nataka

Nataka is a village in Mirzapur, Uttar Pradesh, India.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Msaada: Nataka kubadilisha cheti changu kuzaliwa pamoja na baadhi ya herufi za majina yangu na mama yangu

    Habari wakuu, Poleni na msiba wa kitaifa tunaoendelea kuuomboleza. Moja kwa moja nijikite kwenye mada husika kwa kuwaomba msaada wa mawazo na ushauri kwa ujumla. Mimi nina cheti cha kuzaliwa lakini cheti changu ni cha zamani sana kimetoka tangu mwaka 1988. Katika cheti changu jina langu...
  2. JamiiForums Tanzania Nataka kujiunga na CHADEMA, nifanyeje ?

    Kutoka moyoni kabisa nataka kujiunga na CHADEMA process zake zikoje? Natamani kuungana na makamanda katika harakati za kuiondoa CCM. Nisaidieni makamanda na pia mniunge kwenye group la makamanda.
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Mimi nataka mabadiliko Tanzania ila siungi mkono maandamano au mapinduzi ya kijeshi

    Miezi ya hivi karibuni kuna mtanzania anaishi marekani anaitwa mange kimambi na ameitisha maandamano na mpaka sahivi anayapigia debe kwa njia mbalimbali kupitia mtandao wa instagram Wako watakaopiga kura Wako wanaosupport maandamano Wako wanaopinga Wako ambao hawajajua wako upande upi...
  4. JamiiForums Tanzania Nataka nichukue mkopo dhamana mshahara

    Nina shida ya million 5 ni mtumishi wa umma nawezaj kupata mkopo na utaratibu upoje.Napokea laki 5
  5. JamiiForums Tanzania Nataka kununua godoro kampuni hii, ushauri

    Nataka kununua godoro la spring kampuni hii, ushauri kwa waliowahi kutumia
  6. JamiiForums Tanzania Nataka Niwashitaki CRDB - Nimetoa fedha ATM hazijatoka naomba ushauri

    Juzi 1/10/2025 nilitoa fedha kwenye ATM, hata hivyo pamoja na fedha kutoka kwenye AC yangu fedha hiyo haijatoka kwenye mashine. Fedha hiyo nilitakiwa kulimlipa mdeni amabaye ananida, pamoja na jitihada za kuwasiliana na Branchi husika na kupiga simu kitengo hiduma kwa wateja bado fedha hiyo...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nina milioni 100 nataka nifungue kituo cha tiba(Afya) Tanzania

    Wakuu salaam, Naombeni ushauri kwa wajuzi wa mambo na wenye uzoefu hapo Tanzania nataka nifungue kituo cha Afya kwa Tanzania sasa sijajua na nimeandaa bajeti ya milioni 100 kuanzia manpower,vifaa tiba,majengo na kila kitu na lengo niwasaidie Ndugu zangu waTanzania maana nimewaza kufungua huku...
  8. JamiiForums Tanzania Nataka niachane na huyu Mwanamke bila kuathiri Watoto

    Wakuu. Nimekaa na huyu mwanamke 5 years tumepata 2 boys. Ila sasa simwelewi kabisa dharau shazi hela unampa ila matumizi hayatimii. Kido wetu mdoncho ana 2yrs na miezi miwili. I really want to part ways ila kila nikiwawaza my two kids (all ME) nakuwa reluctant. Nishaurini maana mimi na huyu...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kununua scania G 410, ni shilingi ngapi?

    Wajuzi wa magari nataka kumiliki scania G410, ni shingapi horse na trailer shingap, nichukue trailer double lala ya single.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kufungua shule ya sekondari

    Wadau nipeni ushauri kwenye sector ya elimu, nataka kufungua sekondari vipi biashara katika sector ya elimu hasa sekondari Ikoje. Taratibu zipi zakufuata kufungua sekondari na vigezo Gani vyakuzingatia kudumu kwenye biashara na kupata watoto.
  11. JamiiForums Tanzania Sasa Nahitaji Mke

    Sifa zangu: Mwanaume mwenye umri wa miaka 30, kabila maasai Degree ya Kwanzaa Muajiriwa sekta binafsi Mweusi, mrefu na mwili wa wastani Mkristo Sijawahi kuoa na Sina watoto Napenda jogging na kusali Sifa za mwanamke ninayemuhitaji Mkristo kabila lolote Mweusi na mwenye urefu wa wastani Aliye...
  12. JamiiForums Tanzania Naombeni Ushauri wakubwa: Nina mpango kuoa Binti wa Kimeru Dada yake Maghayo

    Moja kwa moja . Mimi ni kijana wa Kiume umri miaka 24 nipo Dar , Moja kati ya ndoto zangu kubwa katika maisha ni Kufunga ndoa kwani naamini ni katika njia kuu ya kujizuia na zinaa , kujenga heshima na kuishi maisha Bora ya kiuwanadamu na kujenga familia imara pamoja ya yote ndoa ni ibada kubwa...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kuna jambo la msingi nataka kuwafundisha humu

    Habari zenu ... Kama mtakuwa tayari kuwapa hii elimu adimu ambayo huwezi kuipata popote pale iwe shule au wapi,ila kwa mtu anayefikiria kwa kina sana, sia kila kitu anakubali tu na kushindwa kuhoji kwanini nipo hapa,kwa mtu mwenye uelewa mdogo naomba kabisa upite tu maana nitakuchanganya...
  14. JamiiForums Tanzania Sugu aliimba huu wimbo akiwa na umri gani?

    1996 : Natafuta pasipoti, nataka kusafiri kikafiri, popote nitafika hata south africa, nyumbani nimechoka, nazidi nyanyasika🎶 Sugu alikuwa visionary sanaa, hapa ulikuwa na umri gani?
  15. JamiiForums Tanzania Life imekuwa bored. Nataka nirudi Bongo. Huku wazungu hawana Time kabisa na mimi

    Najaribu kutafuta mtu wa kugombana naye sipati. Nimezoea humu JF atajitokeza mtu tutatukanana siku au weeks hapo najisikia saaaaafi kabisa. Hawa jamaa kwenye forums zao na maofisini wapo busy. Tunakosa muda wa kujamiiana na kusababishiana matatizo. Mi napend sana ku socialize(kujamiiana) ila...
  16. JamiiForums Tanzania Nataka kuuacha huu mzigo wa Milioni 18 humu M-Wekeza mpaka 2030, vipi nitapata kiasi Gani wakuu?

    Hii pesa Sasa hivi Sina matumizi nayo nataka kuuacha humu m wekeza Nije nitoe. Januari 2030 vipi mfumo wao wa compound interest nitaikuta ipo Bei Gani siku ya kuitoa
  17. JamiiForums Tanzania Nataka nichape rafiki wa mchepuko wangu,nitumie mbinu gani?

    Wakuu,hamjambo? Nina mchepuko wangu juzi kati akanitambulisha kwa shosti wake flani hivi,ebana huyo shosti yake ni pisi sio ya nchi hii,udenda ukanitoka asee,nikavizia mchepuko wangu kaenda toilet fasta nikachukua number,sasa nimeishaipigia kuisaundisha ila inanizingua inaniambia eti me ni...
  18. JamiiForums Tanzania Nataka kwenaa kutoa Pole kwa Familia ya Job Ndugai je, niende kwa Mjane Stellah au niende kwa Mjane Fatuma?

    Ukijijua huna IQ ya Kuuelewa huu Uzi na kunielewa Zanaki, Yao na Tutsi Genius tafadhali achana naa endelea na yako tu.
  19. JamiiForums Tanzania Nataka nimuoe huyu Lovely Emmy wana JF mje mshiriki sherehe napoopoa mtoto mzuri kipenzi cha dhati

    Lovely Emmy nahisi atakuwa mtoto mzuri laini laini na nyoronyoro mpya humu JF. Nataka nimuwahi kabla watu hawajamwaribu sana. Nimuoe Mimi nina wake wawili kwa sasa. Nahitaji mwingine wa 3 ila awe binti mdogo mdogo but na nyama awe nazo. Ndo maana naona lovely emmy ni chaguo sahihi mimi kumuoa...
  20. JamiiForums Tanzania Nataka gari ya mil5 IST,vitz iwe D fresh?? Sijui kuhusu magari ila Usijaribu kunirubuni

    Matajiri Nashida na kagari flan ivi ka kujifunzia funzia na kwendea sokoni. Location mwanza Nb: huwa napenda kujua na sababu ya kuuza
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…