natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kumwachia Apartment niliyopangisha kwa makubaliano

    Habari wakuu, Nimepangisha Apartment ya kuishi yenye vyumba vitatu kimoja master, Public toilets jiko kubwa na sebule kubwa. Iko ndani ya fence na Apartment nyingine tatu. Ipo maeneo ya Tegeta Wazo. Unfortunately nimepata nafasi kwenda kufanya kazi mkoani Mwanza na sitoweza kusafili na hivi...
  2. Dear_me_

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mwekezaji (Milioni 50-Mtaji): Car rentals mega project

    Habari za Muda huu mwanakitaa/ mwana jf, mpambanaji Ningependa nikufunue macho kidogoo. Je unajua makampuni mengi makubwa yalianza kushika soko wakati uchumi ume yumba (Always Opportunity in adversity) Natafuta mwekezaji upande wa car tentals/logistics ni fursa kubwa iko upande huu ENDAPO...
  3. mshakamshaka

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba

    Natafuta mchumba. Mwenye miaka 19 to 25 Mwenye umbo na haiba ya kike. Aliye tayari kuanza maisha. Mimi ni mtumishi wa serikali. Elimu degree. Nina miaka 33. Mengine yanazungumzika njoo pm kwa taarifa zaidi.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari la kufanyia tax mtandao

    Habari, naitwa Iman nipo Dodoma. Umri wangu ni 29. Natafuta gari la hesabu au mkataba la kufanyia tax mtandao. Number yangu ni 0673086900 Asanteni
  5. Slim

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mzee Mwenzangu tumalizie Ungwe(ke)

    Muhenga mwenzangu nichek tupendane kwa dhati au sio.👍
  6. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuanzisha biashara ya dagaa waliokaangwa kutoka Bukoba - Dar, natafuta soko na partnership wa kuuza hii bidhaa yangu

    Habari ndugu, kama kichwa Cha tangazo kilivyoandikwa nahitaji kuanzisha biashara ya kuuza dagaa waliokaangwa kutoka Bukoba -Dar hivyo nahitaji watu wa kushirikiana nao kupata soko, dagaa ni rejareja kwenye packet au kwa jumla pia wanapatikana kuanzia ndoo ya lita 10 mpk 20, hivyo kwa ambae yupo...
  7. Being Pablo

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi

    Habarini wana jamvi popote mlipo,I hope mko sawa, mimi ni kijana wa umri wa miaka 24 naombeni kwa yeyote anayeweza nisaidia nipate kazi au mwenye connection ya mchongo wowote halali jamani anisaidie maana napitia wakati mgumu sana kwa sasa mimi niko Dodoma elimu yangu niliishia chuo kikuu mwaka...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta Binti mzuri kwa ajili ya urafiki na uhusiano wenye Malengo

    Wapendwa nawasalim. Katika hali ya u serious natafuta binti makini kwa ajili ya urafiki na ikipendeza kua nae kwenye mahusiano yenye future. Itapendeza sana muhusika akiwa na miaka 24 - 29. Na awe anajishughulisha na kazi halali. Binafsi niko serious 30yrs nimeajiriwa na ninajitegemea...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi Kanda ya Ziwa, nina ujuzi wa kazi za nje

    Habari za wakati huu ndugu zangu wapendwa katika Bwana!? Najua mko katika mahangaiko. Natafuta kazi zozote katika ukanda wangu huu wa Kanda ya ziwa, Nina ujuzi aina mbalimbali kama kazi za nje!? Kazi za nje kufyeka nyasi kulima nyasi, kukata miti na zozote zile za nje? Pia kama una connection...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nimesomea Human Resources chuo kikuu cha Dar-Es-Salaam

    Habari zenu watanzania wenzangu naitwa FAIDHAnimemaliza chuo kikuu cha Dar es salaam katika kozi ya afisa mwajiri Mawasiliano 0624-137476 E-mail:faidhak6@gmail.com
  11. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta Laptop

    Natafuta Laptop 1. Apple MacBook Pro (16-inch,M1 Pro/M1 Max) 2. Dell XPS 17(9710) aliyeko na mzigo wa uhakika siyo Hizi refurbished tuwasiliane PM
  12. mkamanga original

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtalaam wa kutafuta simu zangu mbili zilizoibiwa

    Habari wadau Natafuta simu zangu mbili zilizoibiwa . Polisi waliniahidi kuwa zitapatikana lakini sasa nakaribia mwaka Ila niliambiwa wapo vijana wa IT wanauwezo wa kutrack simu na kuzipata. Naomba anayeweza aje inbox na naahidi zawadi nono itatolewa kwa sharti moja tu ya malipo ni baada ya...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nimesoma Sociology

    Hello wadau, Mimi ni mdada nimehitimu Sociology nina uzoefu wa kutosha kwenye kazi za Social Work kwa zaidi ya miaka kumi. Kwa yeyote mwenye connection ya kazi Mwanza anisaidie. Asante
  14. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Jamani Miss natafuta

    Jamani huyu mrembo wangu kapotelea wapi? Hata kwenye simu cimpati kabisa Miss Natafuta popote Ulipo.. You are missed
  15. Namche Bazar

    JamiiForums Tanzania Natafuta meza na viti (desk)

    Fenicha zimepatikana
  16. The ice breaker

    JamiiForums Tanzania Natafuta tender ya ku supply mayai ya kisasa

    Wakuu habari. Mimi ni muuzaji wa mayai ya kisasa , nauza Kwa bei ya jumla. Natafuta tender ya ku supply kwenye shule, hotels , dukani, kwenye malls , au popote pale. Naweza ku supply Kwa idadi yoyote utakayo hitaji.. Ofisi ipo mbezi malamba mawili, Dar es salaam, kama upo Dar nafanya free...
  17. ramadhani kimweri

    JamiiForums Tanzania Natafuta connection ya kazi stendi ya Kahama

    Wakuu nipo kahama natafuta kazi ya kupiga debe kamahama stendi Yeyote mwenye connection na magari nipo tayari kufanya kazi na campun yeyote nipo vizuri katika kushawishi na kuongea Msaada wana jamiiforums
  18. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari ambayo ni ya zamani ila haijachoka au kutumika sana

    Popote ulipo mrembo mwenye miaka 26-30 , isiwe single mother Nimechoka kuishi peke yangu karibu tusaidiane maisha uwe mke wangu Uwe wewe au una mdogo wako au rafiki yako mjulishe taarifa hii
  19. Kumi4

    JamiiForums Tanzania Natafuta msimamizi wa shughuli zote za shamba

    Habari zenu wana Jukwaa, kijana wenu nina uhitaji wa msimamizi wa shughuli zote za shamba, kuanzia kilimo mpaka usalama wa shamba. Shamba liko Mkuranga, Kimanzichana eneo lina Ekari 6, kilimo kikuu kitakuwa ni mboga mboga (Bustani). Bajeti yangu ni 120,000 kwa mwezi pamoja na Unga kiroba kimoja...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Msichana mjasiriamali na mhitimu wa Uhasibu. Natafuta kazi naomba mnisaidie

    Habari wakuu, Mimi ni msichana wa miaka 23 nimemaliza chuo kikuu mwaka huu kwa masomo 2024 ya Uhasibu na Biashara (Bachelor in Accounting ). Tangu nikiwa chuo nimekuwa nikifanya ujasiriamali wa kuuza vipodozi na nguo za kike hadi hivi juzi juzi nilipohitimu. Nipo hapa hapa Dar es Salaam...
Back
Top Bottom