nchi

  1. R

    JamiiForums Tanzania Haya nyie watu, mnakubali nchi ya Tanganyika inauzwa, mnadhani mtahamia arabuni cum zenji na koo zenu hiyo siku ikija?

    Huo ndio ujumbe wenu. Mbuga, bandari, maji, na kila kitu wameuziwa waarabu, sasa dhahabu nayo watagawiwa waarabu maana watapewa kwa bei ya kutupa kama walivyopewa vingine!
  2. sanalii

    JamiiForums Tanzania Unfortunatly tumesharudi kucheza challenge za wasanii, nchi ikienda kombo

    Ni kama vuguvugu limepungua, wadhalimu wanaendelea kujilia vyal, na Kama mtu hajajeruhiwa au kupoteza ndugu ndio hata hawezi kumbuka kabisa. Wananchi wako busy kwenye challenge za wasanii. Ni masikitiko makubwa kwa damu ya raia iliomwagwa makusudi na kwa majivuno kisha haya yakawa ndio...
  3. blogger

    JamiiForums Tanzania Hii Nchi kama unaweza kuhama haama. Na kamwe usirudi tena

    Yani ni Bora ukajipoteza kabisa Msikilizeni hapa Mwigulu alivyojibu swali hili la msingi kabisa. Nimechoka.😓😓
  4. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Wachina wakikutana nchi za kigeni hawapendani

    Sijajua ni kwanini wa China wakikutana nchi za nje haswa kikazi hawapendani na hawana ukaribu tofauti sana na watu wa jamii zengine kuna mtu aliwahi kuniambia kwamba hawataki kuwa karibu sababu wanaogopa kuigana biashara / mbinu za kutengeneza pesa
  5. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Top 10 ya Nchi Zinazoongoza Kuzalisha Dhahabu Afrika

    1.Ghana 2.Mali 3.Burkinafaso 4.South Africa 5.Sudan 6.Guinea 7.Cote D'Ivoire 8.Tanzania 9.Zimbabwe 10.DRC My Take Tanzania ndio Nchi imenufaika na Utajiri wake wa dhahabu kuliko zingine hapo Juu Soma zaidi hapa Africa’s top 10 gold-producing nations as prices hit record high - Businessday NG...
  6. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Kusema ukweli nchi ya Rwanda ni nzuri sana

    Nimekuwa nafuatilia video za nchi ya Rwanda, hata za huko vijijini. Kwa kweli hii ni nchi nzuri sana. Baada ya miaka kumi ikiendelea hivi itakuwa muonekano wa nchi za Ulaya hata kuzidi. Kila kitu unaona kimepangwa na wapangaji wanaojali watu wao. Mambo yote yanaonyesha kuwa kuna order...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ikitokea makomandoo wa Marekani na Israel wakitaka kumkamata kiongozi wa nchi mojawapo hapa Afrika Mashariki walinzi wake wataweza kuzuia?

    Trump anatumia sana ubabe. Naona wakati wowote atatuma Makomandoo ili wakamate viongozi wa mataifa ya Afrika mashiriki ambao wanapiga raia risasi hovyo. Nini kitatokea?
  8. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Watanzania walikaa kimya na sio hawana nguvu za kuwashughulikia wauwaji na hao askari wala rushwa wananchi wananguvu zote kuliko jeshi la nchi

    Watanzania walikaa kimya na sio hawana nguvu za kuwashughulikia wauwaji na hao askari wala rushwa wananchi wananguvu zote kuliko jeshi la nchi. Tulipagana na jeshi la Ukoloni lenye silaha za kisasa tukalishinda tukiwa hatuna silaha wala mabuti na hizo kofia za kuzuia risasi hatuwezi kushindwa...
  9. Luca Paguro

    JamiiForums Tanzania Hivi Samia una roho ya aina gani we mama

    Wewe Samia na wenzako hebu kuweni na utu. Huu ushetani wenu umefikia kiwango cha A+ Hebu kuweni na roho ya ubinadamu hata kidogo tu. Sisi Watanzania tuliwakosea nini mpaka mnatumia ubabe kutuongoza? Kwa nini hautaki kukiri kuwa ulikosea? Kwa nini hutaki kujiuzulu na huku Watanzania hatukutaki...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Wabunge Wetu, Si Lazima Bajeti Ya Nchi Iongezeke Kila Mwaka

