Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,703
- 49,707
Nikimwona mwanamke ana kipini puani naona kama kamfugo fulani hivi
Wanawake punguzeni maurembo.
Mara vikuku, huku kope za paka, mara uso unapakwa madudu mpaka unashindwa kujua huyu ni maiti au mzima
Wanawake punguzeni maurembo.
Mara vikuku, huku kope za paka, mara uso unapakwa madudu mpaka unashindwa kujua huyu ni maiti au mzima