nataka

Nataka is a village in Mirzapur, Uttar Pradesh, India.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nataka kuweka stop order kwa benki inayotaka kuuza nyumba yangu Mbeya Mjini

    Habari wana jf, asalaam aleykum Muslimina. Nianze moja kwa moja suala langu, nimekuwa na utaratibu wa kuomba overdraft miaka 4 iliyopita kiasi cha shilingi million 15. Nimekuwa nikichukuwa kutumia fedha hizo kwa shughuli zangu za biashara ya mpunga na mahindi pamoja na korosho, kama kawaida...
  2. JamiiForums Tanzania Msaada: Biashara ya sigara

    Habari wakuu, Naomba kuelekezwa sehemu wanazouza sigara kwa bei nafuu ya jumla ambayo na mimi nitakwenda kuuza jumla. Pia na bidhaa nyingne kama k vant, konyagi nk
  3. JamiiForums Tanzania Mwenye ufahamu kuhusu hizi simu za Oppo ,A57 hebu tujuzane, nimezikuta Dubai nataka nizizowe ila sina ufahamu nazo.

    Wakuu kwenye misele yangu Dubai Mimi sio mfanyabiashara wa simu ila nimezikuta hizi simu OPPO A 57 bei zake imenivutia nizibebe kadhaa kupatia uchakavu bongo, je ubora wa hizi simu ukoje? Nisije kwenda kuwauzia watu simu Bomu nikaitwa tapeli, binafsi Mimi sizijui simu hizi.
  4. JamiiForums Tanzania Nataka ninunue Infinix hot 12i au 10i wazee vipi ubora wake kwa wale walioinunua

    ufanisi wake ukoje?
  5. JamiiForums Tanzania Nataka ninunue Infinix hot 12i au 10i wazee vipi ubora wake kwa wale walioinunua

    Habari zenu ndugu zangu wa damu,pongezi nyingi kwa kuamka salama Nimepata hela kidogo nataka ninunue Infinix hot 12i au 10i ipi nzuri zaidi na kama au bora zaidi ? Karibuni sana
  6. JamiiForums Tanzania Nataka gari nifanye tax driver

    Habari ndugu zangu... Nahitaji boss wakunipa gari yake niendeshe nimletee hesabu. Naahidi tutaenda vizuri tu wala aside na wasiwasi. Napatikana kerege chama ipo mkoa wa pwani nje kidogo ya mkoa wa Dar es Salaam Tuwasiliane whatsapp 0679194505
  7. JamiiForums Tanzania Nataka kuandika kitabu nikipeleke kampuni ipi nzuri kwajili ya uchapishaji na usambazaji? Malipo yapo vipi? Kuna uaminifu katika kunipa mgao wangu?

    Habari zenu wana Jamii forums. Jumapili hii tulivu ya leo nimechekecha kichwa kidogo nimepata wazo la kuandika kitabu kisha nikipeleke kampuni ya ucapishaji na usambazaji kiwe kinnapatikana kwenye stationary na naduka ya vitabu. Kabla sijaanza kukiandika nimeona ni vema niyajue kwanza...
  8. JamiiForums Tanzania Nataka kuandika kitabu, nikipeleke kwenye kampuni ipi nzuri kwajili ya uchapishaji na usambazaji ? malipo yapo vp ? kuna janja janja zipi za kukwepa ?

    moved
  9. A

    JamiiForums Tanzania Nataka kuconnect na Wataalamu wazoefu wa Interior design

    Kwa wale wataalamu na wazoefu wa interior design (commercial na villas) tuwasiliane, kampuni au freelancer
  10. JamiiForums Tanzania Nataka ingia kwenye biashara ya samaki

    Mambo vipi wakuu kichwa kinajieleza hapo juu nataka kwenda kwenye hiyo biashara. Mada kuu nikujua bwawa la mtera linafanya kazi kwa sasa? Mimi Nipo nje ya nchi Na je mtaji wake wa kuanzia changamoto zake n.k Zaidi sehemu ya kupata hao samaki nimeona ni bwawa mtera ndio pata nifaa.
  11. JamiiForums Tanzania Nataka kusoma course ya Fine Arts and Design naomba ushauri

    Niko combination ya science nataka nikasomee Bachelor of fine art and design.. Ninakipaji cha kuchora.
  12. JamiiForums Tanzania Nataka kufungua biashara ya cable tv ushauri wako

    Naomba ushauri nini na nini nifute ili nisiwe hatiani nipo Mafia
  13. JamiiForums Tanzania Jumatano yangu na "Mie nataka Laki " ! Older Women '30+' Know what they want!