    Miaka mingi sasa kumekuwa na trend kuwa budget bora ya nchi ni ile ambayo inazidi ya mwaka uliopita. Spending inaongezeka na badala ya makusanyo ya ndani yalioongezeka kutumika kuweka budget isiyotegemea misaada, tunafikiria kuongeza matumizi. 2023/24: TZS 44.4 trillion 2024/25: TZS 49.36...
  11. PAYE

    JamiiForums Tanzania Samia: Mamlaka za upimaji ardhi na upangaji miji nchi nzima zihakikishe kunatengwa maeneo ya kijani na upandaji miti

    Leo Januari 27, 2026, katika kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa Rais Samia, akiongoza zoezi la upandaji miti katika eneo la Bungi Kilimo na Kizimkazi, Zanzibar, ameagiza mamlaka za upimaji ardhi na upangaji miji nchini kote kuhakikisha kwamba katika upimaji wa maeneo mapya, kunatengwa maeneo ya...
  12. 6 Pack

    JamiiForums Tanzania Iran - Nchi inayohofiwa zaidi ulimwenguni na Marekani kuliko Taifa lolote lile duniani

    Niaje waungwana. Kama kawaida, leo nimekuja kutoa somo kamili kwa wale wayahudi uchwara wa Tandale kwa Mtogole, wasiojua nguvu halisi ya Iran katika miaka iliyopita, iliyopo na ijayo. Bila kuongelea kuhusu dola la Iran (Persia Empire) ambayo ilitawala eneo zima la Mashariki ya kati kabla hata...
  13. QasraNet

    JamiiForums Tanzania Ukiacha OUT, Kwanini hatuna chuo kinachobeba jina la nchi?

    Akili za baada ya kushiba: UDOM au UDSM kimoja wapo kibadilishwe jina kuwa University of Tanganyika au University of Tanzania. 🥱🥱😌😌
  14. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Serikali haitakuwa kikwazo cha kuhakikisha nchi inakuwa moja na tunasonga mbele

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema Serikali iko tayari kusonga mbele na inapokea maoni na kuyafanyia kazi, akisisitiza kuwa haitakuwa kikwazo katika juhudi za kuimarisha umoja na mshikamano wa Watanzania. “La mwisho nimeyapokea niliyoyasikia kwa niaba ya Serikali, na bahati nzuri...
  15. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Sasa naelewa kwanini UAE wamepiga marufuku harakati za itikadi kali nchini mwao, kuanzia misikitini hadi mitaani. Hii imepelekea nchi kufaidi amani

    Hata siku moja hauwezi kuona dubai imeingilia mgogoro wowote hapo mashariki ya kati. Hata siku moja hauwezi kuona maandamano ya kuunga mkono palestina na hamas nchini mwao Hata siku moja hauwezi kuona dubai inaendekeza itikadi na sera za MUSLIM BROTHERHOOD zilizoleta maafa mashariki ya kati...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Naibu wa Waziri wa Afya, Mhe. Dkt. Florence Samizi (kulia) akitoa mada katika Mkutano wa Afya kati ya nchi za Afrika na Nodiki jijini Stockholm, Swede

    Naibu wa Waziri wa Afya, Mhe. Dkt. Florence Samizi (kulia) akitoa mada katika Mkutano wa Afya kati ya nchi za Afrika na Nodiki jijini Stockholm, Sweden.
  17. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kuna wakati nilijiuliza kwanini nchi zetu za afrika kuna vichaa wengi wanaolanda landa mjini, wengi watasema ni uchawi, ila naamini jibu ni hili hapa

    Unakuta mwana alikuwa anapiga PCM pale pugu sec, ghafla akiwa prepo anaweuka na kuanza kuruka ruka, wanamrudisha nyumbani, cha kwanza wazazi wanachofanya ni kumpeleka kwa mganga anakaa mwezi mzima ila chalii. Anarudi nyumbani hali inazidi kuwa mbaya, anapigwa minyororo kama mbwa, mama...
  18. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini walokole huwa wakali unapokuwa against na nchi ya Israel?

    Tatizo ni nini wakuu? Je ni kwba ulokole ulianzia kule au waIsrael wote ni walokole?
  19. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Huwa najiuliza kwa nini visa vingi vya aliens tunavipata kwa nchi za wazungu sana ila huku africa recently sijawahi kuona watu wanasema wameona UFOs.

  20. M

    JamiiForums Tanzania Nchi ina watu million 70 unaajiri 7000 alafu unatamba. Hizi ni akili au?

    Mwigulu yumo humu. Kama anasoma basi niseme Mwigulu, yaani unatokaje kujisifia kuajiri walimu 7000
Back
Top Bottom