naweza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwa mil. 20 naweza kujenga nyumba ya vyumba vitatu Dar?

    Wakuu, Kwa mil 20 naweza kujenga iyo nyumba nikisimamia mwenyewe?
  2. JamiiForums Tanzania Wakuu wapi naweza kupata Laptop nzuri kwa dar es salaam

    Somo la thread linajieleza,natafuta laptop computer zenye uwezo wa kati hasa zile nyembamba zenye screen pana,je ni maduka gani yako reputable kwenye uuzaji wa laptop nzuri,pia na hata bei ziwe reasonable
  3. JamiiForums Tanzania Msaada: Kwa sifa hizi naweza kuwa Assistant Lecturer?

    Habari wakuu, naombeni msaada wa haraka kwa ufafanuzi au ushauri. Nimekua na passion ya kuja kufundisha vyuo vikuu kwa muda sasa, lakini kuna jambo linanitatiza hapa. Undergraduate nilisoma Human Resources Management (GPA 3.2) Naomba izingatie hii GPA. Kozi hii haikuwa passion yangu, nilisoma...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Kwa ramani hii naweza kutumia bati na tofali ngapi. Nina Milioni 3 hapa

    Habari wakuu Hii ramani naweza kutumia bati ngapi na tofali ngapi? Kwa ujumla naweza kutumia tsh ngapi maana Nina million 3 hapa kibindoni
  5. JamiiForums Tanzania Wapi naweza pata Hygrometer na Thermostat.? Niko Mwanza

    Wadau msaada Tafadhali sana.
  6. JamiiForums Tanzania Naweza kusoma nikiwa kazini Diploma za Sayansi kwa ufaulu huu kidato cha sita wa mwaka 2014?

    Habari za muda huu ndugu wana jukwaa. Niende moja kwa moja kwenye mada; nilihitimu kidato cha sita mwaka 2014 mchepuo wa PCM na kupata alama zifuatazo; Physics- D Chemistry- E Advanced Mathematics-E General Studies- D ( japo haina maana). Baada ya matokeo hayo yasiyoridhisha nikajikatia tamaa...
  7. JamiiForums Tanzania Mwachiluwi Kwenye pishi hili la vitafunwa naweza kutumia maji badala ya maziwa? Sipendi maziwa mimi

    Mwachiluwi Karibuni wale wote wapenda mapishi mimi napenda sana kujifunza kila leo. Changamoto yangu maziwa situmii japo hata nikitumia huwa hayana madhara yoyote. Je naweza kutumia maji mbadala wa maziwa na ladha ikabaki vilevile?
  8. JamiiForums Tanzania Wapi naweza pata chopa....guta ya abiria

    Naweza kupata wapi?? Kwa mkopo??
  9. JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata spare part hii ya pellet machine ya chakula cha kuku kwa kuchonga au kukunua

    Wakuu nahitaji muongozo wenu wapi ninapoweza kununua au kuchonga spare part hii ya mashine ya kutengeneza chakula cha kuku cha punje(pellets),nataka disk yenye matundu madogo pungufu ya 3mm,nimejaribu sehemu mbalimbali wanashindwa hii kazi pakiwemo kwenye ile taasisi fulani kubwa ya serikali ya...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna mwandishi wa habari wa kujitegemea ambaye naweza kushirkiana nae kwenye platform za kidigital

    Hivi kuna mwandishi wa habari wa kujitegemea ambaye naweza kushirkiana nae kwenye platform za kidigital Anaweza kushirikiana na mimi kwenye platform za kidigital kwa kuanza kujitolea, naomba kujua kama yupo tuwasiliane.
  11. JamiiForums Tanzania Ni namna gani naweza kuanza?

    Wakuu habari, nataka nianze kufanya uzalishaji wa bidhaa fulani (), ni wazo nimekuwa nalo kwa takribani mwaka sasa, kwasababu nilikuwa natafuta taarifa sahihi. Nataka nianze kwa sasa, ila kuna mambo yananichanganya, mfano hio product kabla sijaanza kusambaza sehemu husika, si ni lazima nipate...
  12. JamiiForums Tanzania Sehemu gani kwenye Ajira Portal naweza nika-cancel maombi yangu ya ajira

    Au niache tu wakiniita nisiende? Nataka ku-cancel sitaki tena kujisumbuasumbua na kupoteza gharama za stationary, nauli, chakula, nk kisha nabakia mikono mitupu, wapi kuna button ya ku-cancel maombi?
  13. JamiiForums Tanzania Wakuu, namna gani naweza kurecover namba nilizofuta katika call log yangu?

    Karibuni. Simu ni android, pixel 5
  14. JamiiForums Tanzania Hivi kwa tusi hili na ushahidi naweza kufungua kesi?

    Kuna jamaa amenitukana matako ya bibi yangu Pia akasema navuta bangi na kuvuta unga mbele ya watu Je naweza kufungua kesi? Ushahidi wa simu ninao pia
  15. M

    JamiiForums Tanzania Naweza kusema wilaya ya Kigamboni ndio inaongoza kwa mgao wa umeme nchini Tanzania.

    Kwa sasa naweza kusema kuwa wilaya ya kigamboni ndio inaweza kuwa kinara wa kukata umeme nchini au mkoa wa DSM, Kwa wiki umeme kukatika si chini ya mara sita kila baada ya masaa sita kuna tangazo la kukatiwa umeme. Maeneo kama Kisarawe II, KIBADA,Mwasonga nk ni maeneo ambayo TANESCO Kigamboni...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Nina visa kadhaa vya kusisimua katika maisha yangu, ni wapi naweza kuiuza kwa watengeneza movie / series ?

    Ni visa ambavyo vimewahi kufanya watu wanisikilize kwa umakini mkubwa, kuwa na hamu ya kuendelea kuwasimulia nilipoishia na kuniomba updates. Sioni haja tena ya kusimulia visa vyangu kama hakuna pesa, ni wapi naweza kuuza hivi visa ambavyo ni true life stories na nipate motivation ya kuingia...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Wadau, nikiwa na milion 60 mbezi mwisho au kibaha baada ya mbezi naweza jenga nyumba yenye chumba n seble yenye vyumba nane,kiwanja bei pembeni

    Wadau, nikiwa na milion 60 mbezi mwisho au kibaha baada ya mbezi naweza jenga nyumba yenye chumba n seble yenye vyumba nane,kiwanja bei pembeni. Nisaidieni mawazo wakuu
  18. JamiiForums Tanzania Naweza tumia E-office kwa kutumia simu..?

    Wakuu, naweza kutumia E-office kwa simu au ni mpaka kiwe na PC..? kwa wale wanaotumia Government mailing system..
  19. C

    JamiiForums Tanzania Je, naweza kujiunga na Diploma ya Electrical Engineering?

    Mimi nimehitimu mafunzo ya ufundi umeme level 3 nilikuwa naukiza kama naweza kujiunga na mafunzo ya electrical engineering ngazi ya diploma
  20. JamiiForums Tanzania Kwa Kariakoo, wapi naweza pata VR Box? Maana naona imeanza kuwa maarufu

    Hii kifaa inaitwa VR BOX, Nimeitafuta kwa mda mrefu sasa bila mafanikio. Leo nipo darasalama tena nipo mjini kabisa. Mwenye dukani kwake anauza anipe taarifa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…