Natafuta kazi nina Degree ya sheria

Natafuta kazi nina Degree ya sheria

ShL

Member
Joined
Apr 7, 2021
Posts
56
Reaction score
124
Mimi ni kijana wakiume mwenye Degree ya sheria,

Naamini hapa Jamii forums

Kuna watu wengi na wenye michongo, hivyo Naomba nitumie nafasi hii kuomba yeyote mwenye nafasi ya kazi either inayofanana na Sheria au tofauti basi anisaidie

Nipo Dar es salaam
Simu: 0779724159

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom