Natabiri machafuko yataendelea tena na tena. Watanzania wameshapata starting point

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
25,883
Reaction score
35,938
Baada ya kuona vurumai lililotokea usiku wa leo na chap hatua za haraka zimechukuliwa ikiwemo kuwatengua baadhi ya staffs na kuongeza mwendokasi ,ili kupunguza mihemko kwa wananchi.

Kiuhalisia tunaweza kusema sasa wameshaanza kuzibuka masikio maana ilikuwa kila wakiambiwa wanatia pamba masikioni.

Watanzania wameshajua namna ya kudai haki zao pale wanapoona wanadhulumiwa au kupokwa.

Watanzania sio waoga ila walikuwa wanataka pakuanzia na wameshapata sehemu ya kuanzia.

Zilianza rasharasha kwa watanzania kutuma video wakiwa ndani ya mwendo kasi wakiimba hawaitaki CCM wala huyo Samia wao, walidhani utani ,sasa jana wameleta kionjo kidogo.

Wananchi wameshaanza kuhamasika na kama hatua za maridhiano zisipochukuliwa mapema mengi yataibuka zaidi ya hapa.

Samia tuachie tanganyika yetu hatukutaki.
 
The architects of this madness are none other than CCM thugs and their trail of ineptitude.

CCM thugs are the ones who are in protest. They are protesting against Tanganyika, they are protesting against Constitutional Order, they are protesting against Democracy, they are protesting against UNDUGU, and they are protesting against Progress and Civilization.

Such barbarians and brutes deserve to be dealt with sheer ruthlessness without a shred of clemency.​
 
Baada ya kuona vurumai lililotokea usiku wa leo na chap hatua za haraka zimechukuliwa ikiwemo kuwatengua baadhi ya staffs na kuongeza mwendokasi ,ili kupunguza mihemko kwa wananchi.

Kiuhalisia tunaweza kusema sasa wameshaanza kuzibuka masikio maana ilikuwa kila wakiambiwa wanatia pamba masikioni.

Watanzania wameshajua namna ya kudai haki zao pale wanapoona wanadhulumiwa au kupokwa.

Watanzania sio waoga ila walikuwa wanataka pakuanzia na wameshapata sehemu ya kuanzia.

Zilianza rasharasha kwa watanzania kutuma video wakiwa ndani ya mwendo kasi wakiimba hawaitaki CCM wala huyo Samia wao, walidhani utani ,sasa jana wameleta kionjo kidogo.

Wananchi wameshaanza kuhamasika na kama hatua za maridhiano zisipochukuliwa mapema mengi yataibuka zaidi ya hapa.

Samia tuachie tanganyika yetu hatukutaki.
samia yuko kwenye kampeni mjuba, hamtaki mnamtaka nani?
 
1000240370.jpg
 
Back
Top Bottom