nape nnauye

Nape Nnauye
Nape Moses Nnauye is a Tanzanian politician presently serving as the Chama Cha Mapinduzi's Member of Parliament and for Mtama constituency since November 2015.

He was elected as a Member of Parliament for Mtama constituency in the October 2015 general election and was thereafter appointed by President John Magufuli as the Minister of Information, Culture, Artists and Sports in December 2015. He was relieved of his duty in a mini cabinet reshuffle by the president on 23 March 2017 and was replaced by Harrison Mwakyembe.

Nape-Nnauye11.jpg
  1. GENTAMYCINE

    Kweli duniani wawili wawili, Nape ni kama kopi ya Mwanasiasa Profesa Mark Mwandosya

    Ila sishangai hata Mimi GENTAMYCINE Watu wengi wananiambia nafanana ile mbaya na Bondia Mkongwe Mike Tyson. Pia soma: Nape Nnauye: Nawapa pole na naomba radhi kwa kauli yangu ya ushindi nje ya boksi Nimetoka kuiangalia Clip ya Nape akiomba Radhi kwa Kauli yake ya Goli la Mkono na nikamuona...
  2. Pascal Mayalla

    PreGE2025 Kwa kauli ya Nape kuhusu chaguzi zetu, anastahili kulaumiwa au kupongezwa kwa kuusema ukweli?

    Wanabodi, Kama kawa kila nipatapo fursa, huja na kwa maslahi ya taifa. Nimenote Mhe. Nape, akilaumiwa, kushutumiwa na kulaaniwa kwa kauli yake kuhusu chaguzi zetu na ushindi wa nje ya box. Huu ni uzi wa pongezi kumtia moyo, asilaumiwe, kushutumiwa na kulaaniwa kwa kauli yake hiyo kwasababu...
  3. Heparin

    PreGE2025 Nape Nnauye: Nawapa pole na naomba radhi kwa kauli yangu ya ushindi nje ya boksi

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amewaomba radhi wananchi na wapenda demokrasia nchini kutokana na kauli aliyoitoa kuwa si lazima CCM ishinde kura kwenye boksi, bali kuna njia nyingine zikiwemo alizosema za haramu. Akizungumza kupitia video aliyorekodi, leo...
  4. Bila bila

    Rais anahimiza watu kujiandikisha na kujitokeza kupiga kura, Waziri anawaambia wanaojiandikisha kura zenu si kitu

    Ukisikia dharau, hii imepita kiwango cha kawaida cha dharau. Rais Samia na 4R zake Kila anakopita anahimiza Wananchi kujitokeza kuboresha Taarifa zao kwenye daftari la Wapiga Kura na àmbao hawana vitambulisha kutokana na umri au vimepotea wachukue vipya. Kisha anamalizia Kwa kuwataka wajitokeze...
  5. ubongokid

    Je, Nape Nnauye anapaswa kushtakiwa kwa kauli aliyotoa huko Bukoba?

    Kuna Video Ina Trend Mtandaoni ya Nape Nnauye akisema kwamba Yeye ni Mtaalamu na Mzoefu wa kuiba kura na kutangaza Matokeo ambayo sio halisi na kisha kuomba Msamaha kwa Mungu. Lengo la Uzi huu ni kufahamu Je kauli hiyo kweli imetolewa na Nape?Je aliitoa Bukoba?Je Ni kauli sahihi kutoka kwa...
  6. P

    PreGE2025 Nape Nnauye: Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na nani anatangaza, ili mradi ukimaliza unasema Mungu nisamehe!

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia na Teknolojia ya Habari Nape Moses Nnauye amewatoa wasiwasi wakazi wa Bukoba na wanachama wa CCM kuwa Mbunge wao Stephen Byabato atashinda uchaguzi ujao na hakuna mwingine. "Matokeo ya kura siyo lazima yawe yale ya kwenye box, inategemea nani...
  7. britanicca

    DOKEZO Nape, Makamba kuondolewa Baraza la Mawaziri

    Siyo kubet mkuu ! Subiria hata Mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yanakuja Baada ya ziara ya Kusini Katavi, Nape na Makamba wanatemwa Pia soma: Kuelekea 2025 - Nape Nnauye: Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na nani anatangaza, ili mradi ukimaliza unasema Mungu nisamehe! Kauli ya January...
  8. Mr Why

    Ushauri kwa Mh Nape Nnauye, Waziri wa Habari na Mawasiliano kuhusiana na Starlink

    Mh Nape Nnauye Waziri wa Habari na Mawasiliano vijana wengi tunakupenda sana kwasababu wewe ni msikivu sana. Kuna haja ya kuwakaribisha Starlink Tanzania kwasababu zifuatazo 1: Starlink wanatoa huduma nzuri lakini ni ghali sana kulinganisha na makampuni yetu ya simu hapa Tanzania kwahiyo wao...
  9. Fundi wa fundi

    Ukosefu wa mtandao wa mawasiliano Umeme na Maji

    Changamoto hii imekua khbwa sana katika Maeneo mengi ya vijijini kutokana na ukosefu wa elimu na ujasiri kwa wananchi haswa waishio vijijini hata pale wanapofika viongozi wa kitaifa kwa kua huogopa kuchukuliwa hatua na viongozi wa ngazi ya mtaa na vijiji
  10. Roving Journalist

    Nape: Tumewaagiza TCRA wachunguze wale wanaodhalilisha watu waliowakopesha Mtandaoni

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Moses Nnauye amesema Serikali imetoa maeleko kwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuwafuatilia na kuchunguza Watu wanaotumia taarifa za waliowakopesha Mtandaoni kwa lengo la kudhalilisha wakopaji. Amesema maelekezo hayo pia...
  11. Cute Wife

    Akaunti ya TCRA imeondolewa X (Twitter), kuna nini?

