nay wa mitego

  1. W

    Nay Wa Mitego awashukuru Watanzania kwa kuufanya wimbo wake mpya kuwa No. 1 trending, awasifu kwa misimamo na umoja

    Msanii Nay wa Mitego kupitia ukurasa wake wa Insta ameeleza hayo hii ikiwa ni katika kipindi amabacho wananchi wanajitahidi kuwawajibisha wasanii waliokataa kusimama nao kipindi cha matatizo. Nay ameanika; "Watanzania Wa Sasa Sio Watu Wa Kuchezea Wana Maamuzi , Wana Misimamo Na Umoja✊. Jana...
  2. DuaZaMama

    Nay wa Mitego aachia wimbo mpya ‘tupo bize’. Muda sio rafiki hatutaki stori za wasanii

    Msanii wa hip hop Emmanuel Elibariki Munisi, maarufu kama Nay wa Mitego, ameachia wimbo wake mpya unaoitwa “Tupo Bize”. Wimbo huo umeelezwa kuwa ni ujumbe maalum kwa wasanii wa Bongo Fleva, ukiwahimiza kuendelea kufanya kazi kwa bidii bila kulalamika.
  3. The Magnifico

    PostGE2025 Mwandambo: PM unasema akina Diamond walikuwa kwenye ajira ya kutumbuiza CCM, kwa nini akina Roma na Nay wa Mitego wakiimba CHADEMA wanafungiwa?

    Clemence Mwandambo amemuhoji Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba kuhusu hoja yake aliyoitoa akieleza kuwa wasanii wanapokuwa katika majukwaa ya CCM ni miongoni mwa sehemu ya kazi zao. Mwandambo amehoji je kwanini wasanii kama Roma na Nay wa Mitego wakiimbia Upinzani wanazuiliwa na BASATA ingali na wao...
  4. R

    PostGE2025 Nay wa Mitego: Watanzania wameamua kutuonesha kuwa wao ndio mabosi zetu, tatizo wasanii wana ubinafsi na kusahau

    Msanii wa muziki wa Hiphop Emmanuel Elibariki(Nay wa Mitego) amesema hali ya kukataliwa kwa wasanii na mashabiki nchini ni jambo ambalo litatoa somo kwa wasanii kuwa wanapaswa kuwa sauti ya mashabiki/wananchi angalau mara chache. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Nay amechapisha video yake...
  5. The Palm Beach

    Video song: No Reforms No Election

    Hii Ngoma imeachiwa huko YouTube channel Ama kweli No Reforms No Election ni moto wa nyika huu na definitely ndio habari ya mjini na duniani kwa sasa... Actually kama ulisoma Fasihi shuleni na ukaambiwa kuwa; ".......Literature is a reflection of social realities...." Basi maudhui ya wimbo...
  6. The Dictator

    Kumbukizi: Sauti ya watu by Nay wa mitego; ilitoka; November 2, 2022

    Sauti Ya Watu – Nay Wa Mitego UTANGULIZI: Hii sio sauti ya kiharakati wala Ukombozi wa musa na fimbo yake Bali haya ni maumivu ya mnyonge Anaye wakilisha walala hoi wenzake Kwenye kinywa kilichokosa Pa kusemea hisia zake UJUMBE: • Natanguliza samahani kwa wale nitakao wakwaza Yamenifika hapa...
  7. Waufukweni

    PreGE2025 Nay wa Mitego amkana Mange Kimambi kuhusu madai ya kupewa Milioni 100 na kuhamia CCM

    Nay wa Mitego amekanusha madai ya Mange Kimambi kwamba amelipwa Milioni 100 na muda wowote atatangaza kuhamia CCM "Unaona mimi ni wa million 100 kweli.?! career yangu ina thamani kubwa sanaaaa, mapenzi ya Wana Nchi wangu huwezi fananisha na kiasi chochote cha pesa, na nina enjoy kua ivi nilivyo...
  8. Cute Wife

    BASATA waufungia wimbo wa Nay 'Nitasema'

    Wakuu, Ila BASATA mmekuwa zaidi ya mizigo! Kwa hawa watu wote wanaotekwa na kuwataja polisi 🤣 🤣 au wenzetu hamjui Kiswahili. Mapana naona ndio utakuwa kiongozi kituko kuwahi kutokea tokea BASATA ianzishwe! Halafu serikali na CCM hamjifunzi, yaani mnarudia mambo yale yale ambayo yakuja ku...
  9. and 998 others

    Nay wa Mitego anyemelea Jimbo la Ubungo

    Msanii tajwa anajipigia promo ili 2025 agombee ubunge kupitia jimbo la Ubungo. 2025-2055 Ni Professor Kitila Mkumbo (PhD) CCM tu. https://m.youtube.com/watch?v=wMdB_2ZLgy4&pp=ygUWbml0YXNlbWEgbmV5IHdhIG1pdGVnbw%3D%3D
  10. Cute Wife

    PreGE2025 Haya ndiyo makosa ambayo BASATA wanamtuhumu Nay wa Mitego kutokana na wimbo wake wa "Nitasema"

    Wakuu, Ndio walikuwa wanajitapa na uhuru wa kutoa maoni kuongezeka. Kauli za kichochezi inatakiwa kutolewa maana. Huku ni kutufanya mabubu wazi wazi. ====== HATI YA MAKOSA KOSA LA KWANZA Kutoa wimbo kwa walaji bila kibali, kinyume na Kanuni ya 25(1) ya Kanuni za Baraza la Sanaa la Taifa...
  11. Erythrocyte

    Ney wa Mitego aitwa BASATA kujadili wimbo wake wa ‘Nitasema’

    Ni kutokana na Wimbo wake Kabambe unaozungumzia Utekaji wa watu kutupwa Ununio Namshauri aongozane na Mwanasheria wake. ======= Msanii Nay wa Mitego amesema amepokea barua ya wito kutoka Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), kufika kwenye kikao ili kujadili wimbo wake wa ‘Nitasema’ kilichopangwa...
  12. Just Pray

    SI KWELI Wimbo wa Nay wa Mitego uitwao Nitasema, umefutwa youtube na yeye hajulikani alipo

    Nimekutana na post katika mtandao wa X ikisema Wimbo wa Nay wa Mitego alioutuoa hivi karibuni umefutwa na yeye hajulikani alipo, je kuna ukweli wowote?
  13. The Sheriff

    Nay wa Mitego: Asilimia kubwa ya wasanii ni wa Serikali. Tuache uoga wa kukemea mambo ya kikatili na kutegemea Wasanii kupaza sauti

    Msanii wa Muziki wa Hip Hop nchini Tanzania Nay Wa Mitego amesema hajawahi kuwa katika Chama cha Siasa lakini amechagua upande wa kuwasemea Wananchi ambao ni Mashabiki wake. Nay amesema hayo wakati akijibu baadhi ya maoni ya wananchi kuhusu ukimya wa Wasanii wa Tanzania pale yanapotokea matukio...
  14. P

    Wimbo wa Nay wa Mitego umewagusa Wakenya, wajiuliza ni jiwe kwa serikali yao au kwa Tanzania!

    Wakuu, Nay wa Mitego amedondosha jiwe jingine, ngoma inaitwa "Wapi Huko", kwenye wimbo huu anagusima mambo mengi ikiwemo hali ngumu ya maisha, akisema kwenye nchi hiyo bei ya pombe ni rahisi kuliko chakula, uchumi unachechemea, muda wa kazi umeme haupatikani, soka imeingiliwa na siasa, wananchi...
  15. Kinjekitile Jr

    Roma Mkatoliki na Nay wa Mitego, ni muda wenu sasa kuwa wabunge/viongozi ndani ya nchi hii

    Wasalaam Wakuu.............!!! Moja kati ya mambo ambayo uwa naumia sana kuyaona kwenye hii nchi ni kuwaona watu wasio staili kukalia nafasi za wale wanao staili Ukienda Bungeni kuna watu mpaka unashangaa mwenyewe,alitumia mbinu gani mpaka akaupata ubunge? Mtu Kama Babu Tale,Mwana FA,Michael...
  16. Suley2019

    BASATA: Nay wa Mitego ni mtoto wetu, hatujamfungia

    Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA), Dkt. Kedmon Mapana, ameeleza kwamba BASATA haikumfungia mwanamuziki Emmanuel Elibariki, maarufu kama ‘Nay wa Mitego,’ kufanya maonyesho, lakini walimuita kuzungumza naye ili kurekebisha baadhi ya mambo. Akizungumza na waandishi wa habari...
  17. JanguKamaJangu

    BASATA: Tulimzuia Nay wa Mitego kufanya shoo kwa kuwa amekataa wito wetu mara mbili

    Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limesema limetoa wito mara mbili kwa Msanii wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego kufika ofisini kwa ajili ya mazungumzo khusu wimbo wake wa Amkeni lakini hakutokea na hiyo ndio sababu ya taasisi hiyo kumnyima vibali vya kufanya shoo Mkoani Njombe. Mwanasheria wa...
  18. BARD AI

    Nay wa Mitego aitwa BASATA

    Katika ukurasa wake rasmi wa Instagram Nay wa Mitego anaandika: Nimepokea Barua Ya Wito Kutoka Kwa Walezi Wetu @basata.tanzania Kwa Ajili Ya Kikao So Nitafika Kwenye Kikao Siku Iliyo Pangwa. Naamini Kitakua Kikao Kwa Ajili Kuijenga Sanaa Yetu. Coz Naamini Kuijenga Na Kuikuza Sanaa Yetu Ni Moja...
  19. thegreat1510

    Roma naye amkataa Nay wa Mitego

    Roma kwenye account yake ya Twitter ameandika haya #YAH: SIHUSIKI KWENYE HILI. Kwenu @BasataTanzania Husika Na Kichwa Cha Habari Hapo Juu, Huyu Kijana NAY Ni Muongo Sana, Mimi Sijamtumia Kitu Chochote Wala Sijahusika Kwenye Wimbo Wake Huo, Kwanza Hata Namba Yake Ya Simu Sina, Ananisingizia Na...
  20. thegreat1510

    Roma naye amkataa nay wa mitego.

    Habari Wanajf , Roma kwenye account yake ya Twitter ameandika haya kuhusu nay wa mitego. Kukanusha kwamba amemsaidia nay wa mitego baadhi ya mistari kwenye wimbo wake wa "amkeni* "#YAH: SIHUSIKI KWENYE HILI. Kwenu @BasataTanzania Husika Na Kichwa Cha Habari Hapo Juu, Huyu Kijana NAY Ni Muongo...
Back
Top Bottom