nasikia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nasikia Tajiri Kakasirika na kaachia Mzigo wa maana wa Usajili hivyo kuanzia Wiki hii ni Vyuma tu Vinashuka Lawama Kugombana Sports Club

    Wadanganyeni wengine ila siyo Mimi oky?
  2. Now and then

    JamiiForums Tanzania Nasikia nguvu kubwa sasa imeelekezwa kuangusha Mbuyu namba nne kwanza.

    Sioni Kama tutaendelea kuwa na mbuyu namba nne. Ebu tuone .
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Haya fuatilieni haraka tayari Basi la KIDINILO limeshaleta Maafa huko Ubena Zomozi na nasikia kuna Taarifa si nzuri

    Tukisema kutwa hapa kuwa Wakagueni vizuri Madereva kama hawavuti Bangi na Mabasi yao yako Imara hamtuelewi tu.
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC nasikia mnataka kuwaacha Nahodha Zimbwe Jr na Kapombe. Kwa Kapombe nawaunga mkono ila kwa Nahodha Zimbwe nakataa 100%

    Na nimesikitika sana kusikia kuwa baadhi yenu Viongozi wa Simba SC ambao nawaheshimu Personally mkisema kuwa moja ya sababu Kuu ya kutaka kumuacha Nahodha Mohammed Hussein Zimbwe Jr Tshabalala ni kuwapiga Miba (Kuwaroga) Mabeki wazuri wa Nafasi yake ambao wanamzidi Uwezo. Ngojeni leo...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nimegombana na wife, nikazira kula chakula,na yeye wala hajajisumbua kunibembeleza,hapa nilipo nasikia ubao sio wa nchi hii

    Za kwenu wakuu? Jana usiku tulizozana na wife,nikaudhika nikazira kula msosi,nikajua labda angekuja chumbani kunibembeleza kula.matokeo yake naona mtu kaja chumbani kaingia bafuni kaoga kapanda kitandani kulala.hapa nilipo nina hisi ubao sio wa nchi hii wakuu. Is there any idea...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Nasikia mgombea mwenza anapigiwa chapuo kisa mzalendo ndio maana Bunge halijavunjwa!!

    Zipo tetesi zinazagaa Kwa mtandandao eti wale mabaka wanamtaka mzalendo ndio atie Nia ya kugombea kiti kizito!Na jicho lao lipo kwa mwenza eti yeye ni mzalendo haswaaa!! Sasa je Alie tia Nia tayari atakubali kumpisha mgombea mwenza!!? Je tetesi hizo ni za kweli!!? Nasikia ndio maana vikao vya...
  7. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Nasikia kuna mtu anafanya warm up nafikiri utakuwa mpango wa kuingiza wapiga penati

    Hakika kumekucha safari hii sio mchezo Sub zote zimeisha Ila tunaingiza wapiga penati ambao wako wanafanya warm up. Sasa tusiangushane.
  8. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Nasikia wakristo wakishika miti ya minazi mnazi unakufa na mkristo akipanda mnazi unakufa

    Wakuu nasikia hivyo wakuu leo nimekaa kijiweni na wazee wa pwani hapa pwani ya pangani wanasema kwasababu mti wa minazi ni twahara kwa maana hiyo ili upande unatakiwa uwe twahara ukiushika huo mti wa mnazi wakuu je ni kweli wakuu?
  9. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Je, tutegemee kuona tukio gani kwenye mchezo wa JKT Tanzania vs Simba SC?

    Karibu Wadau Wa Soka uweke utabiri wako Wa tukio la kustaajabisha litakalokuacha mdogo wazi (kupigwa bumbuwazi) kwenye Mchezo Wa JKT Tanzania vs Simba SC kati ya haya yafuatayo. (1) Penati ya mchongo Baada ya mchezaji kujiangusha kwenye Penati box (2) Kadi nyekundu yenye utata na...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Nasikia Tusiime imebaki na wanafunzi mia mbili? Ni kweli?

