nasikia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Tushtuane hio saa moja kamili usiku sijui mange anatka kusema nini

  2. M

    JamiiForums Tanzania Huwa nasikia wanawake wakianza kufuatilia talaka wapate mali wanawamwagia waume zao maji, ni vitimbi gani vingine huvifanya ?

    Nilisoma post kuna mdau alilalamika mke wake alikuwa anammwagia maji kudai talaka wagawane mali, ni mpaka siku alipomwagiwa maji ymoto akalichulikulia suala serious. Ni vitimbi gani vingine hufanywa
  3. livingroom_espionage

    JamiiForums Tanzania Nasikia Vise mchawi ni Kili tu, akipiga tano tu. Tumswalie Mtume. Lakini mbona vijana wa GSM sio walevi sasa kuna shida gani wakuu ?

    Ndio Maana yule kijana wenu anaitwa NURUVUZI watu wamvutia kasi tu anavyofanya ngonjera zake. Wewe hujui hapa JF tunakaa na wandewa.. Nawasilisha
  4. Mtu mbalimbali

    JamiiForums Tanzania (video) TUNDU LISSU : "Nyie watanzania Mimi nipo gerezani nasikia Dr. Emmanuel Nchimbi haonekani yupo wapi"

  5. Mzee makoti

    JamiiForums Tanzania Wakuu nasikia G Malissa katekwa heti,si alikuwa nje ya Nchi,imekuaje Tena?

    Ndugu yangu na rafiki yangu, Comrade Malisa GJ [@malisa_g], ametekwa na Jeshi la Polisi Tanzania karibu na Namanga, Arusha, Tanzania, jioni hii. Hili ni tukio linalotia wasiwasi mkubwa!! Mwachieni Malisa GJ sasa hivi!!
  6. Wazo la kabwela

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Nasikia Simbachawene ameambiwa apige jeramba kuna sub inafanywa

    Kwa tetesi zilizopo nasikia Simbachawene ameambiwa apashe misuli moto kuna namba uwanjani inapwaya vibaya mno... kikwazo ni kwamba hakuna kocha mwenye mamlaka wa kumtoa huyo mchezaji mchezoni labda wamuuwe
  7. BigTall

    JamiiForums Tanzania Nasikia Cement imepanda hadi kuuzwa Sh 22,000 kwa mfuko. Mtaani kwenu mnanunua kwa bei gani?

    Nimeona taarifa hii ya Azam TV ikieleza kuwa cement imepanda na kuwa baadhi ya maeneo inauzwa hadi Shilingi 22,000 hadi 23,500kwa mfuko wakati awali ilikuwa inaiuzwa kati ya Shilingi 15,000 hadi 17,000, sasa imekuwaje ghafla tu mzigo umepanda kwa kiwango hicho? Kuna nini nyuma ya pazia...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Nimekumbukwa, kieneo changu cha Makunganya huko Morogoro nasikia imegunduliwa dhahabu, watu wamekivamia. Walahi tutatoana macho

    Hamjambo wote! Baada ya wanaonichukia kunidhihaki, kuniponda, kunikejeli na kuninyali. Huku wanisema sina hili wala lile. Sina maisha wala kitu chakufanya. Wengine wamefika mbali wakinitukana na kuniambia nashinda tuu mitandaoni kurushiana maneno na watu. Sasa nimekumbukwa. Mambo yanaenda...
  9. Stability

    JamiiForums Tanzania Nasikia sasa hivi kila pisi inakimbilia Geita. Kunani!?

    mashimo yatakuwa yametema
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu Temeke hatujalipwa fedha za likizo tangu 2019, nasikia zimewekwa Fixed Account ziwazalishie

    Walimu Temeke hela za likizo hatujalipwa toka 2019, Ni huzuni tupu. Pesa nasikia wanazo ila wanaziweka fixed acc ziwazalishie, ni maumivu makubwaa. Tunaomba mtupazie Sauti. Mimi ni mwalimu, Temeke Manispaa, Dar es Salaam. Pia soma ~ Naibu Waziri Qwaray: Waajiri wote lazima watenge bajeti ya...
  11. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Nikimwona mwanamke ana kipini puani nasikia kinyaa

    Nikimwona mwanamke ana kipini puani naona kama kamfugo fulani hivi Wanawake punguzeni maurembo. Mara vikuku, huku kope za paka, mara uso unapakwa madudu mpaka unashindwa kujua huyu ni maiti au mzima
  12. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Nasikia alitokea kupendezwa na urembo wa mkamwana wake aitwaye zainab na akamshawishi amtariki mwanae ili amuoe.

    hamis77 Castle_Lite tupeni mwanga zaidi
  13. B

    JamiiForums Tanzania Justine Kalikawe: Mwanamziki wa Reggae Mtanzania, Ndio kwa mara ya kwanza nasikia wimbo wake kwenye Daladala leo

    Hapa niko nasikiliza Mziki wa Justin Kalikawe Mwanamziki wa Rege asili ya Kitanzania, Mhaya kutoka Kagera Kibao kinachopigwa muda huu kwenye hii daladala ni " AMANI" AIdha ktk kuelimisha jamii, wanasiasa, kuhimiza utaifa na maendeleo mnamo miaka ya 1996 hadi 2000s alitoa kazi zake kama...
  14. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Mwamba huko Tarime kajinyonga kisa mpenzi wake na barua yenyewe alioiacha ndio hii

  15. D

    JamiiForums Tanzania Mlioko Dar nasikia barabara ya bandari imefungwa

    Nasikia barabara ya bandari dar imefungwa mlioko dar tuambieni kwanini? Halafu waliovalia sare za Jeshi la wanachi wakilinda vituoni vya mabasi ni wanajeshi kweli au kuna watu tu wamejishonea sare maana ni mpya zile.
  16. N

    JamiiForums Tanzania kuna dada anaitwa Magdalena Sabaya nasikia anakuwa mkuu wa wilaya samia kwa nini unatuchokoza ?

    mama kichwa cha habari kinavyojieleza nasikia huyu mdada anaandaliwa mkuu wa wilaya wakati ana historia mbaya sana na familia yao wa historia mbaya mno mno ,yeye mwenyewe nasikia mwizi na mkatili mno SAMIA SULUHU HASSAN PUNGUZA KUCHOKOZA WANANCHI NA HISIA ZETU
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nasikia Sigara inayopendwa na pia isiyopendwa na Watanzania wengi ya 'SM' inaweza Kutoweka kabisa Tanzania na sasa wala haionekani tena

    Geniuses wangu wakubwa hapa JamiiForums mrangi, King Kong III, adriz, Benny Haraba etc kulikoni Fegi hii imeadimika?
  18. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Kilwa mgombea mmojawapo wa CCM ametupiwa onyo kali la kimbunga

    Wakuu, Nimeona video huko Facebook upepo mkali unabeba viti na inadaiwa kuwa imetokeo huko Kilwa kwneye moja ya mkutano wa wagombea ubunge katika mchakato wa kuomba kura za maoni kwa wajumbe huko CCM
  19. Fufua Tumaini Jipya

    JamiiForums Tanzania Mtu anayeitwa kiparangoto ni nani? nasikia ndo anataka kukiondoa kitalu namba nne

    Leo nilikuwa Ofisini Ila nimeambiwa kuna MTU anaitwa Kiparangoto je huyu ni nani wakuu?.
  20. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Nasikia sasa wamesema bora tukose wote na tuanze upya!

    Wakuu kinachoendelea ni ule utaratibu wa bora tukose wote . Jamaa wa ubungo maziwa eti pale kwake Bukoba kijijini analindwa Kama sio yeye . Yule jamaa muhaya akili nyingi ana hasira za kupishana na tonge, karatasi pia alinyimwa . Na yeye anaona kurudi kupiga madesa anaona haiwezekani Je...
Back
Top Bottom