Wanabodi nilikuwa napitapita huko mitandaoni nikaona Toyota wameachia rasmi chuma yao mbabe wa offroad na mshindani wa Hummer Toyota 2026 Mini Land Cruiser FJ,
Hii chuma bwana ni chotara yenye urithi wa Land Cruiser na teknolojia ya kisasa...ukipata hii ni sawa na kupata Cruiser tu, mwana...
Ni mimi pekee naona au ni kama miaka miwili hivi mfululizo huduma za mitandao zimekuwa mbovu, sio internet, sio calls.
Au ni haka kasmart kitoch kangu ndio jau?😁
Wanajitahidi sana katika utulivu wa dunia angalau,
Simaanishi wao ni perfect ila anagalau kwa miendendo yao usalama na haki zinafanyika duniani
ebu jaribu kufikiria dunia ilio chini ya urusi, uchina, uturuki, qatar na iran🤢🤮
Natokea Arusha,Kahawa ni zao kubwa la biashara. Sababu nimekulia Dar,mwaka juzi kwa kuchoshwa na kunywa kahawa mbovu na chini ya kiwango nikaamua niwe naagiza green beans kutoka Arusha,nakaanga mwenyewe na kutumia pamoja na kugawa kwa familia.. kipindi hiko nafanya kazi sehemu kwahiyo...
😄 Hivi mkuu wa kikosi kazi wa kujilimbikizia mali unataka kuwajibisha wanao jilimbikizia mali.
Wote mnafaidi sasa ulitaka nani kutofaidi hii keki.
Waziri mkuu hapa umechemka kama kuku wa kwenu kupikia mchemsho.
Mara ya kwanza niliona M23 ni wabaya na kumchukia PK, ila baada ya yaliotokea october 29 pale Malawi na yanayoendelea kutokea, nachelea kusema waasi wa M23 ni wazalendo kwel na PK ni Pan Africanist wa mifano ya Thomas Sankara.
Si ajabu wale mboga mboga wanamchukia sana maana anawafungua...
Jana katika harakati zingine za kuharibu taswira ya Tanzania tulishindwa kwa sababu tulikua disorganised sana. Nakupenda na kusababisha aibu tuliyoipata naweza kukiri kuwa tulikurupuka sana kwa sababu viongozi wetu waligawanyika kwa kiasi kikubwa kwa sababu ya maslahi yaliyotoka kwa mabeberu. We...
Guys
Sifa ya kiongozi wa nchi ni kuwaunganisha wananchi wote pamoja bila kujal dini zao, kabila, rangi wala vimo vyao
Ila kwa kiongozi wetu naona washauri wamemwambia wakatoliki hawakupendi na yeye amejaa kwenye mfumo sasa ameanza kuligawa taifa kidini, ukitaka kuamini hilo pitia comment nyingi...
Huu ndio ukweli na hata wao wanaujia, ila tu wameshindwa kupambana na roho za ubinafsi na tamaa ya madaraka.
Yaani kwa sasa hata kumita mtu sijui Mheshimiwa Raisi, Makamu wa Raisi, Waziri Mkuu au sijui waziri fulani, mbunge au diwani fulani, unaona kabisa unakosea na hustahili kumuita...
Mambo yameanza kuchangamka!
Damu ya Polepole imeanza kuwalilia, sasa hivihivi mnajing'ata ndimi mnajikuta mnalitaja jina lake. Wakati ukifika mtatueleza tu mlimuweka wapi Polepole na mlifanya nini na mtajibia hiyo hukumu
Poleni sana ndugu zangu nimepata maono jinsi mioyo yenu ilivyo shuka mood kwa sasa kazeni roho ndugu zangu
1.jipende nunua nguo nzuri
2.kula vizuri
3.acha kabisa kuyatazama content za ngono ambazo kwa sasa ndo zimezidi katika mitandao ya kijamii
4.fanya mazoezi kila siku kama kukimbia jioni...
Wakati wa uchaguzi mkuu mambo makubwa mabaya yalifanyika dhidi ya waandamanaji waliokuwa wanadai Haki siku ya tarehe 29.10.2025 hadi tarehe 04.11.2025 nchi iliingia gizani huku raia wake wakisulubiwa ipasavyo waliokuwa wakidai haki neno ( shoot to kill) lilikuwa nineno rahisi dhidi ya watawala...
Yani kuna watu kukaza hawawezi yani yapo yapo tu kama mafala.
Ndio maana wasanii wanajiona miungu watu maana mmezidi kuwashobokea .
Kuna kampeni ilipita tena ilienda vizuri na ikaanza kuonesha muitikio chanya , kampeni hiyo ilihusu kwanza kuwa unfollow wasanii na machawa wote wa CCM , kuto...
Kuna kikundi unaweza kusema kina watu wengi ila kinawatu wachache sana ambao ukitaka kujua wanshindwa kurudisha majibu pale ukiwajibu hakuna respond kukuonesha huyu account ni mtumiaji .
Hii inafanywa kwenye mitandao ya kijamii pale watawalawa wachafu utashangaa wakikanusha unaona like nyingi...
Kwa uzoefu wangu wa humu jamvini na namna nilivyoshuhudia comments za wengi wetu humu jamvini ni kama vile Mzee Mwanakijiji aliaminishwa kuwa this time vurugu za uchaguzi zingepelekea kufutwa kwa uchaguzi au kuangushwa kwa Serikali.
Hili limenishangaza sana kwa mkongwe huyu anayejali hoja na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.