nchi

  1. JamiiForums Tanzania Maombi naalum kwa viongozi wafanyakazi wa JF na members Mungu akafanye kuwa mbaraka kwenye nchi yetu mkawe juu mkabarikiwe mpaka

    Prayer for YOU! Father God, Tonight I lift up my Jf family to You. Every mother, every father, every business owner, every leader, every person carrying silent battles that nobody else sees. Lord, Your Word says You give sweet sleep. So I declare sweet sleep over their homes tonight. For the...
  2. JamiiForums Tanzania Je Tuutumie Mwezi Huu wa Toba, Kufanya Toba ya Kweli, Tukiri Makosa Yetu, Tujute Dhambi Zetu, Tuungame, Tusamehewe, Nchi Itakasike Au Tusubirie Tume?

    Wanabodi Hii ni Makala yangu ya leo, kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo Declaration of Interest Naomba kuanza kwa kudeclea interest kuwa mimi ni muumini wa ile rai ya Makomu wa Rais, Balozi Dr Emmanuel Nchimbi, tusiendelee kuzungumzia kile kilichotokea October 29, ili tusizidi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nchi ambazo ukiweza kujitegemea basi unaweza kusurvive popote duniani

    Hio sio list ya nchi zenye vita ambazo watu wake huombea siku iishe salama hata wakikimbilia milimani. Hizi ni nchi ambazo hata kama hakuna vita ni ngumu kuishi, kujitegemea inabidi uumize sana ubongo , hawa ndio watu ambao wakitoka hata nje ya nchi kwenda nchi zisizo na mikiki wanasifika kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lawakamata Watu watatu wakiwa njiani kutorosha Punda 21 kwenda Nchi jirani

    Jeshi la Polisi kupitia Kikosi cha Kuzuia Wizi wa Mifugo Nchini (STPU) Kwa kushirikiana na Shirika lisilokuwa la kiserikali la ASPA limefanikiwa kuwakamata Watuhumiwa Watatu waliokuwa wakitorosha Mifugo aina ya Punda 21 kwenda Nchi jirani pasipo kuwa na kibali. Kamanda wa Kikosi hicho, Kamishna...
  5. JamiiForums Tanzania Taja nchi inayoanza na herufi ya kwanza ya jina lako tuone ulistahiri kuishi wapi

    Wakuu! Taja nchi inayoanza na herufi ya kwanza ya jina lako tuone ulistahiri kuishi wapi 😄✈️ Twende kazi! 👇🌎
  6. K

    JamiiForums Tanzania Unajua nchi hii kwa hili: CC-Wasira vs Chadema-Heche! Je nchi inaenda wapi??

    Unajua nchi hii kwa hili: CC-Wasira vs Chadema-Heche! Je nchi inaenda wapi?? Kama wewe ni kijana ambao ni 80% wanamsikiliza mzee wasira ambaye alikuwa mkuu wa mkoa 1978 kwa uchawa wake au Heche? Nchi ndiyo ipo hapa. Kwasababu ya nguvu ya serikali wanataka kukuaminisha watanzania wengi...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI afanya kikao kazi na Menejimenti ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe amefanya kikao kazi na Menejimenti ya Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto, kilicholenga kuweka mkakati wa utekelezaji wa maelekezo ya Mhe. Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba hususani ya utatuzi wa kero na changamoto za wananchi...
  8. JamiiForums Tanzania Hizi ndizo nchi valentine day imepigwa stop

    Russia Malaysia Qatar Pakistan Somalia Saudi arabia Indonesia Unajua ni kwanini hizi nchi haziitambui hio siku?? NB: sisi tunapendana kila siku hatusubiri siku ya kuigiza (valentine)
  9. JamiiForums Tanzania Namna ya kuunganisha saa Casio Edifece ECB-30 na Simu ili niweze kuset Mda na jiji la nchi niliyopo ili kupata mda sahihi.

    Wakuu mwenye experience na hiki kitu please anisaidie niunganishe hii saa na Simu kwani itakua rahisi hata kuset mda pale nitakapokua nasafiri kwenda nje au kurudi Tanzania.
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania tusianze massive constructions of apartments nchi nzima?

