natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kurudi tena kwenye uhusiano, natafuta mchumba (Mwanamke)

    Mimi ni mwanaume umri miaka 33. Kazi ; nipo mwaka wa mwisho kimasomo (udaktari) niliamua kurudi kupiga tena kitabu sasa nipo mwa mwisho kimasomo . Natafuta mchumba (ke) kikubwa awe msikivu kwangu sichagui umri wala kabila. Makazi yangu yapo dar, na mpenzi wa mwisho nilimpata humuhumu ila...
  2. kingphisher

    JamiiForums Tanzania Natafuta Nafasi ya Kujifunza na Kufanya Mazoezi ya Kazi katika Fani ya Business IT

    Husika na mada tajwa hapo juu. Mimi ni mhitimu mwenye shahada ya Business Information Technology. Natafuta nafasi yoyote ambapo naweza kujifunza kazi kutokana na taaluma yangu. Ingawa nimejifunza mambo mengi nikiwa chuoni, natamani kupata sehemu ya kufanya mazoezi ya kazi, hasa katika upande wa...
  3. Hot27

    JamiiForums Tanzania Msaada natafuta kazi/ajira

    Habari wanajukwaa Mimi ni kijana wa miaka 23 Jina ni Rajab Makazi ni Kwa Aziz Ali, Dar es salaam Elimu nimesoma hadi kidato cha sita kisha nikaenda chuo. Nimehitimu chuo mwaka huu (Lakini sitaweza pata cheti wala kufanya mahafali hadi mwakani juu ya changamoto zilizonitokea ikasababisha...
  4. The ice breaker

    JamiiForums Tanzania Natafuta power tiller ya kukodi

    Wakuu habari Natafuta power tiller la kukodi, Nina eneo langu dogo tu la kulima bustani , kama Kuna mtu ana power tiller naomba anikodishie Eneo la kazi ni Kimara, dar es salaam 0616274277
  5. Knock life

    JamiiForums Tanzania Natafuta Ajira /Kazi ya Ulinzi, Storekeeper

    Naitwa Ezra Umri 23 Elimu kidato cha sita. Nimepita JKT Natafuta Kazi zifuatazo Ulinzi -kazi hii nipo na uzoefu nayo maana nimepita JKT pia nimewahi kufanya Kazi SGA Kama Mlinzi wa Silaha. (security group of Africa) kazi hii niliacha Kwa makubaliano ya pande zote mbili baada ya kwenda...
  6. elixer of life

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke

    Hi… Mimi ni kijana 30+ nina tafuta mwanamke wa kuanzisha nae maisha Sifa :spiritually understanding :mbunifu wa kutafuta kipato :Asizidi 34+ Dini yoyote Kazi yangu na vipaji pm
  7. Isaack Newton

    JamiiForums Tanzania Natafuta music academy kwa hapa dar

    Habari wakuu, natafuta chuo au sehem ambayo wanafundisha muziki. Nina mtoto wangu wa kiume anapenda drums sana. Kwa hapa dar es salaam ni sehem gani naweza pata?
  8. A

    JamiiForums Tanzania Ruby caption natafuta mnunuzi

    Nina madini Aina ya ruby lakini Ni caption natafuta mnunuzi
  9. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta mhasibu

    Habari ninahitaji mhasibu kwa ajili ya kampuni mpya uwekezaji kwenye madini, awe na uzoefu wa kazi zaidi ya miaka 5. Majukumu ni kuandaa mishahara, kuandaa report za fedha kila mwezi kwenda mamlaka za serikali, kumanage cash na accounts, kudhibiti matumizi na kuratibu, n.k. Tuma CV kupitia...
  10. Varbo

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba Scandinavia country

    Guys rafiki yangu 42yrs( ME) Anatafuta mchumba kutoka nchi za Scandinavia Hasa hasa Sweden. Aliachana na mzungu wake Miaka miwili iliyopita na sasa anataka kupenda Tena! Anawatoto wawili age 10 and 13. Income yupo vzr!! Mwanamke awe 30-38 awe mwafrica kutoka EA.. DM kwa ambar yupo interest
  11. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtaalam wa kuchimba madini ya Almasi

    Wadau Salaam. Shida yangu natafuta mdau mwenye ujuzi wa kuchimba almasi nitafute inbox WhatsApp
  12. Mkoba wa Mama

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, ni mhitimu wa stashahada ya afisa tabibu (clinical officer)

    Iwe ni katika vituo vya kutolea huduma za afya (hospitali, vituo vya afya au zahanati), mashirika ya umma au binafsi au katika taasisi za elimu. Nipo tayari kuanza kazi mda wowote ule nitakaohitajika.
  13. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Natafuta dawa ya asili inayoitwa phylantus Niruri

    Wakuu natafuta dawa ya asili inayoitwa phylantus Niruri. Ni urgent sana. Natanguliza shukrani
  14. sangaone98

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, kibarua au ajira

    Heshima yenu wana JF popote mlipo, I hope mko sawa, mimi ni kijana wa kiume umri wa miaka 26. Naombeni kwa yeyote anayeweza nisaidia kupata kazi, kibarua, Ajira mwenye connection ya mchongo wowote halali naomba anisaidie naamini kwenye uwezo wenu wana JF. Kwa sasa niko iringa ila naweza kuja...
  15. Druggist

    JamiiForums Tanzania Natafuta Peanut butter Mashine ya Kukodisha Kwa Dar

    Salaam Wadau.Kama Una Mashine ya kusaga Karanga kuwa rojorojo upo Dar, njoo tuzungumze biashara. Tunaweza kukupa mzigo kisha tukapatana utupe finished product au kila kitu kwako Sisi tunachukua rojorojo.Mashine iweze Kuchakata angalau Kilo 200 kwa Siku.
  16. Planet Data bundles

    JamiiForums Tanzania Natafuta mentor wa kunifundisha UTT

    Please kama unawiwa urafiki wa faida wa kufundishana na kuelekezana kuhusu uwekezaji kwene mifuko na bondi kama UTT jitokeze. Ingependeza uwe unajua viytu kuliko nijuavyo mm. mi ndo naanza kujitafuta kwene huu uwekezaji
  17. O

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kufundisha shule za technical na vyuo vya ufundi

    Habari: Mimi ni mhitimu wa degree ya ualimu wa civil engineering,, Natafuta kazi ya kufundisha shule za technical na vyuo vya ufundi, kwa mawasiliano 0747541717.
  18. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kupiga msasa/finishing mbao

    Ndugu zangu natafuta kazi ya kupiga msasa/finishing mbao na mdf bord.... Ni mzaliwa wa Tanga ila kwa sasa nipo Dodoma. Nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote. kikubwa maelewano
  19. keneddelly

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuwawajibisha benki ya CRDB kushughulikia kero yangu

    Mimi nalia na Hawa CRDB BANK. Mimi ni mfanyabiashara mdogo tu, nilichukua lipa ya CRDB nikaiweka ofsini kwangu, mteja wangu kanilipa kupitia hiyo lipa, pesa haikufika kwenye akaunti yangu na ilihali kwenye benki yake (NMB)inaonekana pesa imelipwa. Week ya tatu hii nafuatilia hakuna msaada...
  20. Kilakitu namudawake

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kufika Ulaya

    Habari wakuu, Naomba msaada kwa mtu ambaye yupo ulaya anisaidie niweze kufika huko, nipo tayari kufanya kazi yeyote ya halali, passport ninayo.
Back
Top Bottom