 ya mwaka 2025, ni dhahiri shairi sasa HAKUTAKUWA na MSANII atakayeandaa show ndani ya nchi au nchi jirani na Tanzania, au nchi nyingine yoyote duniani yenye wananchi...
  9. PostGE2025 Haiwezekani unaiba kura halafu unakuja na maridhiano. Unakuwa kama panya anakutafuna alafu anakupuliza, hatutakubali tunataka nchi yetu

    Haiwezekani mtu unaiba kura alafu unakuja na maridhiano yani unakuwa kama panya anakutafuna alafu anakupuliza hatutakubali tunataka nchi yetu. Wananchi sisi tumesha mkataa kabisa kabisa tunataka nchi yeetu yetu kwa gharama yoyote ile. waliiba kura na kutunajisi makusudi na kwa kiburi.
  10. Mzee Malisa yupo salama? Tarehe 29.10.2025 nchi iliingia gizani, tunafahamu umefungua kesi ICC, toa neno tujue kama upo

    Wote tunafahamu mzee huyo alipinga mchakato mzima ulivyofanyika wa kupata mgombea kitu cha Rais ndani ya CCM hadi kupelekea kufungua kesi ya kupinga mchakato huo mahakama kuu kanda ya Dodoma Pamoja na juhudi zake lakini hakupata alichotarajia, shauri lake lilitupiliwa mbali kama mnavyofahamu...
  11. K

    Tanzania sio nchi ya Amani wala Haki majirani wametupita kwa mbali

    Tanzania sio nchi ya Amani wala Haki majirani wametupita kwa mbali Zambia , malawi, kenya wana haki na Amani Uganda, Rwanda na Burundi wana amani hawana haki Tanzania haina amani wala haki
  12. Samia atakanyaga nchi gani aeleweke na kupokelewa

    Nawaza kwa sauti , hivi kwa kilichotokea na kinachozidi kuendelea , je Samia atakanyaga nchi gani aeleweke na kupokelewa?
  13. K

    POV: Kama Internet isingezimwa Oktoba 29 tungezungumza mengine

    Wasalam, Ni asilimia chache sana ya Watanzania including Mange mwenyewe aliamini kama kuna watanzania watatoka 29 Oct. Kulikua kuna kundi kubwa la vijana lilokuwa linaongezeka kila dk. Kwa trending ile kama sio serikali kuzima internet tungezungumza mengine. Kukatwa kwa internet kuliwaathiri...
  14. R

    Waziri Mkuu Musalia Mudavadi aonya Wakenya kuvuka mipaka kushiriki siasa za nchi jirani

    Waziri Mkuu wa Baraza la Mawaziri, Musalia Mudavadi, amewataka Wakenya kuepuka kuvuka mipaka ya nchi kwa ajili ya kutafuta haki au kushiriki katika siasa za mataifa jirani, akionya kuwa uhuru wanaoufurahia nyumbani, hususan uhuru wa kujieleza, haupo kila mahali. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa...
  15. Baada ya October 29 tusitarajie Nchi kuwa Sawa tena.

    Naandika huku nikiwa na huzuni kubwa kwa Taifa letu kupoteza nguvu kazi kubwa (vijana), inakadiriwa zaidi ya vijana elfu 20+ waliuawa kwenye kile kilichoitwa Uchaguzi. Itakuwa nikujidanganya kwa kudhani mambo ni shwari kama ilivyokuwa kabla ya hicho kilichoitwa Uchaguzi, ukweli nikwamba Taifa...
  16. Kwa yale ya tarehe 29/10, Nitashangaa sana kama "Spy Chief" wa nchi ya "Zimbabwe" ataendelea kuwa kibaruani

    Wanajamvi! Enzi za medani ni medani kweli, nazungumzia enzi zile "Jumba jeupe" kuna watu wenye akili timamu, weledi, maarifa, wivu na uzalendo mkubwa sana kwa watu na nchi yao. Enzi ile kabla ya "vetting" haijabadirika ya kuingiza "vilaza" kwenye medani bila vipawa. Naam, enzi ile ambayo Spy...
  17. GE2025 Idara ya Uhamiaji: Taarifa za kuwanyang’anya Raia walipo nje ya nchi wanaporejea Pasipoti na fedha ni uzushi

    Idara ya Uhamiaji inakanusha taarifa zinazosambazwa kwa njia ya Audio Clip kwenye mitandao ya kijamii kwamba raia wa Tanzania waliopo nje ya nchi wanaporejea nchini kupitia viwanja vya ndege au vituo vingine vya kuingia nchini wananyang'anywa pasipoti na fedha zao na kutakiwa kwenda kufanyiwa...
  18. R

    GE2025 Mchungaji: Kuna Mwanamke kashinda uchaguzi 98%, kwa hiyo 2% ndio wanaondamana mtaani?

    Tanzania tumekuwa kituko kwakweli, huu ni zaidi ya udikteta. Samia anafanya Mataifa kuishangaa hii nchi, tuweke masuala ya Jinsia pembeni tujadili kwa fikra na matendo ya binadamu anayesimama kwenye majukwaa na kuongelea utu kisha kuua watu kiunyama Ameshinda uchaguzi kwa asilimia 98, hakuna...
  19. Wakuu hamna mtu mwenye connection ya mwanajeshi mtanzania yeyote wa nchi ya ulaya au marekani

    i
  20. Unamuheshimu mtu unakuja kugundua ni msagaji. Hii nchi hii inasiri.

    Unakuta mtu biashara yake ni ya kawaida sana ila anasukuma ndinga za maana kumbe nyuma ya pazia anasagwa na kusaga wenzake. Listi ni ndefu mno na ni mambo ya aibu ,kiasi kwamba hata mikono inatetemeka. Na si kwamba hawajulikani , la hasha watu wameamua kukaa kimya mambo yasiwe mengi. Tena...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…