    Kusema ukweli Tanzania tunahitaji apartments kwa sasa. Kwa nini tusijifunze kutoka kwa nchi kama China, South Korea, Singapore nk? Hizi nchi watu wake walikuwa wanaishi kwenye makazi duni sana miaka ya 1960s. Serikali zao zikaanza ujenzi wa apartments ili kuhakikisha wananchi wengi wanapata...
  11. JamiiForums Tanzania Leo ndo nimeamini mmliwaua Hadi huyu Claudia MASSAWE nae mlimuua 29.10.2025

    Nilikuwa nikisikia kwa jirani ila Leo yamenifika, sikufanikiwa kumzika Claudia Mwana wa MASSAWE kutoka mkoa wakilimanjaro Binti pekee aliyetegemewa na Baba yake Mzee MASSAWE pale Rau. Hakika ni majonzi Binti ambae alikuwa tegemeo pekee la Mzee MASSAWE , Leo napita hapo nyumbani kusalimia...
  12. JamiiForums Tanzania Nauza ALITOP smart 4K nchi 55

    ALITOP SMART 4K NCHI 55 BEI 650,000/= BADO INA KARATASI ZAKE 0794626090 0688942700
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kama uislam unapambwa kuwa dini ya amani (religion of peace) kwanini hata nchi ikijaa waislam bado wanauana kwa sababu ya dini ?

    Mfano hapo juzi tu nchini Pakistan muislam kaingia kwenye msikiti kajilipua bomu, wasilam 31 wamepoteza maisha Ni nchi nyingi za kiislam imeshakuwa kawaida kusikia wakiuana kwa misingi ya kidini wataalam tunaombeni ufafanuzi Sasa najua kuna watu wataanza kujitetea "mbona nchi za kikristo nako...
  14. JamiiForums Tanzania PostGE2025 The economist: Samia Suluhu Hassan ameisababishia matatizo makubwa Tanzania, toka nchi ipate uhuru

    Jalida kubwa kabisa duniani, limemwelezea Samia Suluhu Hassan kama kiongozi aliyeiletea matatizo makubwa sana Tanzania toka nchi ipate uhuru. The Economist wanasema chini ya Samia, Serikali imeua watu wengi kuliko watu waliouliwa na Mjerumani kwenye Majimaji War. Chini ya Samia kumeshuhudiwa...
  15. JamiiForums Tanzania Magaidi kutoka Nchi 22 walijiunga na kundi la Wanamgambo wa Israel -IDF

    🔥🔥🔥🔥Taarifa ya Siri iliyofichuliwa huko Uingereza inataja zaidi ya Nchi 22 duniani zilituma magaidi kwenda Israel kwa ajili ya kuua watoto wa dogo na wanawake wasiokuwa na silaha huko GAZA Palestine. Ripoti hiyo inataja marekani ndio Nchini iliyopeleka Magaidi Wengi zaidi kujiunga na kundi la...
  16. JamiiForums Tanzania Uvunjifu wa sheria unaoendelea haukubariki utachochea maandamano mengine makubwa nchi nzima na hatutaomba ruhusa kudai hiki zetu

    Uvunjifu wa sheria unaoendelea haukubariki utachochea maandamano mengine makubwa nchi nzima na hatutaomba ruhusa kudai hiki zetu
  17. JamiiForums Tanzania Niueni! Nimekaa paleee. Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa AFCON itafanyika nchi ya Kusadikika

    Tazameni uhalisia wa mambo unavyoenda. Nchi zinazokaribiana na nchi ya Kusadikika ukiangalia project zao wako very serious na hawana porojo. Ukiangalia nchi ya Kusadikika ni kama vile tuko tu shega tu Naiona nafasi kubwa ya mwamba PK inayosifiwa kwa WAREMBO afrika nzima kupata nafasi mbadala...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kuwashobokea vijana, mtawala huyu wa nchi mojawapo Afrika anazidi kuchukiwa kila kukicha

    Wafu wamefikia hatua wanasema hawataki kuona picha yake. Ila yeye kakamoaa kuwa karibu na vijana. Mara tutawapa hiki, mara tutawapa kile. Tutawajengea studio na bado ahadi kibao. Lakini ukija uraiani vijana ndio wanamkataa kabisa.
  19. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Tabora kuna raia wa nchi jirani wanauzia watu Makaa ya mawe feki

    Huku Tabora kuna watu wanajitambulisha kuwa ni Warwanda na wanapaspoti za Rwanda wanauza hayo madongo kwenye picha wakidanganya watu kuwa ni makaa ya mawe. Wanauza hayo madongo Matano kwa Tsh 5,000, mamlaka ziwafuatilie kwa haraka.
  20. JamiiForums Tanzania Ikiwa Ujerumani ndo nchi ya watu wenye akili duniani na wana nguli imeshidwaje kuwa among super power dunia

    Albert Einstein – Nadharia ya Relativity Max Planck – Mwanzilishi wa Quantum Theory Werner Heisenberg – Uncertainty Principle Wilhelm Conrad Röntgen – Aligundua X-rays Hermann von Helmholtz – Fizikia na fiziolojia 🧪 Kemia Justus von Liebig – Baba wa modern chemistry Fritz Haber – Haber Process...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…