Wanazuia nn sasaMaeneo mengi yenye pilikapilika Kuna either Polisi au JW.
Wako tayari kufa au kuuaWanazuia nn sasa
EboooWako tayari kufa au kuua
Labda mikoani huko Dar na Mwanza maeneo yenye pilikapilika yanalindwa naMaeneo mengi yenye pilikapilika Kuna either Polisi au JW.
Wanaotaka kuandamana bila siraha Siku zao zimefikaEbooo
Barabara ya Bandari ndiyo barabara gani?Nasikia barabara ya bandari dar imefungwa mlioko dar tuambieni kwanini?
Halafu waliovalia sare za Jeshi la wanachi wakilinda vituoni vya mabasi ni wanajeshi kweli au kuna watu tu wamejishonea sare maana ni mpya zile.
Unaniuliza mie wa mkoani ya hukoBarabara ya Bandari ndiyo barabara gani?
Jina la hiyo barabara inaitwaje?
Nadhani anamaanisha kilwa road, mkuuBarabara ya Bandari ndiyo barabara gani?
Jina la hiyo barabara inaitwaje?
Bandari road inaanzia mataa ya uhasibu hadi bendera tatu(junction ya kilwa road na bandari)Barabara ya Bandari ndiyo barabara gani?
Jina la hiyo barabara inaitwaje?
Kilwa road si bandari road. Bandari road ni kuanzia uhasibu hadi bendera tatu(ilipo junction ya kilwa road na bandari)Nadhani anamaanisha kilwa road, mkuu
Ok sawaKilwa road si bandari road. Bandari road ni kuanzia uhasibu hadi bendera tatu(ilipo junction ya kilwa road na bandari)
OoohWale vijana wa TIK TOK wamempigia simu boss mkuu wa DP WORLD na kumtishia .
Kuna vijana anaitwa HABIL ni MTU hatari sana sijui namba kapata wapi