Natafuta vijana wa kazi za shambani

BILGERT

JF-Expert Member
Feb 27, 2015
4,712
2,000
Vijana wa kazi za shambani wanahitajika, wawe waaminifu.
Eneo la kazi ni Iringa, nikipata vijana watatu wanatosha.
Kazi kubwa ni kuhudumia mashamba ya maharage, kuanzia hatua ya kupanda, umwagiliaji, kuweka mbolea pamoja na kupiga dawa.
Kazi ni ya msimu wa miezi miwili.
Malazi, chakula na Afya ni juu yangu.

Mwenye uhitaji ama ndugu anaye hitaji kazi tuwasiliane PM.
Akiwa wa hapa hapa Iringa ama mikoa jirani kama Njombe, Dodoma itakuwa vizuri ili iwe rahisi kulipiwa hata nauli.
Anayetoka mbali naweza kumchangia nusu nauli.
 
Gemini Are Forever

JF-Expert Member
Sep 10, 2019
1,034

Naondoka nyumbani kwenda kutafuta maisha, naenda Iringa kwanza. Mwenye kazi au connection tafadhali

Mkuu mimi nipo Tosamaganga hapa ndani ya Iringa, nimekucheki PM!
 
Kamnyomo

Member
Apr 4, 2020
72
125
Mkuu mie naomba tenga nikufungie mfumo wa umwagiliaji wa matone kwenye shamba lako.
FB_IMG_16183380953530163.jpeg
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom