secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,554
- 49,975
Anakosaje penalty?
Hii ni mbaya!
Hii ni mbaya!
Na hatatoka. Mtasubiri sana!Akose tu, watoke.. kelele zipungue.. maana mlikosa adabu kumcheka goat muhenga (CR7) Bora watoke wote tubaki na goat chipukizi (Kylin Mbappe
Nitaumia sana!Kutolewa na Egyptni aibu kinoma.
Ila watabeba hivyo hivyo na kwisha kwao.Huu mwaka Argentina imeisha duh
Mpira ni upuuzi wa hali ya juu, hapo huyo jamaa kapanic kabisa huenda anataka kurusha ngumi.Tupo nao hapa
Nimefurahi kuona Messi na timu yake wamefuzu.Huu uzi una exist tu?
Ombi la fukara.Akose tu, watoke.. kelele zipungue.. maana mlikosa adabu kumcheka goat muhenga (CR7) Bora watoke wote tubaki na goat chipukizi (Kylin Mbappe
Tupe matokeoHuu mwaka Argentina imeisha duh
Mbape siyo goat ni goti kama goti lako sema dembelèéééAkose tu, watoke.. kelele zipungue.. maana mlikosa adabu kumcheka goat muhenga (CR7) Bora watoke wote tubaki na goat chipukizi (Kylin Mbappe