nchi

  1. Gabon: Jeshi limechukua madaraka baada ya Ali Bongo kutangazwa mshindi wa Urais

    Kikundi cha Wanajeshi 12 kimechukua uamuzi huo ikiwa ni siku chache tangu Tume ya Uchaguzi kutangaza kuwa Rais Ali Bongo ameshinda tena Kiti cha Urais Wanajeshi hao wametangaza kupitia Televisheni ya Taifa kuwa wanafuta matokeo yaliyoyangazwa na kuzifuta Taasisi zote za Umma pamoja na kulinda...
  2. Jeuri za Ufaransa ni kama hizi kwenye nchi walizowahi kuzitawala

    Raisi Macron wa Ufaransa amesema balozi wake nchini Niger, Sylvain Itte ataendelea kubaki nchini humo japo muda aliotakiwa kuongoka na watawala wa kijeshi kumalizika.na kwamba hata matamshi yake hayo balozi huyo alikuwa akiyasikiliza akiwa yumo ndani ya Niger. Akaongeza kwamba nchi yake itaunga...
  3. Lucas Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yake

    Kwa siku za hivi karibuni nimekuwa nikisoma nyuzi nyingi za huyu kijana mzalendo na kupata moyo kwamba nchi bado ina vijana wazalendo. Komredi Lucas mwashambwa bila kuchoka amekuwa akishusha nondo nzito nzito na kuwaacha wapinzani wa Dr Samia Suluhu Hassan wakitapatapa. Hii inaashiria nini...
  4. S

    Afrika tunashindwa na nchi za Asia tulizopata uhuru muda sawa. Shida ni nini?

    Jamani tuongee serious, nchi Kama India, Singapore, Malaysia, Indonesia zimepata uhuru almost the same time na nchi za kiafrika. Cha ajabu wenzetu wameendelea Sana halafu sisi bado tuna umaskini wa kutupa. Afrika jamani shida ni nini?
  5. L

    Rais Samia apongezwa kila kona ya nchi kwa msimamo wake wa kupeleka maendeleo kila mahali pasipo ubaguzi wala chuki

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Samia anaendelea kujizolea sifa, kuandikwa jina lake kwa wino wa dhahabu katika mioyo ya Watanzania, kuacha alama za kukumbukwa na Watanzania kutokana na misimamo yake ya kizalendo na kibinadamu kwa Watanzania. Rais Samia kwa ujasiri, uchungu, ushupavu, uzalendo na...
  6. Hii nchi kuwa katika Sintofahamu nyingi halafu GENTAMYCINE anajiandalia UZANAKINI WEEK siyo Kuwasanifu na Kuwadharau Watanzania?

    Sijui ni kwanini akina GENTAMYCINE tukipata tu Vyeo na Kulambishwa KEKI RASILIMALI TANZANIA ( KRT ) huwa tunabadilika Kitabia na kuwa Watu tusiojali, wenye Dharau, Wababe, Wajeuri, Wezi / Mafisadi halafu ni Wanafiki sana kujifanya tunawapenda Watu na Kuwaonea Huruma wakati kumbe Kiuhalisia Wao...
  7. Ukweli usemwe: Aliyeharibu nchi hii ni Mwalimu Nyerere kwa kushindwa kuwapa Watanzania Elimu

    Nawasalimu wanaJF. Leo nimeamua niseme ukweli kuhusu nchi yetu hii ya Tanzania. Katika miaka 24 ya utawala wa Mwalimu Nyerere, alitangaza maadui wakubwa wa watatu wa watanzania:- 1. UJINGA 2. UMASKINI 3. MARADHI Mwalimu Nyerere hakuwa visionary leader alikuwa mwanaharakati, badala ya kujenga...
  8. Kuna faida kwa nchi au wanasayansi kupeleka chombo mwezini....

    Hello guys; Wale wanaofuatilia maswala ya anga tunaomba tuelimishane wakuu... Leo habari kubwa nimekutana nayo mtandao wa Twitter ni juu ya India kufanikiwa na wao kutua mwezini. Wakitanguliwa na USA na USSR 1966 na China 2013 Sasa nikajiuliza kichwani lengo linakuwa ni nini? Kufanya utafiti...
  9. K

    UK inaweza kuwa nchi ya kwanza na ya mwisho kupigwa na kombola la Nuclear la Urusi, kaingia kwenye mtego mazima.

    Baada ya kusoma habari hiyo, ni wakati sasa wa kuamini kwamba UK kaingia kwenye mtego wa Urusi na inaweza kuwa ni nchi ya kwanza na ya mwisho kutupiwa bomu la Nuclear kutoka Urusi. Kuitambua Wagner kama kikundi Cha kigaidi maana yake ni kwamba: 1) watataka kuingia mpaka ndani ya Urusi kuwasaka...
  10. Balozi wa Marekani: Demokrasia inabidi iangalie mazingira ya nchi

    Katika mkutano wa wadau wa Demokrasia ulioandaliwa na TCD, Balozi wa Marekani Nchini Tanzania, Michael Battle amesema demokrasia sio lazima ifanane kwa kila nchi, lazima kila demokrasia izingatie mazingira yake. Amesema demokrasia ya Tanzania, inabidi izingatie mazingira ya Tanzania, ifanane na...
  11. L

    Mfumo wa BRICS+ wapongezwa na nchi za Afrika

    Mkutano wa 15 wa viongozi wa nchi za BRICS unafanyika nchini Afrika Kusini, ambapo viongozi wanaohudhuria mkutano huo wanajadili kwa kina mada mbalimbali ikiwemo kuimarisha ushirikiano na kupanua mfumo wa BRICS kuwa BRICS+. Afrika Kusini, ambayo ni nchi mwenyeji wa mkutano huo, imewaalika...
  12. Hii nchi naiogopa sana

    Naona vipepeo mnakubali kuingia katika njama ya kidini, protoko za kidini na maazimio ya kusema hadi kieleweke. Idara zikiongozwa kidini yetu macho Nawahakikishia mkiruhusu hili swala liende kidini kama mlivyoanza hamtafika popote na mtalaumiwa. Sasa shindaneni atakayeshindwa atalia tuu sisi...
  13. Kuuza lango la uchumi wa nchi ni usaliti mkubwa katika kuvunja katiba ya nchi, Bandari ni mali za Watanzania wote

    KUUZA LANGO LA UCHUMI WA NCHI AU KUTAFUTA WANAHISA NI USALITI MKUBWA KATIKA KUVUNJA KATIBA YA NCHI: BANDARI NI MALI ZA WATANZANIA WOTE HATUNA WANAHISA (SHAREHOLDERS) NA HATUHITAJI WANAHISA. WARAKA WA WAZI KWA WAHESHIMIWA WABUNGE NAKALA KWA WAHESHIMIWA VIONGOZI WA DINI NAKALA KWA TAASISI YA...
  14. Yuwapi January Makamba wakati huu nchi ikiwa gizani?

    Waziri wa Nishati, January Makamba yuwapi kwasasa? Sehemu kubwa ya nchi haina umeme mpaka mida hii. Waziri amekaa kimya? Sawa najua TANESCO walitupa taarifa asubuhi, lakini kwa uzito wa suala hili Waziri alipaswa atoke hadharani atupe updates. Yuwapi Januray Makamba?
  15. Nchi ambazo zina demokrasia hafifu na jeshi ambalo halina nguvu ya kuifanya ikulu kwa nchi husika zisifanye utumbo ni hatari kwa ustawi wa nchi husika

    Wasalaam nyote, Inapotokea nchi baadhi zina demokrasia hafifu na jeshi lisilo na meno wala utisho, wala hakuna supreme organ ya kuinyosha ikulu basi wanasiasa hata wapesi kama manyoya wanajifanyia watakavyo, ni hatari sana kwa ustawi wa mataifa husika. Triple S, yaani strategic state security...
  16. UMOJA wa Afrika (AU) umeifungia nchi ya Niger kushiriki shughuli zote za muungano

    UMOJA wa Afrika (AU) umeifungia nchi ya Niger kushiriki katika shughuli zote zinazohusiana na muungano huo kutokana na mapinduzi ya kijeshi yaliyofanywa mwezi uliopita. Kitengo cha amani na usamala katika umoja huo kimetoa wito kwa nchi wanachama wa AU kujiepusha na masuala yoyote yanayoweza...
  17. Ninapata tabu kuamini kama Megawat 268 zinafanya karibu nchi nzima isiwe na umeme

    Nimeona taarifa ya Tanesco kuwa kumetokea hitilafu ya mfumo katika kituo chake cha uzalishaji umeme kwa njia ya gesi cha Ubungo na kusababisha upungufu ya uzalishaji wa umeme kwa jumla ya megawati 268 kwenye mfumo, hivyo baadhi ya maeneo kwenye mikoa yanakosa umeme nyakati tofauti. Nimempigia...
  18. Ungepata nafasi ya kuoa/kuolewa na mtu wa nchi nyingine ungachagua raia wa nchi gani?

    Mimi ningachagua kuoa Rwanda. Kila mtu anajua maua yaliyopo kule. Wewe ungechagua wapi?
  19. Migogoro mingi duniani inatokana na kulazimisha watu wa dini, rangi na makabila tofauti kuunda nchi moja

    Hii mada nimeitoa mara nyingi naimba niitoe tena. Duniani sehemu kubwa ya migogoro inasababishwa na jambo hili. Huhitaji kuambiwa hili, linaonekana waziwazi. Mifano ni mingi kupita maelezo. India ilivunjika vipande vipande na kutoa nchi mbili ya Wahindu na Waislamu. Nigeria ilitaka kuvunjika na...
  20. Asante DPW kwa kutuonesha Rangi halisi ya nchi yetu

    DPW umekuja wakati sahihi sana katika taifa letu pendwa la tanzania. Tumepata kujuwa wanachi mambo ambayo tulikuwa atuyafahamu hapo mwanzo, na kutupa uwelewa kuhusu mambo yanavyo pelekwa kwa maslai ya watu wachache na familia zao. Tumeanza kujionea mambo kama: WABUNGE Kuna baadhi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…