naona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Waliotangazwa washindi kwenye kilichoitwa uchunguzi mkuu wa 2025, naona ni watu wasio na furaha na wanajihisi kukosa political legitimacy

    Huu ndio ukweli na hata wao wanaujia, ila tu wameshindwa kupambana na roho za ubinafsi na tamaa ya madaraka. Yaani kwa sasa hata kumita mtu sijui Mheshimiwa Raisi, Makamu wa Raisi, Waziri Mkuu au sijui waziri fulani, mbunge au diwani fulani, unaona kabisa unakosea na hustahili kumuita...
  2. Genius Man

    JamiiForums Tanzania CCM kifo cha mende naona nchi imechangamka sana utazani haikuwa na msiba mzito week kadhaa zilizopita

    CCM kifo cha mende naona nchi imechangamka sana utazani haikuwa na msiba mzito week kadhaa zilizopita. #D9 kitawaka sana gen z wanahasira.
  3. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Naona damu ya Polepole imeanza kuwalilia, na itawatesa sana hamtakaa mpate raha

    Mambo yameanza kuchangamka! Damu ya Polepole imeanza kuwalilia, sasa hivihivi mnajing'ata ndimi mnajikuta mnalitaja jina lake. Wakati ukifika mtatueleza tu mlimuweka wapi Polepole na mlifanya nini na mtajibia hiyo hukumu
  4. Desierto

    JamiiForums Tanzania nyinyi si mnasema ni vyombo vikubwa vya habari tz aibu naona mm

    oneni sasa wananchi wameamua kupuuza habari zenu hawatoi hata maoni
  5. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi kwa sasa hawana furaha kabisa naona magonjwa ya pressure yakiwanyemelea

    Poleni sana ndugu zangu nimepata maono jinsi mioyo yenu ilivyo shuka mood kwa sasa kazeni roho ndugu zangu 1.jipende nunua nguo nzuri 2.kula vizuri 3.acha kabisa kuyatazama content za ngono ambazo kwa sasa ndo zimezidi katika mitandao ya kijamii 4.fanya mazoezi kila siku kama kukimbia jioni...
  6. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Yale matamko ya IGP Wambura naona sasa hivi kapoa kama uji uliochemshwa kuelekea tarehe 09.12.2025

    Wakati wa uchaguzi mkuu mambo makubwa mabaya yalifanyika dhidi ya waandamanaji waliokuwa wanadai Haki siku ya tarehe 29.10.2025 hadi tarehe 04.11.2025 nchi iliingia gizani huku raia wake wakisulubiwa ipasavyo waliokuwa wakidai haki neno ( shoot to kill) lilikuwa nineno rahisi dhidi ya watawala...
  7. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Kuna kundi kubwa la Watanzania hawajielewi, naona wameanza kuwashobokea wasanii tena

    Yani kuna watu kukaza hawawezi yani yapo yapo tu kama mafala. Ndio maana wasanii wanajiona miungu watu maana mmezidi kuwashobokea . Kuna kampeni ilipita tena ilienda vizuri na ikaanza kuonesha muitikio chanya , kampeni hiyo ilihusu kwanza kuwa unfollow wasanii na machawa wote wa CCM , kuto...
  8. Fbn

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa naona china ila kwa serilikari inwaweza kuwa watumizi wakubwa sijajua jina lake ila mikusanyiko ya siku kuwa wanakubari serikali sio kupinga.

    Kuna kikundi unaweza kusema kina watu wengi ila kinawatu wachache sana ambao ukitaka kujua wanshindwa kurudisha majibu pale ukiwajibu hakuna respond kukuonesha huyu account ni mtumiaji . Hii inafanywa kwenye mitandao ya kijamii pale watawalawa wachafu utashangaa wakikanusha unaona like nyingi...
  9. funaku

    JamiiForums Tanzania Mzee Mwanakijiji alitarajia makubwa yasiyowezekana naona amepaniki

    Kwa uzoefu wangu wa humu jamvini na namna nilivyoshuhudia comments za wengi wetu humu jamvini ni kama vile Mzee Mwanakijiji aliaminishwa kuwa this time vurugu za uchaguzi zingepelekea kufutwa kwa uchaguzi au kuangushwa kwa Serikali. Hili limenishangaza sana kwa mkongwe huyu anayejali hoja na...
  10. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Murilo anakaa wapi tukamsalimie? Tukivuka hapa akatafute nchi ye kwenda

    Murilo anakaa wapi tukasalimie tukivuka hapa akatafute nchi ye kwenda
  11. Idugunde

    JamiiForums Tanzania GE2025 Naona dalili ya watu wengi kutojitokeza kesho. Je, Mgombea asipopata 50% itakuwaje?

