Natabiri tu. Baada ya uongozi wa Rais Samia, Waziri Mbarawa anaweza kushitakiwa

Kinga yuko nayo

Pale inaonesha Muheshimiwa ametoa Idhini, kibali cha Yeye kusaini. Hivyo sio kosa lake hapo.
Karibu tutaongea lugha moja,kinga tasiri yake nini, nipale mwenyekinga anapofanya maamuzi kwa maslahi ya Taifa kwa dhamana aliyopewa bilakuwepo viashiria vya bakshish,zawadi au aksante yoyote kwanamna yoyote ile ,vinginevyo aminajisi hiyo kinga na anastahili kushitakiwa kama nakosea naomba nielimishwe zaidi na wabobezi wa sheria
 
Hili swala la Bandari na DP World bado ni bichi na linavuja damu.

Natabiri tu, baada ya muhula wa mama, Prof Makame Mbarawa anaweza shitakiwa kwa uhujumu uchumi.
Prof Mbarawa hana kinga.

Natabiri tu.
Mkuu

Sio Mbarawa pekee,hata Hangaya mwenyewe ataondolewa kinga na kupandishwa kizimbani kwa mara ya kwanza tangu uhuru. Viongozi wandamizi wa chama chake watapandishwa pia kilingine kujibu makosa ya uhujumu uchumi, kutakatisha fedha, kumiliki magenge ya kihuni yanayopora rasilimali za nchi na kunyanyasa wananchi kuwapora ardhi kwa kigezo cha uwekezaji hewa pamoja na uhaini.
 
Kinga yuko nayo

Pale inaonesha Muheshimiwa ametoa Idhini, kibali cha Yeye kusaini. Hivyo sio kosa lake hapo.
Fatilia principle iliyokuwa established through Nurambeg Trial. (Kesi za Hitler)You hv the right to disobey unlawful orders. You can choose to obey at your own risk
 
Mkuu

Sio Mbarawa pekee,hata Hangaya mwenyewe ataondolewa kinga na kupandishwa kizimbani kwa mara ya kwanza tangu uhuru. Viongozi wandamizi wa chama chake watapandishwa pia kilingine kujibu makosa ya uhujumu uchumi, kutakatisha fedha, kumiliki magenge ya kihuni yanayopora rasilimali za nchi na kunyanyasa wananchi kuwapora ardhi kwa kigezo cha uwekezaji hewa pamoja na uhaini.
Ni matter of debate, lakini suala la DP World halijakaa vizuri hata kidogo.
Mpaka unadiriki kujiuliza vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vinafanya kazi gani?
 
Hawezi kushtakiwa, atarusha mpira kwa raisi aliemkaimisha kutia sahihi na raisi ana kinga ya kutoshtakiwa hivyo wazanzibari wawili wataendelea kula urojo huku wa bara wakilia
 
Back
Top Bottom