Nashindwa kujielewa hii ni hali gani?

Ahahaha hiyo kitaalamuuu
Umewahi kujihusisha n mpenzi!?
Uliwah kuumizwa au!?
Naona Kama depression hio
 
Mara nyingi ninapendelea kuwa peke yangu, ninakumbula mno mambo na maeneo niliyowahi kutembelea zamani, marafiki wa zamani, maisha ya utoto na michezo yote. Naumia na hulia sana nikikumbuka, havikuwa vitu vibaya ila najikuta nalia tu!

Muda mwingine ninapokula chakula nafikiria wengi wanaolala njaa ikiwemo watoto wadogo, hulia sana na chakula hakipiti, najikuta naacha kula na kulala.

Sina chochote kinachoweza kunipa faraja na raha, nipo mpweke na sijui chanzo chake, napenda kuwahudumia wanyama, na kuwatunza. Nina huruma na wanyama mno.

Kuna muda ninapokuwa peke yangu najikuta nakumbuka matukio ya zamani sana na huishia kulia tu, hata sijui ni nini hiki kinanipata. Sipendi kuongea ongea, wala kuchangamana na watu, n.k.

Jamani nishaurini ninapitia kipindi kigumu!

NB: Nina miaka 24, nasoma.
Utoto ukikuisha utaacha kulia, hito hali sio mbaya ni nzuri sana kwa vile umeshaanza kujitambua wewe ni nani!
Origin yetu sio hapa duniani, unamambo ya kiroho rohho ndo hayo
 
Mara nyingi ninapendelea kuwa peke yangu, ninakumbula mno mambo na maeneo niliyowahi kutembelea zamani, marafiki wa zamani, maisha ya utoto na michezo yote. Naumia na hulia sana nikikumbuka, havikuwa vitu vibaya ila najikuta nalia tu!

Muda mwingine ninapokula chakula nafikiria wengi wanaolala njaa ikiwemo watoto wadogo, hulia sana na chakula hakipiti, najikuta naacha kula na kulala.

Sina chochote kinachoweza kunipa faraja na raha, nipo mpweke na sijui chanzo chake, napenda kuwahudumia wanyama, na kuwatunza. Nina huruma na wanyama mno.

Kuna muda ninapokuwa peke yangu najikuta nakumbuka matukio ya zamani sana na huishia kulia tu, hata sijui ni nini hiki kinanipata. Sipendi kuongea ongea, wala kuchangamana na watu, n.k.

Jamani nishaurini ninapitia kipindi kigumu!

NB: Nina miaka 24, nasoma.
Hii ni dalili ya kufa aisee,omba sana na shirikiana na jamii yako kuendesha maisha,hudhuria ibada,jiunge na vikundi vya jogging au kwaya (Kama ni mkristo) shiriki shughuli za kijamii kwa kujilazimisha utakaa sawa!

Ukibaki na hiyo hali kwa hakika tutakupoteza siku si nyingi...pole sana
 
Daah aisee pole mkuu, sasa kwa hali hiyo ujaishije na mpenzi wako, ndgu zako, kazini??
 
Kivipi? Nakosa raha!
Kuna powers zinakuijia, endelea kuji isolate ni jambo zuri, hapo unapambana na left brain (mind) versus right brain ( spirit)

Left brain inakuambia hicho unachokiwaza sio sahihi ( kupenda ni jambo positive) hivyo mind hiyo inakukosesha raha, hebu jiulize umeharibu nini, kwani kujitenga na kuwa alone ni kubaya? Achana na mind na ukiomba ushauri sana utapotezwa utaambiwa nenda kwa Yesu ukaharibiwe akili kabisa.

Hapo right brain inataka kufanya mawasiliano na cosmic hivyo be at silent maana ndo nature yako, hiyo hali kila mtu anayo ila inategemea umeizima au uiruhusu iwake.
 
Mara nyingi ninapendelea kuwa peke yangu, ninakumbula mno mambo na maeneo niliyowahi kutembelea zamani, marafiki wa zamani, maisha ya utoto na michezo yote. Naumia na hulia sana nikikumbuka, havikuwa vitu vibaya ila najikuta nalia tu!

Muda mwingine ninapokula chakula nafikiria wengi wanaolala njaa ikiwemo watoto wadogo, hulia sana na chakula hakipiti, najikuta naacha kula na kulala.

Sina chochote kinachoweza kunipa faraja na raha, nipo mpweke na sijui chanzo chake, napenda kuwahudumia wanyama, na kuwatunza. Nina huruma na wanyama mno.

Kuna muda ninapokuwa peke yangu najikuta nakumbuka matukio ya zamani sana na huishia kulia tu, hata sijui ni nini hiki kinanipata. Sipendi kuongea ongea, wala kuchangamana na watu, n.k.

Jamani nishaurini ninapitia kipindi kigumu!

NB: Nina miaka 24, nasoma.
Mtaalamu naomba mrejesho kati ya haya 👇, afu nitachangia.

1. Una umri gani au unaangukia kundi gani hapo; a(14-20), b(21-25),c(26-30), d(31-35).?

2. Una elimu ngazi gani.?

3. Hao wanyama unawafuga mwenyewe au ukikutana tu na kiumbe roho ya uruma inakujia(utu) kiasi kwamba hata kufyeka jani/tawi la mti unalionea huruma!?, pia unaweza kushiliki kuchinja mnyama kama kitoweo.?

4. Unapatikana kanda zipi hapa tanzania.

5. Hari ya nyumbani ikoje (kawaida, full shangwe ama kuna manyanyaso.
 
Mtaalamu naomba mrejesho kati ya haya , afu nitachangia.

Nina miaka 23, nasoma degree!
 
Mara nyingi ni wale ninaokutana nao mitaani wasio na makazi, na hata ninaofuga mwenyewe pia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom