nape nnauye

Nape Nnauye
Nape Moses Nnauye is a Tanzanian politician presently serving as the Chama Cha Mapinduzi's Member of Parliament and for Mtama constituency since November 2015.

He was elected as a Member of Parliament for Mtama constituency in the October 2015 general election and was thereafter appointed by President John Magufuli as the Minister of Information, Culture, Artists and Sports in December 2015. He was relieved of his duty in a mini cabinet reshuffle by the president on 23 March 2017 and was replaced by Harrison Mwakyembe.

  1. JamiiForums Tanzania Huu ujumbe wa Nape Nnauye anamlenga nani?

    kwa upepo wa sasa wa siasa unavyoenda unahisi huu ujumbe wa Nape Nnauye unamlenga nani?
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini kila Nape Nnauye anapokuwa Waziri wa Habari ni lazima utokee mkanganyiko?

    Sheria karibu zote kandamizi za Habari na Wanahabari zilizopitishwa Awamu ya 5, zilipitishwa Nape akiwa Waziri wa Habari. Na sasa Nape huyu huyu ameingiza Tanzania kwenye orodha ya Nchi za Ajabu na zenye kutia aibu kwenye VPN, sasa swali letu ni hili, kwanini haya yanatokea pale yeye anapokuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Nape Nnauye kutaka Kwako Kura za 'Dijitali' Uchaguzi Mkuu 2025 kunaweza kukufanya Utumbuliwe muda si mrefu

    Ni wazi kuwa huenda nawe sasa umekichoka Chama chako cha CCM na sasa unataka kikae pembeni, kwani GENTAMYCINE nina uhakika endapo Kura za Uchaguzi Mkuu ujao (2025) zitapigwa 'Kidijitali' basi Saa 3 Asubuhi tu CCM itaanguka na Kizimkazi Paje Kisiwani Zanzibar itapata Mgeni wao wa Kudumu na...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Nape Nnauye aomba kura za chaguzi zipigwe Mitandaoni "Electronic Voting"

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema nia Serikali ni kuhakikisha inakamilisha mchakato ili ikiwezekana chaguzi zijazo zitumie teknolojia ikiwememo Mtu kupiga kura mtandaoni badala ya kupanga foleni na kusubiri muda wa kupiga kura ambapo amesema hilo...
  5. JamiiForums Tanzania Nape asema utakuwa mtu wa ajabu sana ukiamini kuwa CCM hutoa takwimu sahihi kwa umma

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ameibua mjadala kwenye mtandao wa X baada ya kusema kuwa amefanya kazi makao makuu ya CCM kwa takriban miaka 20, na mtanzania atakayepata takwimu zozote zinazokihusu chama hicho na akazimini atakuwa mtu wa ajabu. “Mpaka report...
  6. JamiiForums Tanzania Nape Nnauye, January Makamba na Ridhiwani Kikwete wasipotumbuliwa kura za CCM zitayeyuka Kanda ya Ziwa

    Wiki kadhaa zilizopita nilikuwa na mizunguko huko mikoa ya kanda ya ziwa, baada ya kudodosa mawili matatu toka kwa wahenga wa huko nikabaini hawa watu kuna jambo wanalo moyoni kuhusiana na mtoto wao. Kwakifupi sijui ni kwanini ila wengi wanawahusisha sana hao waheshimiwa hapo juu na kisa cha...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Nape, tusemeje ili uelewe kuwa mitandao kama Vodacom wanatuibia?

    Yaani asubuh nmetumiwa ujumbe nadaiwa 6070 ya songesha nimelipa 3000 Kati ya hiyo niliyoombewa Naambiwa nadaiwa 16000 na zaidi aise hawa jamaa ni wezi balaaa. MH Nape nipo tyr kukupa ushirikiano ili kukomesha wizi huu. Staki kuamini yakuwa upo nyuma ya wizi huu tafadhali jumbe zao.
  8. JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Hakuna Mtanzania amekamatwa kwa kukosoa Mkataba wa Bandari

    Waziri wa Nape Nnauye amesema kwamba hakuna Mtanzania yeyote aliyekamatwa ama anyeshikiliwa na Jeshi la Polisi kwa sababu tu ya kukosoa mkataba wa uwekezaji wa bandari kati ya serikali ya Tanzania na Dubai kama ambavyo imekuwa ikitajwa na mashirika ya Kitaifa na Kimataifa. Kauli hiyo ameitoa...
  9. JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Dkt. Slaa, Mdude na Wakili Mwabukusi wamekamatwa kwa kauli za Kutaka Serikali Ipinduliwe

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari amesema hayo kupitia chapisho aliloandika kupitia Mtandao wa X (Twitter). Nape amesema "Moja ya kauli za hivi majuzi zaidi kutoka kwa shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu limeamua kupotosha ukweli kwa nia mbaya kwa kudai...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye abadilishwe Wizara haraka sana

    Waziri Nape Nnauye anaongoza kampeni za kuua Mamlaka ya serikali Mtandaoni (E-GA). Syndicate inayoongozwa na Nape Nnauye imepanga kuitoa taasisi hii (E-GA) , toka utumishi iliyo chini ya ofisi ya Rais , na kuipeleka Wizara ya TEHAMA. Lengo lililonyuma ya uamuzi huu ni katili sana, Nape...
  11. JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Tukosoane kwa hoja na lugha za staha. Kutukanwa kwa mama mmoja ni kutukanwa kwa kina mama wote Tanzania

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknoloji ya Habari, Mhe. Nape Nnauye (Mb) amewataka watanzania kutotumia lugha za matusi kukosoa jitihada mbalimbali zinazofanywa nchini na Rais wa Serikali ya Awamu ya Sita, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Waziri Nape ameyasema hayo leo Julai 18 Mkoani Dar es Salaam...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Wazee wa Mtama wamgeuka Nape Nnauye. Kukutana 40 ya Membe kutoa laana!

    Wajumbe, hali ya siasa kwa Mbunge wa Mtama Nape Moses Nnauye inazidi kuwa mbaya kuelekea 2025 baada ya Wazee wa kabila la Wamwera kuafikiana kuwa kijana huyo hawezi tena kuwa chaguo lao na badala yake wanahitaji mtu kutoka katika familia ya Hayati Bernard Membe kama hatua ya kumuenzi...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Thomas Sankara The African Che Guevara

    Ndugu msomaji wa makala hii vuta kiti chako ujifunze kitu hapa ... Africa Ina MASHUJAA --- MFAHAMU MWANAMAPINDUZI HAYATI RAIS THOMAS SANKARA KUTOKA NCHINI BURKINAFASO Kama Kuna usemi umeshawahi kuusikia ya kwamba “wema hawafi” Basi usemi huo una ukweli ndani yake maana Mimi na wewe msomaji...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye jiandae kisaikolojia, Mtama wanataka Steve Membe kuwaongoza!

    Wana wema! Siasa za Lindi Jimbo la Mtama zimeanza kushika kasi ambapo harakati za kumtaka mdogo wake Hayati Bernard Membe, Steve Membe anatajwa kutakiwa kumrithi kaka yake jimbo la Mtama kama hatua ya kumuenzi huyo Mwamba wa Kusini. Jitihada hizo inadaiwa kufanywa vigogo wa chama huku majina...
  15. JamiiForums Tanzania Nape bwana! Muda wake mwingi kautumia kumsifia Rais

    Mjadala wa leo Bungeni ni mjadala muhimu sana kwa watanzania. Lengo mahsusi la mjadala wa leo ni wabumge kutoa elimu au kuwapa mwamga watanzania kuhusu malalamiko mengi ya wananchi kuhusu ubinafisishwaji wa bandari ya DSM Mh Nape mda wake wote, mwanzo mwisho kautumia kumsifia Rais badala ya...
  16. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli na Nape Nnauye walipoteza upendo wa Wananchi kwa Bunge lao

    Miaka ya 2010 hadi 2015 bunge la JMT lilikuwa ni kivutio cha wananchi kulitazama. Mara baada ya kuingia madarakani kwa utawala wa awamu ya tano wakalivuruga Bunge. Kitendo cha kufunga bunge lisionyeshwe live ilikuwa ni pigo kubwa na ugonjwa mkubwa uliowafanya wananchi kulipuuza hilo Bunge. Na...
  17. JamiiForums Tanzania Ndugu Nape, kwenye hili pia Mungu ameamua ugomvi?

    Mbunge wa jimbo la mtama ndugu Nape Nnauye aliwahi kusema kuwa kifo cha rais Magufuli ni Mungu ndiye aliye amua ugomvi, swali langu kwake je, kifo cha Membe ni Mungu pia ameamua ugomvi dhidi ya ndugu Cyprian? Fundisho: Tuchunge midomo yetu, tusiendeshwe na hisia zetu, tutumie akilizetu vyema ku...
  18. JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Hakuna kumung’unya maneno, hatuwezi kufungua mlango wa laana kuruhusu mapenzi ya jinsia moja

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema “Hakuna sababu ya kumung’unya maneno, hatuwezi kufungua mlango wa laana kuruhusu Ushoga, usagaji, mapenzi ya jinsia moja.”
  19. JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Nilikatazwa Kwenda kuchunguza Uvamizi Clouds, niliambiwa nitafukuzwa kazi

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye amesema wakati anaenda kufanya uchunguzi wa uvamizi uliofanywa Clouds na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda alizuiwa kwa kuambiwa kuwa atafukuzwa kazi kama ataenda kuchunguza tukio hilo. “Asubuhi yake nilizuiwa...
  20. JamiiForums Tanzania Nape, Marekebisho ya herufi yanaongezaje uhuru wa habari nchini?

    Nimemsikia Waziri Nape akisema serikali italinda uhuru wa kujieleza (Serikali italinda uhuru wa kujieleza). Maneno haya yametokana na serikali kuwasilisha Marekebisho ya Sheria ya Huduma za Habari tarehe 10 Februari 2023 bungeni Je, ni kweli yanalenga kuimarisha uhuru wa kujieleza nchini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…