natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Natafuta MTU wa kuniandikia proposal ya biashara ya milioni Tano chap.

    Ninahitaji Hilo kama upo nichel 0747464239
  2. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta marafiki

    Natafuta marafiki wa kubadilisha mawazo
  3. M

    JamiiForums Tanzania NATAFUTA KAZI YEYOTE HALALI NIPO DAR

    Habari za leo wakuu, Naitwa Mustapha Komba, kijana mwenye bidii na nidhamu ya kazi, ninaishi Dar es Salaam. Kwa sasa ninamaliza shahada ya Health Systems Management (BHSM) Chuo Kikuu cha Mzumbe, lakini nipo tayari kufanya kazi yoyote halali huku nikiendelea na masomo muuzaji duka, cashier...
  4. M

    JamiiForums Tanzania NATAFUTA KAZ YEYOTE I HALALI

    Habari za leo wakuu, Naitwa Mustapha Komba, kijana mwenye bidii na nidhamu ya kazi, ninaishi Dar es Salaam. Kwa sasa ninamaliza shahada ya Health Systems Management (BHSM) Chuo Kikuu cha Mzumbe, lakini nipo tayari kufanya kazi yoyote halali huku nikiendelea na masomo muuzaji duka, cashier...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali, iwe dukani, kampuni au udalali

    Habari za leo wakuu, Naitwa Mustapha Komba, kijana mwenye bidii na nidhamu ya kazi, ninaishi Dar es Salaam. Kwa sasa ninamaliza shahada ya Health Systems Management (BHSM) Chuo Kikuu cha Mzumbe, lakini nipo tayari kufanya kazi yoyote halali huku nikiendelea na masomo muuzaji duka, cashier...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi niko Dar. Ni mwanafunzi wa mwaka wa mwisho wa Shahada ya Uongozi wa Mifumo ya Afya

    Habari wakuu Naomba msaada wa taarifa za kazi/vibarua vya haraka jijini Dar es Salaam. Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa mwisho wa Shahada ya Uongozi wa Mifumo ya Afya (BHSM) Chuo Kikuu cha Mzumbe, na kwa sasa nipo Dar nikisubiri muda wa mafunzo kwa vitendo (Novemba). Nina uzoefu wa: Kuunda...
  7. JamiiForums Tanzania Natafuta Vifaa Vifuatavyo kwa Bei Rafiki: Betri ya Lenovo, RAM 8GB na SSD 500GB

    1. Betri ya PC kwa part numbers hizi: L14M3P24 L14S3P24 L16M3P24 L16S3P24 FRU: 5B10H41180 / 5B10H41181 / 5B10H52788 / 5B10M95762 11.1–11.52V, 45Wh, karibu 4050mAh Lenovo IdeaPad/XiaoXin 700‑15ISK type 80SH 2. RAM 8GB DDR4‑2133MHz / PC4‑17000 SO‑DIMM ya laptop, 260‑pin 1.2V, Non‑ECC, Unbuffered...
  8. JamiiForums Tanzania Natafuta lori la mzigo tani 32 kutoka kiteto kupeleka Arusha

    Mzigo : mahindi gunia 300 kila gunia kilo 108 (Tani 32.4) Mahali ulipo : kiteto Unapoelekea : Arusha kwa mworombo. Mawasiliano : 0797870940
  9. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mwanaume wa kubadilisha naye mawazo

    Vigezo vya mwenza ninayemtafuta: Awe na watoto wasiozidi wawili. Awe na umri kati ya miaka 35 hadi 45. Awe na kazi au chanzo cha kipato cha kumwezesha kunihudumia. Awe mkazi wa Dar es Salaam. Awe mtu mwenye heshima, upole na tabia njema (gentle). Hatutarajii kufunga ndoa, bali atakuwa akija...
  10. JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    Mimi ni mwanaume mwenye miaka 50, Nina watoto 1, kazi ni mfanyabiashara, dini ni Mkristo. Natafuta mke mwenye miaka 25 mpaka 40. Awe Mkristo. Kama upo serious njoo in box tuyajenge
  11. JamiiForums Tanzania NATAFUTA AJIRA; zawadi na baraka imng'arishayo mwanamke

    Wasukuma tunasema; MWAMPA(mwamba) huyu hapa.!!! Maashiiine!!!😅 Kwa vile mwanangu anarusha sana mateke leo huko tumboni hence moyo kunienda mbio nitaandika kwa kifupi sana ujumbe huu ambao roho wa bwana AMENIHUIA kuufikisha kwenu wanawake wenzangu wa jamii forums. Ladies and gentlewomen, I...
  12. JamiiForums Tanzania Jaman natafuta urafiki wa kike aliyeko Dar

    Umri awe 18-21 awe anaish dar kama yupoh AJ dm tuyajenge
  13. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta fursa za zabuni na usambazaji wa vifaa vya ICT

    Wakuu Nina reseni ya uzabuni na Nina miaka 4 katika kazi hii hivyo Nina uzoefu nzuri. Natafuta fursa za zabuni (tenders) na usambazaji wa vifaa vya ICT Kampuni yangu ina leseni halali ya usambazaji na uuzaji wa vifaa vya ICT, na tupo tayari kuhudumia taasisi za umma, kampuni binafsi...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta fursa za zabuni (tenders)na usambazaji wa vifaa vya ICT

    Wakuu Nina reseni ya uzabuni na Nina miaka 4 katika kazi hii hivyo Nina uzoefu nzuri. Natafuta fursa za zabuni (tenders) na usambazaji wa vifaa vya ICT Kampuni yangu ina leseni halali ya usambazaji na uuzaji wa vifaa vya ICT, na tupo tayari kuhudumia taasisi za umma, kampuni binafsi...
  15. JamiiForums Tanzania Natafuta Mtaalamu wa Code wa Java-Script na Pyhon

    Hello wakuu kama wewe ni mtaalamu wa Pyhon, java-script na kutengeneza Apps nicheki haraka iwezekanavyo. Jambo la msingi ni kuwa anahitajika mtu anaejua codes na mifumo sio mtumiaji wa AI
  16. JamiiForums Tanzania Natafuta sana hiki kiatu; mtumba grade one, hakijavaliwa,. Nilikutana nacho Sabasaba

    Hellow wakuu. Habari ya majukumu. Nimeona niwashirikishe hili suala. Nilikutana na hiki kiatu Mwezi wa saba, bahati mbaya sana kilikuwa kimechukuliwa. Ni mtumba. Grade No 1. Size No 44 Hakikuwa kimevaliwa Naomba kwa yoyote mwenye machimbo ya Mtumba au Connection ya kukipata anijulishe...
  17. JamiiForums Tanzania Natafuta Ajira ya Bajaji ya Hesabu au Mkataba

    Naitwa George ludomya makazi ni Kunduchi, Dar es Salaam. Nimekuja kwenye Jukwaa hili ili kuomba kama kuna mwenye ajira ya dereva Bajaji iwe Mkataba au hesabu. nina leseni iliyokamilika pamoja na cheti kutoka veta ,pia nipo tayari kuja na mdhamini ambaye yupo serikali, passport zitakazo hitajika...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Kupaka rangi Nyumba ndani na nje karibuni

    TANGAZO LA KUTAFUTA KAZI YA KUPAKA RANGI NYUMBA NATAFUTA KAZI YA KUPAKA RANGI NYUMBA – MUSOMA Natoa huduma za kupaka rangi nyumba za makazi, ofisi, maduka na majengo mbalimbali ndani ya Musoma na maeneo ya jirani. Ninafanya kazi kwa umakini, uaminifu na ubora wa hali ya juu. Napaka rangi za...
  19. D

    JamiiForums Tanzania NATAFUTA MAJINA YA NYIMBO ZA RHUMBA KALI

    Wakuu natafuta nyimbo ambazo Zinamiondoko kama ya nyimbo hizi za rhumba 1. Innos b "avertisement" 2. Fally ipupa "Mh 3. Papa wemba "Emmanuelle" 4. Nyinginezo Yaan rhumba fulani ivi smooth afu solo fulani ivi wakuu Naomba mnitajie majina ya NYIMBO zinazoendanna na izo ziwe old au modern 🙏🙏
  20. JamiiForums Tanzania Natafuta nyimbo hii youtube

    Sijui jina. Inaimbwa hivi. Inapofika mwisho wa mwezi kasimu huonekani... Ni nyimbo inayomzungumzia kasimu Kila akipata mshahara. Akifika mwisho wa mwezi anapotea. Hasa has alivyopata kazi. Ni zilipendwa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…