nay wa mitego

  1. Sildenafil Citrate

    TCRA yapiga stop wimbo wa Nay wa Mitego kuchezwa kwenye vyombo vya habari

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imepokea taarifa kutoka Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kuzuiya wimbo uitwao "Amkeni" uliopigwa na mwanamuziki Emmanuel Elibariki (Nay wa Mitego) kutopigwa katika mitandao ya kijamii na vombo vya habari. Aidha, kwa mujibu wa BASATA, maudhui ya wimbo huo...
  2. M

    Nampongeza Nay wa mitego kwa kuwapatia CHADEMA agenda

    Mimi ni shabiki lialia wa muziki wa Hiphop (Rap). Kuanzia rappers wa ndani hadi wale wa America. Kimsingi Hiphop ni muziki wangu pendwa zaidi. Simu yangu ina nyimbo za Sugu, Kalapina, N2N, Prof Jay & HBC, Nay Trueboy, Naziz, biso na biso, Zay B, Missy Eliot, Dr Dre, Jay Z, 2pac, Dmx, na wakali...
  3. S

    Wimbo mpya wa Nay wa Mitego kuhusu bandari views 71,000 ndani ya saa 7

    Wimbo mpya wa Nay wa Mitego unaoitwa amkeni unaozungumzia sakata la Bandari, Ripoti ya CAG na ugumu wa maisha umefikisha watazamaji 71,000 na comments zaidi ya 2,000 ndani ya masaa 7 tu tangu uachiwe hewani
  4. Mwl.RCT

    Video | Nay Wa Mitego - Kudada deki

    = = Kudadadeki Lyrics By Nay Wa Mitego Below: Heeeh whatsap ma people Its me again baba yaga I'm on it Leo sitaki kuimba nataka nichane Na mizuka ikinipanda mniruhusu nitukane F**k haters coz hate for no reason Dua nyingi mrudi uraiani wanangu mlioko prison Mi niko busy bwana na...
  5. Mwl.RCT

    Nay Wa Mitego | Sauti Ya Watu

    = Nay hajawahi kuniangusha ! Ujumbe umefika...... =
  6. BARD AI

    TCRA yapiga marufuku wimbo wa Nay wa Mitego uitwao "Tozo"

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA imetoa agizo hilo kwa vyombo vyote vya Utangazaji nchini baada ya kupokea taarifa kutoka Baraza la Sanaa la Taifa BASATA. Kwa mujibu wa barua ya TCRA imesema baada ya BASATA kuhakiki wimbo huo imebaini kuwa maudhui yake hayafai kutumika katika jamii na...
  7. Suphian Juma

    Wasanii Roma, Nay wa Mitego na nusura ya kifo

    WASANII ROMA, NAY WA MITEGO NA NUSURA YA KIFO. Ilikuwa alfajiri majira ya saa 10, nikatoka ndani ya Ukumbi wa Silver Sand uliokwepo pembezoni kwa bahari ya Hindi nikaelekea hadi nje ya geti ili kukwepa makelele ya muziki ndani na kupata wasaa wa kuongea na Msanii Nay wa Mitego aliyechelewa...
  8. Suley2019

    Kilichomponza Nay wa Mitego kublokiwa na Harmonize

    Nay wa Mitego amesema yeye ni mtu ambaye hapindishipindishi maneno na kama ukikosea au ukimzingua atakuchana ukweli labda hiyo ndiyo sababu ya Harmonize kujishtukia na kumblock Instagram. "Mimi sina tatizo na Harmonize, nipo straight sana hata kama ni mshkaji wangu ukinizingua au ukinikosea...
Back
Top Bottom