natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Natafuta tenki used la Lita 3000

    Nipo DSM. 0655173113
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yeyote nina elimu ya Kidato cha Nne

    JAMANI wapendwa mimi ni nijana Mtanzania nina miaka 24 ninatafta kazi yeyote ilio halali jamani. Asanteni
  3. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Naitwa Michael, natafuta gari ya hesabu iwe bolt au uber au hata kumuendesha mtu binafsi. Leseni ninayo Class C, napatikana Dar es Salaam.
  4. JamiiForums Tanzania Natafuta Connection ya ajira Serikalini au sekta binafsi

    Habarii wakuu, Nawasalimu kwa jina la Jamhuri. Mimi ni kijana wa kitanzania Mhitimu wa stashahada ya uhandisi ujenzi(Ordinary diploma in civil engineering NTA level 6) kutoka chuo cha ufundi. Nimekaa mtaanii kwa zaidi ya mwaka mmoja Sasa nikijaribu bahatii yangu katika makampunii mbalimbali...
  5. JamiiForums Tanzania Natafuta ndungu wa upande wa Baba Meck Msigwa

    AMANI ya Bwana iwe nanyi. Kama kichwa cha Habari hapo juu.natafuta ndugu wa Baba angu ambaye Alifariki kwa Ajali ya Gari miaka ya 1987. Alikuwa Akiitwa Meck Msigwa.alikuwa akifanya Biashara ya Mchele na Maharage kutoka Mbeya kwenda Dar. Mara ya mwisho alipata Ajali akiwa anasafirisha Maharage...
  6. V

    JamiiForums Tanzania Natafuta investment patner/co-founder, aina ya biashara - Software as service business model (Saas)

    Wakuu habari Mimi ni software engineer by profession, nimetengeza software na Application za simu kwa ajili ya hospitali, clinics na medical center) ni aina ya software ambayo inatumika mahospitalini kuingiza data za wagonjwa (treatments record pamoja payment records) ****Im looking for...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kama una uwezo wa kutengeneza matangazo ya TV na huna ajira natafuta mbia wa project zangu

    Habari wakuu, Natafuta mtu mwenye ujuzi wa kutengeneza matangazo ya TV pamoja na graphic designs ambaye hajaaajiriwa tuungane kwenye project zangu za utalii kwa malipo ya commission. Kama upo hapa tafadhali niandikie email mlimakilimanjaro@gmail.com au tuwasiliane kwa private message/direct...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta tenga zilizotumika (used) zakubebea kuku

    WADAU, NATAFUTA TENGA ZILIZOTUMIKA (USED) ZA KUBEBEA KUKU KAMA HIYO YA KWENYE PICHA HAPO CHINI. KAMA UNAZO NAOMBA NICHECK INBOX. NAITAJI ZILIZOTUMIKA KWA UNAFUU WA BEI.
  9. JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba wa kudumu

    ~ Mwenye utayari ~ Wakawaida kiumbo ~ 22-26years. ~ Elimu level yoyote. ~ Mweusi/Mweupe. ~Wamaisha/kuoana ~ Mvumilivu, charming Mengine tutarekebishana Please PM me.
  10. JamiiForums Tanzania Natafuta Bulk SMS Provider ambaye ana bei nafuu

    Wadau! Natumaini jumatatu yetu imeanza vizuri. Ni buheri wa afya hapa morogoro katika chimbo fulani hivi. Bila kupoteza muda. Natafuta bulk SMS Provider ambaye bei zake ni nafuu. Kuna jamaa fulani kule kenya wanafanya kwa KES 0.2/sms (Bongo ni sh 3.5 hivi). Sasa wabongo wengi wanachezea TZS 13...
  11. JamiiForums Tanzania Natafuta Mtaalam wa zao la Kokoa ( Kakao) mkoa wa Morogoro au Tanga

    Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu. Naomba mzoefu wa kilimo cha Kakao kwa mkoa wa Tanga au Morogoro ani pm tuwasiliane. Nahitaji kupata uzoefu na kujifunza zaidi kwa MTU anayefanya aina hii ya kilimo kabla ya kuingia kwenye ukulima wa hili zao. Najua Kyela ni wazoefu zaidi lakini...
  12. JamiiForums Tanzania Natafuta mashine ya kukata Crips/viazi

    Habari ya leo Jumapili, Natumaini tuko sawa wote, wenye changamoto zozote poleni sana. Natafuta mashine ya kukatia viazi, kwa ajili ya kutengeneza Crips. Ningependa kujua bei, na inapopatikana au connections yoyote. Nipo kanda ya ziwa, unaweza kuja DM au sms/text kupitia 0743051733
  13. JamiiForums Tanzania Natafuta display back cover ya laptop PROBOOK 6470B.

    Cover yake imeharibika na hanges zake za kushikia kioo zimekatika. Yeyote mwenye navyo anijuze na gharama itakuwa sh ngapi!
  14. JamiiForums Tanzania Natafuta simu aina ya NOKIA RM-872 Model 206

    Hello bosses Natafuta hii simu ya batani nokia rm 872 model 206 Budget yangu ni ya kawaida
  15. JamiiForums Tanzania Natafuta mtaalam wa kutengeneza Apps/ Software

    Je wewe ni mtaalam wa kutengeneza apps/ software? Karibu tuwasiliane. 0687969981 0764255769
  16. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi civil engineering technician

    Habariii wakuu? Husika na kichwa hapo juu natafuta kazii katika makampuni yeyote ya ujenzii wa nyumba au barabara nipo tayari kufanya kazi sehemu yeyote. Mimi ni mhitimu wa stashahada ya uhandisi ujenzii Nina uzoefu wa miaka miwilii katika usimamizii wa barabara na ujenzii wa nyumbaa mwenye...
  17. Y

    JamiiForums Tanzania Natafuta wauzaji wa nazi

    Nahitaji kufanya biashara ya kuuza nazi lakini bado sijafaham wapi naweza pata kununua mzoefu wa biashara hii anisaidie kabla sijala mtaji jamani.
  18. JamiiForums Tanzania Natafuta mshirika wa kuzalisha mkaa mbadala

    Habari nyote. Mimi ni Mjasiriamali na hivi karibuni nimeanzisha shughuli ya kuzalisha Mkaa mbadala kwa kutumia unga wa mbao, chenga za mkaa na makaratasi. Nahitaji Mtu au Watu wa kushirikiana nao, ikiwezekana Mtu Mwenyeji au aliye na wenyeji maana mimi sio Mwenyeji sana hapa Dar. Ninaamini...
  19. JamiiForums Tanzania Natafuta field ya IT diploma

    Greetings guys of JF nimepost Uzi huu natafuta field ya IT katioa level ya diploma nimetafuta field jimekosa nimeona nije umu kwa ajili ya msaada wenu mkoa was Dar au Dodoma Niko tayari kwenda.
  20. X

    JamiiForums Tanzania Bingo Natafuta kazi yoyote halali, Ndani Ya mkoa wa Mwanza

    Habari wana jamii forum, Mimi Binti, Elimu yangu ni kidato cha 4. Natafuta kazi yoyote halali ndani Ya mkoa wa Mwanza . Nipo tayari kufanya kazi pia katika (kazi za ndani, viwandani na kuuza duka, na stationary ). Naombeni msaada kwenu tafadhari. Mwenye connection yoyote aje DM.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…