    Wakuu salam, Kama utakuwa mtembeleaji wa mtandao wa X utakuwa umeona hili. Accout ya TCRA imeondolewa X, na pia TCRA imeondoa X kwenye list ya matandao ambayo wanapatika! Je, nini kimetokea? Anko Elon atakuwa amewatimua baada ya sekeseke la kutaka kutufungia X? Au sababu wamegoma kuruhusu...
  12. Mr Why

    Ushauri kwa Nape Nnauye, Mtandao wa X haupaswi kufungiwa kwa sababu zifuatazo

    Mtandao wa X haupaswi kufungiwa kama Watanzania wanavyodai hii ni kwasababu zifuatazo 1:Mtandao wa X unatumia teknolojia ya Algorithm inamaana kwamba mtumiaji hawezi kuona maudhui ambayo hayafuati yeye au hayatazami au kuyatafuta yeye ndani ya mtandao huu ndio maana yapo makampuni, taasisi na...
  13. S

    Enyi TCRA, siyo kosa kwa Nape kutukana mitandaoni?

    Hii ni post ya ya mhe Nape ya 23 May 2024 akimrushia tusi mwananchi. Waziri Nape anamdhalilisha sana mhe rais kwa tabia yake ya kutukana watu mitandaoni. Yeye kama waziri wa Habari na Mawasiliano alipaswa kuwa mfano mwema wa matumizi mazuri na salama ya mitandao. Lkn Nape mara nyingi amekuwa...
  14. Mr Why

    Ushauri kwa Waziri Nape: Mitandao ya ngono ifunguliwe mkazo uwekwe kwenye sheria ya faragha

    Mh Nape Nnauye Watanzania wako wana uelewa mkubwa sana kuhusiana na maswala yote ya faragha, ndio maana hakuna Kibandaumiza chochote kinachoonesha video za ngono na wala hakuna sehemu yeyote ya makutano au hadhara inayoonesha video za ngono katika nchi hii Video za ngono huwa zinatizamwa...
  15. JanguKamaJangu

    Wizara ya Habari kuomba fedha pungufu ya Bajeti iliyopita inamaanisha Serikali haiwekezi katika Ulimwengu wa Kidigitali?

    Kabla ya kusoma maoni yangu tazama hizi takwimu na maelezo ya Bajeti ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari: BAJETI YA MWAKA WA FEDHA 2023/24 Katika Mwaka wa Fedha 2023/24 Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari iliidhinishiwa kutumia kiasi cha Shilingi bilioni...
  16. Cute Wife

    Waziri Nape aishukuru mchango wa JamiiForums kwa kuendelea kuhabarisha umma

    Waziri Nape ameyasema hayo leo Bungeni wakati akiwasilisha makadirio ya bajeti ya wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari tarehe 16/5/2024. "Napenda kuvishukuru vyombo vya habari vyote pamoja na jumuiya zao ikemo MOAT, TAMWA, MCT, UTPC, MISA-TAN, TADIO, TMF, TEF, JOWUTA...
  17. Cute Wife

    Waziri Nape kwanini husemi ni vigezo gani ambavyo Starlink hawajatimiza? Au wamegoma sharti la kuzima mtandao muda wowote mkiamua?

    Akiwa anahojiwa kutoka katika televisheni ya Wasafi (Wasafi TV) Waziri Nape amesema kuwa serikali haina matatizo na Starlink, kinachofanya washindwe kutoa huduma zao nchini ni sababu hawajakamilisha masharti, na kama wakikamilisha basi wataruhusiwa kutoa huduma nchini. Msikilize hapa ====...
  18. Replica

    Nape Nnauye: Bajeti inatupeleka Tanzania ya Kidijitali. Hadi barua za watendaji mtaa kuhamia 'online'

    Waziri Nape ametoa dondoo za bajeti yake anayotarajia kuisoma kesho ikiwemo Taifa kuhamia dijitali. Nape amesema kutakuwa na kitambulisho kimoja na kila kitu kitaunganishwa humo na watu wataacha kuhangaika kutafuta huduma kwani kila kitu kitaletwa 'Online'. Waziri Nape Nnauye: Bajeti inaenda...
  19. Replica

    Nape Nnauye: Tanzania kuwa na Satelaiti yake kama backup ya internet, Mkongo uliokatika kuchukua siku 7 zaidi kutengamaa

    Akiwa kwenye kipindi cha Power Breakfast cha Clouds FM leo May 15, Waziri wa teknolojia na habari, Nape Nnauye ameongelea changamoto ya Internet nchini na mipango ya kuliepuka janga kama hili siku za baadae. Kuhusu mkongo uliokatika amesema bado una siku si chini ya saba mbele ili kutengemaa...
  20. BARD AI

    Teknolojia ya Intaneti yenye Kasi ya 6G yaingia nchini

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema huduma ya Intaneti yenye kasi ya 6G imeingia rasmi nchini Tanzania
Back
Top Bottom