    Kutoka wanafunzi elfu tano hadi mia mbili? Ni kwamba wazazi wame zikubali kampeni za LIKUD na kurudisha watoto wao Kayumba ama?
  11. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Nasikia Fadlu Hussein na Aouah ni marafiki sana

    Kila kocha kwenye timu anayofundisha huwa anamchezaji ambaye ni swaiba yake. Nasukia Jin cha awaaa Ni best wa kocha mzulu mixer muhindi Fadluhussein Huo ushikaji utakujakumtokea puani huyu kocha
  12. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Nasikia harufu mbaya sana ya udini IPO siku bomu litalipuka

  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nasikia Gari la 'Actress' sasa yoyote mwenye Leseni anaweza Kuliendesha kwa wakati huu muhimu asiligonge tu

    Yuko busy sana kutengeneza Scenes mbalimbali za Movies zake zijazo ikiwemo ile Kubwa atakayoizindua Oktoba au Novemba.
  14. issac77

    JamiiForums Tanzania Wakuu mwenye uelewa na hii fursa nasikia mwisho Feb 28 mwezi huu watu wanakuwa matrilionea

    Ilianza Bitcoin enzi hizo sarafu po chini sana watu na fursa wakaruka nayo... Sasa hivi sarafu haishikiki walioiwahi enzi hizo wanakula kuku kwa mrija. Ikaja binance nakumbuka 2017 late yake ilikuwa 0.007 kwa coin kwa sasa ipo 500+ usd KWa sasa naona watu wanatamba na hii #pai, na ni kitu...
  15. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania Naomba kuijua biashara mtandaoni ya Gwac, nasikia watu wengi wamejiunga

    Habari za Leo? Jamani, nimeshirikishwa fursa na mtu mmoja, anasema, Kuna biashara mtandao inaitwa Governmentwide Acquisition Contract (GWAC). Watu wanawekeza pesa na ukishawekeza baada ya siku moja, unaanza kurudishiwa asilimia 10 ya pesa uliyowekeza kila siku mfululizo kwa mwaka mzima...
  16. Mdakuzi

    JamiiForums Tanzania CAF yazuia Mashabiki Sfaxien Kwenye Mechi dhidi ya Simba

    Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetoa adhabu kwa klabu ya soka ya Sfaxien kufuatia vurugu zilizoibuka baada ya mchezo dhidi ya Simba. Pia, wameadhibiwa kwa kitendo cha mashabiki wao kutupa mafataki uwanjani kwenye mchezo dhidi ya Cs Constantine. Hivyo, watacheza mechi mbili za nyumbani bila...
  17. Tuagize

    JamiiForums Tanzania Nikinywa Pombe nasikia Raha

    Wandugu maisha ya pombe ni mazuri sana yani ukiwa na stress ukinywa tu kila kitu kinakaa poa sana yani unasahau kila kitu ***** binafsi nikilewa nasikia burudani sana ila zingatio usinywe kupita kiasi kunywa kidogo tu kama mimi 😁
  18. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Nasikia eti pesa zikija zinatafunwa na makamanda wa juu tu ila huku chini hazifiki ndiyo maana kelele nyingi

    Ndiyo nipo kwenye vijiwe vya kahawa ndiyo habari kubwa ni hiyo ya makamanda wanalalamika eti pesa zinaliwa na wachache tu huku juu tu ila makamanda wa chini hawaambulii hata thumni ndiyo maana chama kinalega lega na kuleta migogoro ya mara kwa mara kabisa! Mmmmh ngoja tuone linaishaje hili saga...
  19. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Waislamu mnakatazwa kuhudhuria mazishi ya kikristo?

    Nimemsikia sheeee uko tik tok kuwa muislamu anapo hudhuria ibada ya mazishi ya kikristo wakati yeye muislamu anakuwa amekiukya taratibu za kiislamu
  20. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Huyu Mussa Magege anayewania ubunge Chato ataweza kupambana na miamba kama Kalemani au Katwale na wenzake? Nasikia anajipigia chapuo chinichini.

    Nasikia mpaka sasa anapiga jalamba chinichini. Ametoa gari mbili ili kusaidia watu wakifiwa kusafirisha maiti toka Hospitali ya wilaya kwenda kuzika makwao kamba wakifiwa .Moja ni Hilux Nyeusi. Je ataweza huu mkikikimkiki? Maana nasikia Kalemani, Katwale, Sende na Wababe wa Chato wapo kwenye...
Back
Top Bottom