natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Planet Data bundles

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kitanda cha Laki moja Kigoma

    Wana kigoma mjini msije kusema siwapi madili
  2. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Natafuta picha za miaka 23 toka Mwenge ukimbizwe

    Sherehe zilifanyika katika uwanja wa mpira wa Sheikh Amri Abeid Arusha mwaka 1987. Mgeni rasmi alikuwa Mwl. Nyerere baadhi ya picha ziliwekwa kwa muda pale kwenye jengo la Azimio la Arusha. Pia kuna watu wa BBC walikuwa wana rekodi FILM (sasa hii sina hakika inaweza patikana wapi) MSAADA...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya udreva

    Ni Mtanzania mwenye umri wa miaka 32 nina leseni halali iliyohakikiwa na jeshi la police yenye madaraja B, D, CI,C2 naomba mwenye connection anisaidie. Nina uzoefu wa kuendesha magari madogo na coaster 0765874177
  4. mimi mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Natafuta location nzuri ya kuweka stationery hapa Dar es Salaam. Naomba ushauri wako

    Wakuu naomba ushauri ni sehemu gani hapa Dar es Salaam naweza kuweka stationery ya kawaida tu sio kubwa na nikapata mzunguko mzuri wa pesa. Ukinishauri nitaenda kutembelea eneo na kupima kutazama najua wataalam wa fursa mpo unaweza ukawa umeona sehemu inayofaa nitashukuru ukinipa ushauri. Kuna...
  5. alpha walk

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba

    habari zenu wakuu nina shida ya chumba cha 25,000 dar es salaam,nipo kwenye changamoto kidogo hivyo siwez kupitia kwa madalali maana gharama zitaongezeka hivyo kwa mwenye kuweza kuniunganisha na mwenye nyumba anaemfaham naomba anisaide,namba yangu ni 0622667749
  6. alpha walk

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba

    habari zenu wakuu nina shida ya chumba cha 25,000 dar es salaam,nipo kwenye changamoto kidogo hivyo siwez kupitia kwa madalali maana gharama zitaongezeka hivyo kwa mwenye kuweza kuniunganisha na mwenye nyumba anaemfaham naomba anisaide,namba yangu ni 0622667749
  7. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke Bikra wa kuoa

    Natafuta mwanamke Bikra wa kuoa nataka mimi ndio niwe wake pekee na sitaki MAKOMBO, nina miaka 25, kazi yangu nimeajiriwa Hospitali kubwa jijini Dar es Salaam to, Namtaka mwenye vigezo vifuatavyo : awe Muslim mweupe 19 to 22 years -asiwe na kazi wala biashara yoyote awe amelelewa kimaadili...
  8. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Natafuta wimbo wa UKIMWI ni janga la dunia

    Ulikua ukipigwa kwenye maredio siku ya ukimwi duniani. Sana sana kwenye Rtd sasa TBC. Maneno ya wimbo' Jamani ee Sikilizeni niwaeleze haya, janga la ukimwi halina dawa wala kinga,.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mimi ni Mwanaume wa miaka 27, natafuta mke wa kuoa

    Mimi ni Mwanaume wa miaka 27 , Dini yangu , ni mkristo. naishi DAR kazi yangu ni muajiliwa elimu yangu ni DIPLOMA. Natafuta mke mwenye SIFA zifuatazo , *awe mkristo *Awe anaishi dar *awe ameajiliwa au anafanya biashara awe na miaka kwanzia 20 adi 26. *ALIYE TAYALI NA MWENYE SIFA HIZO...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Nini Elim ya kidato cha nne nahitaji kazi kwa mwenye kazi
  11. Amba Samedi

    JamiiForums Tanzania Natafuta vyakula vifuatavyo

    Habari wapendwa, Natumaini mnaendelea vyema. Natafuta vyakula vifuatavyo. Kwa anayefahamu, nishtue PA kuzinunua. Carob powder (mbadala wa cocoa, Hainan cocaine) Spelt wheat/stone ground wheat flour. (Ngano pori ambayo haijachakachuliwa) Pistachios Brazil nuts Chestnuts Macadamia Pine sap...
  12. caine

    JamiiForums Tanzania NATAFUTA HR

    Habari za asubuhi Kama kichwa kinavyojieleza nahitaji mfanyakazi HR awe mwanamke na anaishi mkoa wa Lindi. Elimu ni certificate au diploma Mshahara 400,000 Naomba kusisitiza awe mwanamke na anaishi mkoa wa lindi. Wakipatikana zaidi ya mmoja ni lazima wafanyiwe usaili. Update: Nimefanikiwa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa kuoa awe na sifa hizi

    Mimi ni Mwanaume wa miaka 27 , Dini yangu, ni mkristo. Naishi DAR Kazi yangu ni muajiliwa Elimu yangu ni DIPLOMA. Natafuta mke mwenye SIFA zifuatazo , Awe mkristo Awe anaishi Dar Awe ameajiliwa au anafanya biashara Awe na miaka kwanzia 20 adi 26. ALIYE TAYALI NA MWENYE SIFA HIZO ANIFUATE PM
  14. Tundazuri

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanume anaekunywa pombe awe rafiki

    Habari rafiki, Kama kuna mwanaume anaependa kulewa au kunywa naomba awe rfk yangu, yaan napenda mwanaume mlevi sanaa napenda tu akilewa anavyoongea na anavyotukana yaan najisikia raha sanaa. Ni kwa urafiki tuu mimi nipo Dodoma kwa sasa. So karibu tubadilishane mawazo
  15. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi kwenye NGOs au mashirika yanayosaidia watu

    Habari wana JF Naitwa Aisha natafuta kazi kwenye mashirika yanayosaidia watu au EGOs nina shahada ya sheria msaada tafadhali
  16. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke

    Hello Natafuta mwanamke umri kuanzia miaka 30 na kuendelea mambo mengine tutaongea akipatikana. Mimi naitwa John niko Dar kwasasa. Umri wangu miaka 35.
  17. VINICIOUS JR

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuoa

    kwema wa dada na mishangaz ya kati na maanisha wale wa 97 hadi 99, kama mada inavojieleza natafta mke mwenye tabia nzuri, mpole na mnyenyekevu pia mcha mungu. sifa hasiwe fake sana rang yeyote, mnene mwembamba ni sawa ila awe na makalio kidogo sio makubwa sanaaa.. kwenye swala la uchumi MIMI...
  18. Wamweru

    JamiiForums Tanzania Natafuta mashine ya kubangulia korosho iwe to natumia umeme

    Za mapambano wadau Natafuta mashine za kubangua korosho iwe ya umeme
  19. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta girlfriend wa miaka 19 - 21

    Habarini wapendwa, Mimi ni kijana wa miaka 23 natafuta girlfriend (19-21) awe mwembamba akiwa na English body itakua sifa ya nyongeza urefu wangu ni 120cm sikumbuki vizuri, asiwe mfupi rangi yake sijali kikubwa awe na mvuto hasa akitabasamu. Awe muongeaji ila sio mbea, awe anasuka ila sio...
  20. mr pipa

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya udereva wa mabus au roli semi tella

    Nina uzoefu wa miaka 8 nimeendesha katika nchi tatu ikiwemo rwanda, kenya,pamoja na south Afrika Nina mepitia veta na nina cheti, nina leseni class E, C, B,D Nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote kwa malipo yoyote sina tamaa Gari ambazo nazimudu pamoja na scania,schman, howo,faw, na zingine...
Back
Top Bottom