    Onyo: BIDADA wale wa" Mkaka gani Unatuletea inshu hizi humu , Hawa ninawaambia, Achen Wivu , sijakutongoza na Sina mwanamke JF na kwakua sitegemei kupata mwanamke humu, Tulia am free ndio maana naandika ili ikitokea nmeingiwa na Tamaa Kwa mdada wa JF, basi apitie post zangu. . KWA JAMAA ZANGU...
  14. JamiiForums Tanzania SoC02 Nataka kuwa mtu wa maarifa ndani ya Jamii

    Utangulizi. Maarifa ni elimu ambayo mtu huitaji ili aweze kuitumia katika maisha yake au kusaidia wengine kwa changamoto ambazo hawawezi kuzitatua kutokana na ufinyu wa maarifa. Maarifa unaweza kuyapata kwa kutumia elimu rasmi hiisiyo rasmi mfano mtaani. Tukiongelea neno mtu wa maarifa ni yule...
  15. JamiiForums Tanzania Msaada nataka kumbadilishia mazoea

    Ma legends, Nimepata changamoto ya kusafiri na huyu wife material! Changamoto ninayopitia ni kuwa kila tukianza safari ya utalii wa ndani, huwa tunaanza kwa pamoja, kanda ya kaskazini. Tunapotoka kanda ya kaskazini mimi huwa niweke pozi kanda ya ziwa. Hapo nitakaa muda kadhaa nikirukaruka...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Nataka kuanzisha Chuo, Nishaurini nianze na kozi zipi?

    Wadau, kuna fursa nimepata ambapo natakiwa kuanzisha chuo. Kwa kuanza, chuo kitakuwa kinatoa mafunzo kwa ngazi za certificate na diploma kisha baadaye tutaenda level za juu zaidi. Sasa natamani kujua ni kozi zipi nianze nazo? ambazo zinapendwa, zenye soko na zitakazouza jina la chuo vizuri...
  17. JamiiForums Tanzania Leo nataka tuweke Ushabiki wetu wa Simba na Yanga pembeni na tulijadili hili Kiuanamichezo kwa Faida ya Soka letu

    Hivi kweli kabisa Logically hizi Klabu zetu pendwa nchini za Simba SC na Yanga SC kwa Uswahili uliozitawala na Ujanja Ujanja ( Usamjo Usamjo ) ni za Kudhaminiwa Bilioni 26.1 na Mbet kwa Miaka Mitano na Bilioni 12 na Sports Pesa kwa Miaka Mitatu? Klabu pekee nchini Tanzania kutokana na Structure...
  18. JamiiForums Tanzania Nataka kulima Karanga na muhugo sehemu gani nzuri kwa mazao haya iwe ndani ya mkoa wa Mwanza?

    Wadau wa Kilimo na wenyeji wa kanda ya ziwa Mwanza n.k. Nataka kulima Karanga na muhugo sehemu gani nzuri kwa mazao haya iwe ndani ya mkoa wa Mwanza au jirani na mkoa wa Mwanza. Pia sehemu ambayo taweza kulima mahindi angalau mara mbili kwa msimu mmoja.
  19. JamiiForums Tanzania Nataka kwenda Makka kumpiga mawe Shetani!

    Mada hii si ya uchokozi wa kidini, la hasha. Ni la kutaka kueleweshwa tu. Kwa mantiki ya Hijja, mwisho wake sala hiyo ni kuzunguka lile jiwe la K'aaba. Halafu baada ya hapo kuna kulipiga jiwe na mawe kwa imani ya kumpiga mawe shetani. Hapo ndipo mimi nataka kwenda ,kumsulubu shetani kwa mawe...
  20. JamiiForums Tanzania Nataka nimchome kwa ndugu zake

    Hivo
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…