natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. aBuwash

    JamiiForums Tanzania Natafuta eneo la Car Wash Dar

    Hello wanjamii Kwa mtu yeyote ambaye anafaham sehem ambayo ipo sehem nzurii Kwa car wash hapa JIJINI DAR es salaam anifahamishe. Kuhusu vigezo Nataka iwe sehem ambayo ipo road inafikika kirahis na mtu anaweza kujua kama Kuna biashara ya car wash. Ikiwa center itakuwa vizurii zaidi sehem ambayo...
  2. Mwamapinduzi halisi

    JamiiForums Tanzania NATAFUTA SOKO LA NANASI

    Wadau, nimeanzisha shamba la nanasi heka 5, three years ago, maeneo ya Misigi( 17 Km from Chalinze). Sasa lina maximum production. Changamoto yangu ni soko. Nahitaji masoko ya Arusha, Moshi, Zanzibar na Kenya, ndio nasikia bei ni nzuri. Haya masoko ya karibu nayapata, ila bei, wananilalia sana...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuoa

    Hello Naitwa Octavian mwenye umri wa miaka 37.Natafuta mwanamke wa kuoa mwenye umri kuanzia 28 nakuendelea. Awe mkristu,kabila lolote. Kazi yangu nimejiajiri . Aliye tyr aje pm tuyajenge au anicheck whatsap +255776110821 karibu Sana
  4. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke

    Habari, nipo Arusha natafuta mwanamke umri kuanzia miaka 28 hadi 37 tuishi na tuzae mtoto, sichagui Kabila wala dini. Asiwe mlevi, mvivu. Alie serious anifuate inbox
  5. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu mwenye koneksheni za migodini nahitaji kazi huko

    Salam ndugu zangu natanguliza shukrani kwa Muumba wetu. Mimi ni kijana wa kiume nina miaka 22, Kama kichwa cha habari kilivyojieleza hapo juu ninahitaji mtu mwenye koneksheni ya kazi za migodini,migodi za wachimbaji wadogo pia hata wakubwa. Natafuta maisha ndugu zangu kwa atakaeguswa au kwa...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi au kibarua chochote Dar es Salaam

    Habari, Mimi ni binti wa miaka 23 naishi Dar es Salaam. Level yangu ya elimu nina degree ya Information systems Management. Npo hapa kuomba kazi yoyote kama vile barista cafe, kuuza duka, kuuza Supermaket, na kazi nyingine yoyote mnayoweza nisaidia. Asante
  7. Fufua Tumaini Jipya

    JamiiForums Tanzania Kijana wa miaka 20 natafuta ajira au kazi

    Naitwa Yusuph , umri miaka 20 natafuta Ajira au kazi yoyote ile ya halali. Elimu yangu kidato cha nne. Aina ya kazi , naweza kufanya Kazi mbali mbali , zakutumia akili pamoja na nguvu Napatikana DSM wilaya ya TEMEKE Mawasiliano +255696993834
  8. I

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi (kibarua)

    Habari ya Uzima wanaJF! Nimekuja mbele yenu kuomba msaada wa kibarua chochote Cha halali. ✅Nna shahada kwenye real estate management (hiki kisiwe kigezo Cha Mimi kupewa kazi) ✅Najua vema kutumia kompyuta kwenye program zote. Naishi DSM, Asanteni sana
  9. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta vioo vya samsung

    Wakubwa, natafuta mahali panapatikana spea za Samsung S10,S9,. Shida ni kioo tu
  10. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta wakulima wa choroko kanda ya kaskazini

    Habari wakuu. Nahitaji kuwasiliana na wakulima wa choroko mikoa ya kaskazini kwa mazungumzo ya kibiashara.
  11. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtengenezaji wa juice ya miwa

    Nipo Kitunda,Ilala,Dar-es-Salaam Namba:0685 069 818
  12. Slim5

    JamiiForums Tanzania Natafuta Vitabu

    Nisiadie kunijulisha wapi ntavipata vitabu hivi!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ya halali. Napatikana Dar es Salaam

    Habari za wakati huu ndugu zangu. Naombeni mnisaide kazi, mahali pa kujitolea au hata ushauri, Nina Shahada ya Uchumi na Takwimu na nipo vizuri hasa kwenye masuala ya hesabu. Iwe ndani ya fani au nje ya fani muhimu ya halali tu. Napatkana Dar es Salaam Mawasiliano yangu ni; 0784990919...
  14. 07dominica

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mume

    Habari za humu JF Mimi ni mwanamke umri 34yrs naishi Dar es Salaam natafuta mwanaume wa kunioa Sifa zangu Trible:mpare wa ugweno Elim Digree Kazi: Biashara ndogondogo Dini:Mkristo Lutheran(KKKT) Nina watoto 3 niliwahi kuolewa Ila Bahati mbaya amefariki kwa ajali ya gari, ninahofu ya Mungu...
  15. The ice breaker

    JamiiForums Tanzania Natafuta kijana wa kulima

    Habari Natafuta man power ( kijana) wa kulima bustani za mboga mboga. Eneo la kazi ni Kimara mwisho , dar es salaam 0616274277
  16. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja Dar

    Wakuu natafuta kiwanja Dar es Salaam cha million 4. Aisee nataka na mimi niwe na kwangu nimechoka kupanga kumfaidisha mwenye nyumba pesa. Nipo serious.
  17. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi

    Habari, Natafuta kazi ya nimemaliza degree ya uhasibu chuo kikuu cha Dar es Salaam, kazi mahali au mkoa wowote. Nipo mbeya Mawasiliano: 0672876887
  18. I

    JamiiForums Tanzania Heavy machine operator natafuta kazi

    Natumaini ni wazima wote. Ndugu jamaa na marafiki embu angalieni mnanisaidiaje na hii fani na uzuefu nilionao kwa nguvu zangu nimekwama. EXCAVATOR OPERATOR uzoefu miaka 5 WHEEL LOADER uzoefu mwaka1 pia naoperate LLOLER NABIDII NIWAPO KAZINI NATAMANI SANA KUPATA MASHINE YA MTU BINAFSI...
  19. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Natafuta wazalishaji wa chupa hizi za plastik,Anayejua naomba connection

    Habari wakuu. Natafuta chupa za plastik hizi za kijani kubwa na ndogo,naomba maelekezo ya kiwanda maana nahitaji kwa wingi na biashara endelevu. Piga 0713 039 875
Back
Top Bottom