Nasikitika kusema mfumo wa CHADEMA bado hauna uwezo wa kupewa uongozi wa nchi, labda waufanyie marekebisho au tuwape muda zaidi miaka 10 au 15 ijayo

Gift mzalendo

JF-Expert Member
Dec 13, 2019
1,137
1,325
Habari wakuu

Nikiri Mimi ni muumini wa demokrasia ya vyama vingi na siasa za hoja za ushindani kwani naamini ushindani wowote huletea wananchi maendeleo

Ni moja ya watu tunatamani kuona tunakuwa na vyama vya siasa imara vinavyoweza kubadilishana madaraka Kila wakati pale kilichopo kinaposhindwa kufikia matarajio ya wananchi

Pia nikiri wananchi wanatamani Sana mabadiliko kwenye maeneo mengi hata ikibidi chama kilichopo kiwekwe pembeni kwanza na waone

Lakini Naomba niandike kwa masikitiko makubwa kwamba Mfumo wa Chama kikuu Cha upinzani Chadema Hauna uwezo wa kubeba uongozi wa nchi na taifa kwa ujumla

Yako madhaifu mengi kwenye mfumo wa Chadema, Kwa Leo aomba nielezee udhaifu wa chadema kwenye

Demokrasia ya NDANI
Chadema inaonyesha udhaifu mkubwa haswa kwenye nafasi ya juu ya chama
MFumo wa Chadema unaruhusu nafasi ya juu ya uongozi, MTU mmoja kuweza kugombea mara nyingi atakavyo hata maisha

Hii inaonyesha hata wakipewa nchi wanaweza wakabadili Mfumo wa nchi kuwa hivyo na Pengine kuwa madikteta haswa,
maana kile wanachofanya Sasa ndo picha ya kile watachofanya wakipewa serikali

Pia hapa tuona tatizo kubwa lingine la Chadema kutegemea MTU badala ya Mfumo na Hili ni hatari Sana Kama tulivyoona kwa awamu Fulani waliacha kuimarisha Mifumo wakategemea Mtu ,
Nafikiri tuliona hatari yake pale yule mtu anapoondoka pasipo kutarajiwa
lazima Chadema kabla ya kupewa Serikali washughulikie hili.

Mbaya zaidi hili tatizo liko Hadi kwenye viongozi waandamizi wa juu kabisa wa Cdm kuamini MTU mmoja
Kwamba MTU Fulani akishachukua fomu ya nafasi Fulani Basi mwingine anakiri kutokuchukua hiyo fomu
Alafu mnataka mpewe nchi Muongoze kidemokrasia kweli

Pili Mfumo wa Chadema umeonyesha udhaifu mkubwa wa kubeba watu smart au maarufu wanajiunga na chama chao
Hiii inaweza kuchangiwa pia na udhaifu wa demokrasia ya Ndani

Tatu ni Mfumo wa Chadema kushindwa kubeba au kuhandle watu wenye mawazo tofauti na wale wanaokihama chama hicho

Neno usaliti limetumika kuwa kashifu na kuwatuhumu wale wanatofautiana na baadhi ya viongozi wa chama hicho au msimamo bila kujali hoja zao

Kama kuhama chama kwa kutofoutiana hoja au msimamo ni usaliti kwa chadema
Inakuwaje wanawapokea waliohama chama lingine kwa hoja zile zile na wengine wanakuja kwa kutaka kugombea tu nafasi Tena za Cdm

Je Cdm ikipewa serikali Leo itawachukuliaje wale wanaotofautiana na serikali yao ?
Kama watawachukulia Kama wasaliti Kama wanavyofanya kwa sasa
je wapinzani wao watakuwa salama ?

Hayo ni machache kwa Leo kwenye mfumo wa Chadema

Naamini bado Wana nafasi ya kufanya madabiliko ya mfumo wao kuweza kubeba dhamana ya juu zaidi katika nchi yetu na sio tu kuwa chama kikuu Cha upinzani

Wao ndo wataamua ni muda Gani kwa haraka au miaka kumi na 15 nayoiona mimi baada ya kuingiza uongozi wenye fikra mpya au waliopo wakubali madhaifu wabadilishe

Hakuna Haja ya kubomoa nyumba ya nyasi Kama huna uhakika wa kujenga au kupata nyumba Bora zaidi ya tofali na mabati au zaidi ya hapo
 
Habari wakuu
Nikiri Mimi ni muumini wa demokrasia ya vyama vingi na siasa za hoja za ushindani
Kwani naamini ushindani wowote huletea wananchi maendeleo
Chadema wana uwezo mkubwa sana wa kuongoza nchi kuliko ccm. Acha propaganda za kipuuzi. Na ndio maana nchi haisongi mbele kutokana na fikra matope kama zako. Angalia nchi zote zenye ushindani wa vyama kupokezana kuongoza Dola zilivyosonga mbele kimaendeleo.
 
Habari wakuu

Nikiri Mimi ni muumini wa demokrasia ya vyama vingi na siasa za hoja za ushindani
Changamoto ya kutegemea mtu badala ya mfumo ni kubwa kuliko unavyofikiri.
Ina mizizi kuanzia zama za kabla ya utumwa, ukoloni na hata leo miaka 63 baada ya Uhuru.

Kumbukumbu za hivi karibuni ni maneno na vitendo vya viongozi na watendaji wa serikali za awamu ya tano (Rais Magufuli) na awamu ya sita (Mama Samia ambaye hatumii mikono ya chuma kuongoza).

Tatizo siyo kiongozi, ni utamaduni wa fikra za kujipendekeza, kusifu na kuabudu bila kutumia akili kwa walio wengi.
 
Habari wakuu
Nikiri Mimi ni muumini wa demokrasia ya vyama vingi na siasa za hoja za ushindani
Kwani naamini ushindani wowote huletea wananchi maendeleo
si Kama huna uhakika wa kujenga au kupata nyumba Bora zaidi ya tofali na mabati au zaidi ya hapo
CCM mnamuogopa sana Mbowe! Wacha awatoe kamasi nyie
 
Jii
Habari wakuu
Nikiri Mimi ni muumini wa demokrasia ya vyama vingi na siasa za hoja za ushindani kwani naamini ushindani wowote huletea wananchi maendeleo
ya nyasi Kama huna uhakika wa kujenga au kupata nyumba Bora zaidi ya tofali na mabati au zaidi ya ha

Kama CCM bado wanatawala mpaka Sasa basi hata Mdude anaweza kuongoza.

Kuna watu wameingia ikulu Kwa bahati nasibu na bado wanapambwa na mabango nchi nzima mitano Tena sembuse Mbowe au Lisu . Mbowe ameanza harakati za kisiasa na kujenga Chama chake tangu Mwaka 1992 akiwa kijana Mdogo sana Mwenye pesa nyingi . Utamlinganisha na hao CCM wanaobebwa na mafisadi Kwa kupandikiza watu ndani ya vyombo Kwa ajili ya kulinda uchafu wao. CCM hata midahalo wakati wa Kutafuta wagombea Urais wanaikataa na hawairuhusu Kwa kwenye vyombo vya habari Kwa sababu wanajua kuwa hawana maono juu ya Taifa hili zaidi ya kulinda maslahi Yao.

Mabadiliko kamwe hayawezi yakaletwa na Chama Cha Siasa .
Ndio maana nchi zote zilizoendelea duniani zilianza kutawaliwa Kijeshi au Kidikteta . Vyama vilikuja kuwa na nguvu baada ya wahuni kupata uchochoro wa kupata madaraka kupitia siasa.
Hivi nani pale CCM unaweza ukamlinganisha na Tundu Lisu katika kujenga Hoja kitaifa na kimataifa. CCM ikitoka madarakani itakufa milele Kwa sababu wengi wapo pale Kwa ajili ya maslahi na kamwe hawana uwezo wa kukaa nje ya madaraka na kujitegemea katika kujenga Hoja na kukosa madaraka na kuvumilia. CCM ni Chama Cha machawa.

2025 tunataka kuchagua kiongozi Mwenye maono na nchi hii sio madalali ambao wanaouza nchi Bila kujua thamani halisi ya nchi .

Tatizo la kupata kiongozi asiyewahi kuwa na maono juu ya Nchi yetu ni SAWA na mtoto wa kambo anayeuza Mali ya urithi baada ya baba wa kufika kufariki . Ni wazi kuwa Hana uchungu na hajui thamani ya Mali aliyoiruthi.

