natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mtunza siri zako

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume asiyependa makalio makubwa

    Leo nimekutana na video ya mmasai naye anasema anapenda nyash. Kwani hakuna wanaume wanaopenda wanawake vipotable wasio na makalio makubwa? Na kama wewe ni kama huyo mmasai, kwanini unapenda wanawake wenye makalio makubwa?
  2. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta co-founder

    Habari wakuu, Nina platform ya online shopping ambayo tayari ipo hewani — kwenye website, Android na iOS. Tayari imekamilika kimuundo, na sasa natafuta mtu wa kuungana nami kama co-founder ili tusonge mbele pamoja. Nahitaji mtu ambaye ataweza kuchangia kwa kiasi fulani (either kifedha au nguvu...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta Stethoscope ya daktari used ya kununua, hata ikiwa mbovu sawa tu. Doctors mwenye Stethoscope mbovu atucheki

    Habari wadau. Natafuta Stethoscope used. Hata ikiwa mbovu haifanyi kazi nahitaji pia. Tunaitumia kushutia igizo la sanaa. Pia kwa wanaojua wapi used zinauzwa naombeni mniambie Najua humu kuna watu wengi.. kwa mwenye nayo anauza anipigie namba 0754003715
  4. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwalimu wa kunifundisha na kunisimamia ngazi ya chuo

    Ninasoma degree ya economics open hivo natafuta mwl wa kuni brash kwa malipo tutakayokubaliana. NIPO LINDI Simu 0688 229 455
  5. Decruise

    JamiiForums Tanzania Natafuta Nafasi ya kazi

    Shikamooni wakubwa zangu, habari za kazi pia vijana wenzangu. kwa jina naitwa meshack ni muhitimu wa chuo cha taifa cha usafirishaji Dar es Salaam. natafuta kibarua au kazi kabisa. Elimu yangu ni degree ya usafirishaji na logistiki kwa ujumla naweza nikafanya kazi kama afisa usafirishaji yaani...
  6. joyce123

    JamiiForums Tanzania Dereva natafuta gari

    Habari naitwa Iman nipo Dodoma natafuta gari la kufanyia kazi bolt, nina uzoefu WA kutosha zaidi ya miaka minne. Kwa Dodoma hesabu yetu waga ni 150,000 kwa wiki na kwa magar ya mkataba waga ni 200,000 kwa wiki naomba mwenye gar anisaidie. Mawasiliano yangu ni 0695276900 asante
  7. M

    JamiiForums Tanzania natafuta mke awe mwanza

    nahitaji mwana mke awe mwanza umri 30-42 akiwa na mtoto haina shida ila asizidi 1 .. naishi nyegezi nina miaka 43 na mtoto mmoja ... aliye tayari ani pm tuyajenge
  8. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Natafuta Dashboard ya Toyota Hilux 2007

    Natafuta Dashboard ya Toyota Hilux mwaka 2007. , akama unayo ingia DM tuonane.
  9. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuishi naye

    Mimi ni kijana wa miaka 28. Nmeajiriwa sekta binafsi , kipato changu ni 400,000 kwa mwezi natafuta mwanamke wa kuoa kuanzia miaka 17 hadi 24 awe mzuri wa sura , awe rangi yoyote, asiwe na mtoto, awe na elimu yoyote, awe mkristo wa dhehedu lolote awe tayari kuishi Mahali nilipo yeyote anayeweza...
  10. Nehemia Elias

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari ya kufanyia Uber and bolt

    Mimi ni dereva mwenye uzoefu, nimeendesha tax mtandao(uber and bolt) Natafuta gari ya kazi iwe hesabu au mkataba, nipo tayar mda wowote kwa yeyote mwenye gari ndogo, karibu tufanye kazi Mawasiliano: 0698789184
  11. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuoa

    Habari wanawake wote wa humu JF na pia hongereni kwa upambanaji wa kujitafutia mkate wa kila siku. Mada: Natafuta mwanamke wa kuoa awe mwanamke mwenye uhitaji wa kweli na mwenye nia ya kujenga familia bora na imara. Sifa: Awe na umri kuanzia miaka 25 hadi 37. Dini yeyote ile - Mkristo, au...
  12. willy ze great

    JamiiForums Tanzania Natafuta compressor used

    Natafuta compressor used ya kutumia engine ya diesel zile za migodi midogo.
  13. musicarlito

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba na sebule maeneo ya Mbagala

    Wakuu habari Mahitaji chumba na sebule maeneo ya Mbagala ambako nimehamishia shughuli zangu Maisha yangu kwa asilimia kubwa hapa mjini nimeyaishi Ubungo rudi mpaka Mbezi Natafuta maeneo ambayo hakuna 'uswahili' sana...simaanishi mimi ni wa kishua...kinyume chake mimi ni shamba nimetoka mkoani...
  14. graciasp3

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wakuoa!!(25_27 yrs)

    Habari za mda huu wakubwa kwa wadogo,,,sipend kuzunguka mnoo nataka niende straight to the point,,,,natafuta mwanamke wakuoa umri tyr nshaandika apo juu,,, Awe tayari kuishi mahali popote,awe mpenda maendeleo Sifa ya mke ninaye mtaka. ~ Awe na umri 25_27 ~ Elimu siyo kipaumbele changu. ~...
  15. Room 28

    JamiiForums Tanzania Natafuta waunga bundle za halotel?

    Wakuu natafuta wale waunga bundle za halotel ! Mimi ni mteja mzuri….. Kama upo taja ulipo na mawasialiano yako nikutumie hela. uaminifu muhimu
  16. G

    JamiiForums Tanzania Natafuta mkanda wa mixer ya unga wa mkate ya 25kg

    Habari wakuu, natafuta mkanda (belt) wa mixer ya kupondea unga wa mkate kama picha inavyojionyesha, kama unao tuwasiliane
  17. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta fremu ya biashara

    Natafuta fremu ya biashara maeneo ya temeke kodi isizidi 100k
  18. excel

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuoa, awe sealed kama mimi😭😭

    Jambo la msingi ni hilo Yani mimi niko Sealed kama Box la sigara, halafu wewe nikukute Uko Open High way ya Mfugale.. Njoo tufunguane kama Champaigne😂😂
  19. A

    JamiiForums Tanzania Ninatafuta kazi au kibarua cha kulipwa kwa siku.

    Habari zenu wanaJF nipo Dsm natafuta kazi au kibarua cha kulipwa kwa siku. Iwe saidia fundi, bandarini, kiwandani au kazi yoyote ya halali. Elimu yangu ni shule ya msingi. Napatikaa Mbezi makabe. Natanguliza shukrani zangu za dhati
  20. Smart Eagles

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba ya kupanga maeneo yafuatayo Morogoro mjini (bajeti 300,000/=)

    1. Eneo la Kilakala isiwe mbali na kituo cha Tushikamane. 2. Eneo la Kola (iwekaribu na barabara ya pangawe) 3. Eneo la Bigwa (iwekaribu na barabara ya pangawe) Iwe na vyumba 3 vya kulala. Ijitegemee maji na umeme.
Back
Top Bottom