Habari, nina degree ya housing and Infrastructure planning (Mipango miji) nimemaliza chuo kikuu Ardhi mwaka 2023 nipo Dar es Salaam.
Natafuta nafasi ya kazi au hata ya kujitolea hata kwenye kampuni binafsi .
Nitashukuru sana kwa msaada wako.
Wakuu kwema humu?
Nahitaji chumba masters, cha kisasa maeneo ya Mwenge, Mlimani City au Chuo (Ardhi) au Sinza
Nataka kuhamia tarehe 1 mpaka 3 December!
Bajeti yangu haitazidi 200,000/- TZS
Nicheki +255676095799 kama una pictures kwa maeneo hayo.
Asanteni
Wakuu kwema humu?
Nahitaji chumba masters, cha kisasa maeneo ya Mwenge, Mlimani City au Chuo (Ardhi)
Nataka kuhamia tarehe 1 mpaka 3 December!
Bajeti yangu haitazidi 200,000/- TZS
Nicheki +255676095799 kama una pictures kwa maeneo hayo.
Asanteni
Natafuta mtoto wa kike mwenye sifa zifuatazo:
Asiwe na urefu wa zaidi ya futi 6 au chini ya futi nee.
Awe na rangi ya maji ya kinda, hata akiwa mweupe hakuna yaani.
Asiwe na zaidi ya miaka 25.
Awe na na umbo lisilolofautiana sana na lile la myigu.
Mwisho awe anafaa kuwa mke.
Ukiona andiko...
Habari wana JF, Natumai mpo salama na mnaendelea vizuri na majukumu yenu, Nipo hapa kutafuta mwanamke serious ambae atakuwa mke endapo tutaridhiana, sifa zangu ni zifuatazo;
Umri: 30
Elimu: Degree
Mahali ninapoishi: kaskazini mwa Tanzania
Dini: Mkristo
Kazi: muajiriwa serikalini
Sina mtoto wala...
Habari za majukumu wanajamvi naomba msaada mtu anaeweza nisaidia kupata eneo zuri lenye mzunguko mzuri wa biashara za UWAKALA wa MPESA TIGO PESA na Banks pia.
Iwe ndani ya KINONDONI-Dar es salaam
Naomba aje inbox
Habari za mapambano wanajamvi kama mada ilivyo hapo juuu. Nimekuwa nafanya biashara ya mazao (mahindi, maharage,mpunga,alizeti) kwa mda wa miaka zaidi mitatu yaaani mimi natafuta mzigo vijijini maeneo ya songwe na Rukwa napeleka soko la tunduma mataifani pia soko la mbalizi. Kuna baadhi ya mambo...
Elimu: shahada ya uuguzi.
Umri: 31
Jinsia: Me
Location: Dar es salaam
Nina uzoefu wa kutosha wa kuhudumu, naombeni kazi wakuu.
Niko full licenced.
Mawasiliano yangu.
0694029955 / 0718605934
Email;omaryabdallahram@gmail.com
Mimi (Me)- fresh graduate, course husika hapo juu, Kwasasa nafanya kama kibarua kwenye kampuni Fulani ya telecom ambayo nimekuwa Kwa muda wa miezi 6.
Expertise zangu
Kwa standards za Huawei ( ISDP, WebICT)
Naomba mtu mwenye uwezo wa kunisaidia kupata internship/kazi ya uhakika hata...
Habari za wakati huu.
Majina yangu ni XX ni msichana wa miaka 25 ninaishi temeke Dar es salaam. Mimi ni mhitimu wa elimu ya chuo kikuu mwaka 2022 katika kituo kilichokuwa kinaitwa “TANZANIA-MOZAMBIQUE CENTRE FOR FOREIGN RELATIONS” lakini kwa sasa kinaitwa “ DR. SALIM AHMED CENTRE FOR FOREIGN...
Mimi ni mwanamke 35yrs, watoto wawili, elimu yangu degree.
Natafuta mwenza wa maisha yaliyobaki duniani, nimekuwa mpweke kwa muda mrefu tangu nitengane na mwenza wangu ambaye tulishindwana.
Ni wakati sasa natamani nipate mtu ambaye nitabebana naye katika maisha tuliyobakiza hapa duniani kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.