    Sheria mama ya taifa letu inasemaje? Sheria ya uchaguzi inasemaje? Maana kuna dalili ya 30% ya wapiga kura kujitokeza.
  12. Isenye

    JamiiForums Tanzania Naona aibu kuwaambia ndugu zangu kuwa nimepata mchumba kutoka kabila la warangi

    Habari zenu? Nina mchumba tuko nae kwenye mahusiano huu ni mwaka wa nne. Sasa imefikia wakti wa kwenda kumtambulisha kwa wazee home ila naona aibu kumtambulisha kwa ndugu na jamaa zangu sababu ya historia ya hilo kabila kuwa mbaya kwenye mahusiano. Je wakuu nitumie mbinu gani kumtambulisha ili...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Baada ya Wenje, naona wameisha, Bado Mbowe sasa. Au mnasemaje kuna " vigogo" bado Chadema watahama?

    Bado Mbowewe. Namshauri Mbowewe asifanye hivyo. Bado akitubu na kumrudia Mungu anaweza akawa na mawazo chanya. Najua haitajiki na walio wengi, but time heals! Akienda CCM ni uchuro! Ya Chauma yameisha....DEAD ALREADY
  14. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Tarehe 17 kunani kwani, naona Giza siku hiyo

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Giza kubwa sana siku hiyo SAYUNI BOY
  15. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania TFF naona mmesahau kumchunguza mchezaji huyu dume linalojifanya jike kwanini??

    Nawasilisha
  16. The Father of All

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwenye kampeni za sasa naona sura siyo sera

    Ukiwasikiliza wagombea wetu hasa wa urais ambao ni wa chama kimoja japo wanajionyesha kama wanapingana wakati lao moja, huoni sera zaidi ya sura. Wakiahidi, unashindwa kuelewa kama ni nani kati ya mataahira kati yao na wapiga kura. Mgombea wa urais anakwambia nitafanya hili au lile bila...
  17. kyagata

    JamiiForums Tanzania Kuna walimu naona wanapiga vyombo sana hapa bar,vipi mambo tayari?

    Samahani naomba kuwauliza,hivi mshahara wa watumishi wa umma umetoka? Maana kuna walimu nawaona hapa bar ya jirani na kwangu wanapombeka sio poa
  18. D

    JamiiForums Tanzania Naona Trump anaigeuza Marekani kuwa kama Ujerumani enzi za Hitler

    Siasa za Marekani zimegeuka na kuwa kama za Afrika ndani ya muda mfupi. Bw. Trump kila ambaye anapingana naye basi anakuwa mbaya na waliomzunguka sharti kumsifia tu kama machawa. Siasa zimekuwa ni kuwatuhumu Demos ambao wengi wanakuwa referred kama the lefts na kila baya anawatuhumu wao Zamani...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Binafsi naona CRDB ndio inaanza kufa kidogo kidogo

    Huu ni mtazamo wangu: Kama ambavyo kiongozi wa nchi akifariki, wahusika huhitaji kujipanga kabla ya kutoa tamko kwa umma sababu ikiwa ni kuweka mambo sawa kabla ya kutangaza kifo cha Rais. Kwa msingi huo, hata taasisi Kama benki ambayo watu wengi wametunza fedha zao, inapokumbwa na tishio...
  20. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kampeni Halisi za Uchaguzi 2025 zitaanza lini? Maana naona kama bado vyama vinatest Mitambo

    Natamani sana sasa CCM tuanze Rasmi Kampeni. Maana naona bado tunatest mitambo. Kumepoa sana huko Tanzania na kwenye mitandao. Chauma wametulia nadhani wanajipanga namna ya kuanza Kampeni maana nao ni muda sana toka kipindi kile wanazunguka zunguka kutafuta wanachama. ACT Zitto Kabwela...
Back
Top Bottom