natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    JamiiForums Tanzania Avocado oil press machine

    Salama humu ndani! natafuta mashine ya kukamulia mafuta ya parachichi yenye uwezo wa kuzalisha kati ya 10 na 20KG kwa siku.
  2. JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi yoyote ya halali, nina Cheti cha Kidato cha Nne

    Natanguliza salamu, Naitwa Juma Nina umri wa miaka 19 ninaishi Mwanza, Natafuta kazi yoyote ya halali nina cheti cha kidato cha nne. Naweza kutumia computer vizuri Ninaujuzi wa Web design Naweza kufanya kazi ya duka Naombeni msaada wwnu Guys natafuta kazi nipo Mwanza Tanzania , Yoyote...
  3. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ya halali, niko Arusha

    Habari ndugu zangu. Mimi ni kijana (ME) nina umri wa miaka 20. Ninaishi mkoa wa Arusha. Nina shida sana hali ngumu ya maisha Hadi naanza kuta tamaa . Nimeona niweke wazi tu huenda kuna mtu humu atanisaidia kupata kazi yoyote ile ya halali. Natanguliza shukrani
  4. JamiiForums Tanzania Warembo wa Kiarabu, wanapatikana wapi?

    Nimejaribu kuzunguka mtaa kwa mtaa, zaidi ya miezi 3, ili nipate mchepuko wa kiarabu; lakini bado sijafanikiwa. Naimani, nikipata mrembo wa umbo namba 8, wa Kiarabu; akili yangu itatulia na kufanya mambo mengi ya msingi. Wakuu, wanapatikana wapi hawa warembo wa Kiarabu?
  5. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi kwenye stationery

    Naitwa Mustapha Rajabu. Nina umri wa miaka 28 naishia Dar Es Salaam maeneo ya Tabata Bima. Ninao uzoefu wa kutosha kwa kazi hiyo, nimefanya kazi ya stationery kwa zaidi ya miaka 5 hivyo ninao uzoefu mkubwa katika utendaji wa kazi hiyo. Ninao uwezo wa kutumia Computer vizuri na kuchapa document...
  6. JamiiForums Tanzania Nahitaji Spacio new model

    Kama kuna mdau anayo spacio new model number D yoyote, iwe kwenye hali nzuri, offer m7 kamili. Mahali: Mwanza
  7. JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi sahihi wa kuanza nae mahusiano imara na bora

  8. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba awe mke. Masharti awe na asset net worth 150m

    Habari wadau. Natafuta mchumba wa kike tukielewana awe mke. Masharti ni awe na asset net worth 150m. Age awe 32 kushuka chini. Asizidi 32. Nimesema asset awe nazo sababu sitaki mnyonyaji.. mahusiano ama ndoa iwe na win win pande zote. Binafsi ninamiliki asset net worth 300m. Sasa mtu...
  9. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kujitolea GIS and Land Surveying

    Habar zenu ndugu!! Mimi ni kijana wa miaka 23 Nina Diploma ya land survey nilikuwa naomba kama kuna kampuni yoyote inayojihusisha na shughuli za land survey nahitaji kupata mahali hata pa kujitolea. Namba yangu 0699239068
  10. JamiiForums Tanzania Natafuta mayai ya kwale

    Ndugu zangu natafuta mayai ya kwale ambayo yanafaa kutotolesha. karibu mwenye taarifa yoyote
  11. JamiiForums Tanzania Dereva - Natafuta gari ya hesabu (Bolt & Uber)

    Naitwa Ayoub, Natafuta gari ya hesabu kwa ajili ya Bolt na Uber. Ninazo account zote za kuendesha tax online (Uber, Bolt, Paisha, Little, Moovn etc) Nipo tayari kwa kazi nachohitaji ni gari tu. Mawasiliano 0767553726
  12. JamiiForums Tanzania Natafuta vifaranga vya uhakika vya kuku aina ya Croila nipo Mbeya

    Ndugu, naulizia ni wapi nitapata Croila kwa uhakika nipo wilaya ya Kyela mbeya. Ahsanteni
  13. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kufungua naye saluni - Mfadhili/Mwekezaji

    Habari wana forum, Naitwa Lucy ni mtaalam wa mambo ya salon, shughuli zangu huwa nafanyia mtaani nafwata wateja au wao wananifwata kwa huduma ya ususi Leo niko hapa kutafuta mtu ambaye atakuwa tayari either kunisapoti kwa kuwekeza au kunifadhili au hata kushare naye... Hali ya ajira ni ngumu...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kuuza pharmacy au duka la dawa

    Mimi ni kijana mwenye diploma ya pharmacy natafuta kazi ya pharmacy au duka la dawa naishi dar
  15. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina Diploma ya Music Production

    Nmemaliza chuo tangu 2020 Nina diploma ya Music production. Ni kijana wa miaka 23 Na weza kucheza baadhi ya Instrument Keyboard, guiter Acoustic, solo guiter, Bass guiter pia ni Mwalimu mzuri kwa watu wenye interest ya Kujifunza. Naweza kufundisha Watoto kwa wenye uhitaji wa kujifunza...
  16. JamiiForums Tanzania Natafuta Watengenezaji wa Biogas hapa Tanzania

    Habari wanaJamvi, Natumaini siku yenu inaendelea vizuri. Kama ilivyotajwa hapo juu, natafuta anayeshughulika na BioGas hapa Bongo. Nahitaji sana. Asanteni.
  17. JamiiForums Tanzania Natafuta mtu Aliyesoma Marketing katika Tourism

    Hello, Natafuta mtu mwenye uzoefu wa kufanya marketing katika sekta ya Utalii!! position based in Arusha! Uaminifu katika kazi uwe wa kiwango cha juu!! Njoo inbox
  18. JamiiForums Tanzania Natafuta simu bajeti laki mbili Mbeya

    natafuta simu nipo Mbeya, bajeti yangu laki mbili. karibu itapendeza zaidi kama muuzaji atakuwa mkoani Mbeya
  19. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwalimu wa GIS

    Habari wakuu Ninauhitaji wa mtaalamu atakaeweza nifundisha GIS sana sana kwenye kutumia Tools kama QGIS na ARCGIS Awe Daressalaam
  20. JamiiForums Tanzania Natafuta chainsaw used

    Habarini wadau kama mada inavyojieleza hapo juu. Natafuta chainsaw used. 1.Aina ni HUSGVARNA(272) 2.20 Inches Kwa mtu aliyetayari naomba tuwasiliane NB. Iwe kwenye hali nzuri isiwe imechoka.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…