2025 Tunataka midahalo ifanyike ili tujue nini maono ya wagombea juu ya Nchi yetu.

CCM Inamiliki watu wenye majina makubwa lakini inawatumia kichawa na sio Kwa faidia ya nchi. Ndio maana mpaka Leo Wastaafu wote ni CCM hata wale wa vyombo vya ulinzi na usalama . Wapo Kwa ajili ya maslahi Yao na sio maslahi ya nchi.

Tunataka mgombea binafsi na sio muda wote kutegemea wanasiasa ndani ya vyama . CCM imeondoa kabisa umuhimu wa Chama kwani umekua ni genge la wezi na mafya kushirikiana na Wageni Kuhamisha Mali za umma kupeleka Uarabuni na Ulaya. Kama kuwa na mbinu za Wizi na ufisadi ndio uwezo wa kuongoza nchi basi CCM itadumu milele .

CCM bado hawajajua tu kuwa Mungu alimchukua Hayati Dr. Magufuli ili Chama Hicho kifikie mwisho wa kuwaumiza Watanzania. Aliyepo ajiandae tu kukabidhi nchi Kwa Wengine lakini sio yeye atakayeshinda uchaguzi . Na Wizi wa kura kwake hautamsadia kwani hakubaliki kabisa huku Tanganyika . Kwa sasa ni vyema amshukuru Mungu Kwa fursa aliyoipata na kujjijenga kiuchumi. Angebaki Zanzibar asingefikia kiwaango Cha uchumi alichofikia .
Miaka kama Makamu wa Rais na Maiaka minne kama Rais inamtosha kabisa akapumzike . Akingangania basi atakua anakufuru Mungu na kuwadharau Watanganyika na watanzania Kwa ukubwa wake.

Uhuru wa kukosoa uko wapi ndani ya CCM kama Ndugai alifukuzwa fasta kwani baada tu ya kutoa maoni yake na kutahadharisha juu ya Tanganyika kupigiwa mnada kutokana na madeni.
 
Chadema wanapunguzwa nguvu na dola,Tume na Rushwa inayopenezwa kutoks CCM vinginevyo wangekuwa wamechukua nchi. wamefungwa,wameuawa , wametishwa, wamehongwa,kuibiwa kura waziwazi 2020, na kupenezwa rushwa kwao kuunga juhudi, zaidi ya viongozi 100 makatibu wakuu, wenyeviti wa mikoa,wilaya,Bawacha,Bavichs nk ni wahanga wa rushwa ya ccm. Lakini chini ya uongozi imara wa Mbowe na Lissu watavuka. Hivyo msiwabeze wamepambana mno kwenye mazingira magumu na wanauwezo wa kuongoza ngoja waendelee kuiva kwenye tanuru. Hiki chama iko siku kitawatoa ccm it is a matter of time.
 
Habari wakuu

Nikiri Mimi ni muumini wa demokrasia ya vyama vingi na siasa za hoja za ushindani kwani naamini ushindani wowote huletea wananchi maendeleo

Ni moja ya watu tunatamani kuona tunakuwa na vyama vya siasa imara vinavyoweza kubadilishana madaraka Kila wakati pale kilichopo kinaposhindwa kufikia matarajio ya wananchi

Pia nikiri wananchi wanatamani Sana mabadiliko kwenye maeneo mengi hata ikibidi chama kilichopo kiwekwe pembeni kwanza na waone

Lakini Naomba niandike kwa masikitiko makubwa kwamba Mfumo wa Chama kikuu Cha upinzani Chadema Hauna uwezo wa kubeba uongozi wa nchi na taifa kwa ujumla

Yako madhaifu mengi kwenye mfumo wa Chadema, Kwa Leo aomba nielezee udhaifu wa chadema kwenye

Demokrasia ya NDANI
Chadema inaonyesha udhaifu mkubwa haswa kwenye nafasi ya juu ya chama
MFumo wa Chadema unaruhusu nafasi ya juu ya uongozi, MTU mmoja kuweza kugombea mara nyingi atakavyo hata maisha

Hii inaonyesha hata wakipewa nchi wanaweza wakabadili Mfumo wa nchi kuwa hivyo na Pengine kuwa madikteta haswa,
maana kile wanachofanya Sasa ndo picha ya kile watachofanya wakipewa serikali

Pia hapa tuona tatizo kubwa lingine la Chadema kutegemea MTU badala ya Mfumo na Hili ni hatari Sana Kama tulivyoona kwa awamu Fulani waliacha kuimarisha Mifumo wakategemea Mtu ,
Nafikiri tuliona hatari yake pale yule mtu anapoondoka pasipo kutarajiwa
lazima Chadema kabla ya kupewa Serikali washughulikie hili.

Mbaya zaidi hili tatizo liko Hadi kwenye viongozi waandamizi wa juu kabisa wa Cdm kuamini MTU mmoja
Kwamba MTU Fulani akishachukua fomu ya nafasi Fulani Basi mwingine anakiri kutokuchukua hiyo fomu
Alafu mnataka mpewe nchi Muongoze kidemokrasia kweli

Pili Mfumo wa Chadema umeonyesha udhaifu mkubwa wa kubeba watu smart au maarufu wanajiunga na chama chao
Hiii inaweza kuchangiwa pia na udhaifu wa demokrasia ya Ndani

Tatu ni Mfumo wa Chadema kushindwa kubeba au kuhandle watu wenye mawazo tofauti na wale wanaokihama chama hicho

Neno usaliti limetumika kuwa kashifu na kuwatuhumu wale wanatofautiana na baadhi ya viongozi wa chama hicho au msimamo bila kujali hoja zao

Kama kuhama chama kwa kutofoutiana hoja au msimamo ni usaliti kwa chadema
Inakuwaje wanawapokea waliohama chama lingine kwa hoja zile zile na wengine wanakuja kwa kutaka kugombea tu nafasi Tena za Cdm

Je Cdm ikipewa serikali Leo itawachukuliaje wale wanaotofautiana na serikali yao ?
Kama watawachukulia Kama wasaliti Kama wanavyofanya kwa sasa
je wapinzani wao watakuwa salama ?

Hayo ni machache kwa Leo kwenye mfumo wa Chadema

Naamini bado Wana nafasi ya kufanya madabiliko ya mfumo wao kuweza kubeba dhamana ya juu zaidi katika nchi yetu na sio tu kuwa chama kikuu Cha upinzani

Wao ndo wataamua ni muda Gani kwa haraka au miaka kumi na 15 nayoiona mimi baada ya kuingiza uongozi wenye fikra mpya au waliopo wakubali madhaifu wabadilishe

Hakuna Haja ya kubomoa nyumba ya nyasi Kama huna uhakika wa kujenga au kupata nyumba Bora zaidi ya tofali na mabati au zaidi ya hapo
Mkuu;

Nakuunga mkono kwenye suala la kuwa muunini wa demokrasia ila natofautiana nawe kwa kuitazama demokrasia kupitia miwani ya CCM.

Kwa kweli uchambuzi wako sio wa haki na kweli hata kidogo. Unaonekana wewe na chama chako kutishwa na uimara wa uongozi uliopo ndani ya chama kikuu cha upinzani na mbinu wanayo tumia kuusuka uongozi wao.

Unajifanya kutoa ushauri kana kwamba uongozi wa nchi unatolewa kwa hisani na kikundi chako au chama chako! Hii inadhirisha jinsi mawazo na mtazamo wako ulivyo finyu.

Pia hii ni dalili moja wapo ya kuonyesha hofu iliyopo ndani ya chama tawala na kifuani mwa raisi aliyepo madarakani.

Chama tawala kinajiuliza kama Magufuli alichemka kiasi kile kwenye uchaguzi wa 2020 licha ya ubabe, ukatili, uovu, rushwa, kubadili sheria na kujitangaza kote nchi nzima kwa hali ya sasa itakuwaje???

Mkuu hofu yako na ya chama chako inaeleweka sio ya kuunusuru upinzani bali kuinusuru CCM kwa kutarajia makosa ya upinzani katika kupanga safu ya uongozi wao.

Naona unatung'amulia mbinu, hatua na maandalizi ya kuchafua uchaguzi ujao, wanademokrasia tumekuelewa. Kila mwenye mawazo mmbadala amekusoma ila mkuu kumbuka kila jambo lina mwisho wake.

Ni vyema kutumia busara ya baba wa taifa mwalimu Nyerere ya kung'atuka na kujipanga upya.
 
Habari wakuu

Nikiri Mimi ni muumini wa demokrasia ya vyama vingi na siasa za hoja za ushindani kwani naamini ushindani wowote huletea wananchi maendeleo

Ni moja ya watu tunatamani kuona tunakuwa na vyama vya siasa imara vinavyoweza kubadilishana madaraka Kila wakati pale kilichopo kinaposhindwa kufikia matarajio ya wananchi

Pia nikiri wananchi wanatamani Sana mabadiliko kwenye maeneo mengi hata ikibidi chama kilichopo kiwekwe pembeni kwanza na waone

Lakini Naomba niandike kwa masikitiko makubwa kwamba Mfumo wa Chama kikuu Cha upinzani Chadema Hauna uwezo wa kubeba uongozi wa nchi na taifa kwa ujumla

Yako madhaifu mengi kwenye mfumo wa Chadema, Kwa Leo aomba nielezee udhaifu wa chadema kwenye

Demokrasia ya NDANI
Chadema inaonyesha udhaifu mkubwa haswa kwenye nafasi ya juu ya chama
MFumo wa Chadema unaruhusu nafasi ya juu ya uongozi, MTU mmoja kuweza kugombea mara nyingi atakavyo hata maisha

Hii inaonyesha hata wakipewa nchi wanaweza wakabadili Mfumo wa nchi kuwa hivyo na Pengine kuwa madikteta haswa,
maana kile wanachofanya Sasa ndo picha ya kile watachofanya wakipewa serikali

Pia hapa tuona tatizo kubwa lingine la Chadema kutegemea MTU badala ya Mfumo na Hili ni hatari Sana Kama tulivyoona kwa awamu Fulani waliacha kuimarisha Mifumo wakategemea Mtu ,
Nafikiri tuliona hatari yake pale yule mtu anapoondoka pasipo kutarajiwa
lazima Chadema kabla ya kupewa Serikali washughulikie hili.

Mbaya zaidi hili tatizo liko Hadi kwenye viongozi waandamizi wa juu kabisa wa Cdm kuamini MTU mmoja
Kwamba MTU Fulani akishachukua fomu ya nafasi Fulani Basi mwingine anakiri kutokuchukua hiyo fomu
Alafu mnataka mpewe nchi Muongoze kidemokrasia kweli

Pili Mfumo wa Chadema umeonyesha udhaifu mkubwa wa kubeba watu smart au maarufu wanajiunga na chama chao
Hiii inaweza kuchangiwa pia na udhaifu wa demokrasia ya Ndani

Tatu ni Mfumo wa Chadema kushindwa kubeba au kuhandle watu wenye mawazo tofauti na wale wanaokihama chama hicho

Neno usaliti limetumika kuwa kashifu na kuwatuhumu wale wanatofautiana na baadhi ya viongozi wa chama hicho au msimamo bila kujali hoja zao

Kama kuhama chama kwa kutofoutiana hoja au msimamo ni usaliti kwa chadema
Inakuwaje wanawapokea waliohama chama lingine kwa hoja zile zile na wengine wanakuja kwa kutaka kugombea tu nafasi Tena za Cdm

Je Cdm ikipewa serikali Leo itawachukuliaje wale wanaotofautiana na serikali yao ?
Kama watawachukulia Kama wasaliti Kama wanavyofanya kwa sasa
je wapinzani wao watakuwa salama ?

Hayo ni machache kwa Leo kwenye mfumo wa Chadema

Naamini bado Wana nafasi ya kufanya madabiliko ya mfumo wao kuweza kubeba dhamana ya juu zaidi katika nchi yetu na sio tu kuwa chama kikuu Cha upinzani

Wao ndo wataamua ni muda Gani kwa haraka au miaka kumi na 15 nayoiona mimi baada ya kuingiza uongozi wenye fikra mpya au waliopo wakubali madhaifu wabadilishe

Hakuna Haja ya kubomoa nyumba ya nyasi Kama huna uhakika wa kujenga au kupata nyumba Bora zaidi ya tofali na mabati au zaidi ya hapo
Chadema labda waongoze TFF au TUKTA 🐒
 
Back
Top Bottom