Natafuta kazi kwenye stationery

Mustapha007

New Member
Jul 4, 2022
3
3
Naitwa Mustapha Rajabu. Nina umri wa miaka 28 naishia Dar Es Salaam maeneo ya Tabata Bima. Ninao uzoefu wa kutosha kwa kazi hiyo, nimefanya kazi ya stationery kwa zaidi ya miaka 5 hivyo ninao uzoefu mkubwa katika utendaji wa kazi hiyo.

Ninao uwezo wa kutumia Computer vizuri na kuchapa document kwa haraka, naweza kutumia program kama vile:- Microsoft Excel, Office na Publisher. Natengeneza Card za sherehe mbalimbali zikiwemo Harusi, SendOff, Kitchen Part n.k. Pia naweza kufanya binding, lamination, Kutoa copy, printing, internet, application online, windows installation, program installation n.k

Nipo tayari kwenda kufanya kazi mkoa wowote ule.

Mawasiliano Zaidi:-
Simu na: +255 786308074
E-mail: mustapharajabu92@gmail.com
 
Kila lakheri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom