naombeni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Naombeni msaada jinsi ya kufungua simu bila kureset, nimesahau pattern (aina ya simu ni lg velvet 5g

    Kama inavyojieleza hapo juu simu yangu nimesahau pattern na sitaki kufuta vitu vilivyomo, msaada kama naweza kuifungua
  2. S

    Naombeni mbinu za kuushinda umaskini

    Wadau wa jamiiforums habari? Kàma kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu, Kama ni kupambana nimejitahidi sana ili kuondokana na umaskini lakini hali bado tete. Naombeni mnipe tips za kushinda hii hali inayokera. Maana kuna mda nashindwa ku-offer chochote kwa familia. Umaskini unakera.
  3. Kazanazo

    Kwa mnaohusika na kubomoa magorofa kariakoo naombeni connection ya vifaa jenzi used

    Habari zenu wanajamvi, kama nilivosema Nahitaji vifaa jenzi used lakini vilivyo katika hali nzuri kama vile bati za migongo mipana, nondo ml.12, gypsum, tofali n.k Kwa bomoa bomoa inayoendelea kariakoo vitu hivyo vinaweza kupatikana kwa bei rahisi naomba mwenye connection ani-pm au aweke hapa...
  4. U

    Naombeni sapoti yenu, nimefungua Pub yangu Kinyerezi

    Naombeni sapoti yenu. Nimefungua Pub yangu Kinyerezi Mahakamani (Mnadani) inaitwa Run way pub. Asanteni Pia karibuni sana.
  5. Mstaarabu Tz

    Nifanye nini nipate mafao yangu baada ya mwajiri kutonipa barua ya kusitisha ajira yangu?

    Habari zenu ndugu watanzania!!!! Naandika uzi huu kuomba ushauri ili mwanga wa nini cha kufanya ili niweze pata mafao ya kutokuwa na kazi NSSF. Kwanza kabisa mimi ni mkazi wa mkoa wa Mtwara wilaya ya Masasi, mwaka 2022 Septemba katika harakati za kusaka kazi, nlibahatika kupata kazi kwenye...
  6. B

    Naombeni msaada wa kuifahamu kikosa morogoro kiundani

    Nina kusudi la kuenda kilosa kutafuta maisha,naombeni msaada wa wapi pakuanzia. Kodi ya chumba ni bei ghani kule?? Watu wanaopatikana huko ni wanaroho nzuri au hawataki wageni?? Utafutaji wa kule ni wa aina gani'je biashara na kilimo zinalipa kwa huko?? Nina mpango wa kwenda kuishi mvumi kilosa...
  7. ndege JOHN

    Natamani kufuga kobe na tausi nitawapata wapi naombeni mwongozo.

    Nataka niweke hao wanyama nyumbani kwangu kuna mtu akaniambia tausi wapo ikulu na labda wanaopewa ni viongozi wakiomba.Nani anajua wapi nitawapata tausi kuhusu kobe nashangaa wameadimika sana mashambani ila nina imani nikitoa offer atafutwe lazima atapatikana.tausi nampataje na bei zake zipoje...
  8. ndege JOHN

    Natamani kufuga kobe na tausi nitawapata wapi naombeni mwongozo.

    Nataka niweke hao wanyama nyumbani kwangu kuna mtu akaniambia tausi wapo ikulu na labda wanaopewa ni viongozi wakiomba.Nani anajua wapi nitawapa tausi kuhusu kobe nashangaa wameadimika sana mashambani ila nina imani nikitoa offer atafutwe lazima atapatikana.tausi nampataje na bei zake zipoje wakuu.
  9. Fazzah5x

    Naombeni kazi napatikana Dar

    Jamani niko Dar hapa naombeni please nisaidieni conection ya kazi please 0625544723
  10. Endasak Masqaroda

    Nataka kwenda Kiteto, nipo Gairo naombeni ABC za safari na mji ulivyo

    Wakuu habari za jioni. Nipo Gairo, nna safari ya kwenda Kiteto naombeni ushauri wa masuala muhimu. 1. Namna ya kufika huko toka hapa nilipo. 2. Gharama za kulala lodge na lodge nzuri na huduma zake. 3. Hali ya hewa na tahadhari za kuchukua mwanzo wa safari hadi mwisho. 4. Any other...
  11. Ngengemkenilomolomo

    Naombeni msaada wa mawazo

    Wakuu Mimi ni mfanyakaz wa kampuni flan inajihusisha na maswala ya ujenzi Malipo yake sio mazuri sana lkn si haba unapata hela ya kula yn ni malipo ambayo huwez pata hela ya kufanya jambo kubwa sana sana utalipa kodi na kula Mwanzon mwa mwez wa nne nilipata dili ya mwezi mmoja tuu ambayo...
  12. Loading failed

    Naombeni hekima zenu; Natafuta mtoto na mke wangu hajafanikiwa kubeba ujauzito

    Ndugu wana Jf natumaini mko salama ndugu zangu. Ndugu zangu katika vipindi vilivyopita ijulikane nilikua natafuta mke na Mwenyezi Mungu amenijalia nimepata mke na nimeoa. Ndugu zangu mimi na huyu mke wangu tulikua tunatafuta mtoto katika siku zake tulizo amini ni siku za hatari ila cha ajabu...
  13. R

    Wenye uzoefu naombeni ushauri, kuhusu baba kaoa kule na mama kaolewa huko

    Wakuu Habari za weekend. Hivi unakuta Baba na mama walizaa ila kila mmoja akaenda na ndoa yake. Sasa kijana anataka kuoa, na yeye hajaishi kwa Mama yake wala kwa Baba yake. Kaishi na shangazi yake. Sasa anajiuliza kuhusu situation itakuwaje kuhusu mama yake kuudhulia kwenye shughuli kama...
  14. ndege JOHN

    Naombeni mnielekeze kuhusu bajia za kunde

    Jinsi ya kupika nimejaribu kuangalia youtube videos kuna kitu sijaelewa hivi zile kunde zenyewe unazisaga kwenye mashine ,unazikoboa au unazisaga kwenye breander?
  15. J

    Hivi unaweza kumvumilia mume wa hivi kweli?

    Yani mwanaume hakuhudumii kwa chochote na amekuoa hajui mnakula nini, kodi inalipwaje yaani hakuna lolote anafanya. Ukimwambia kuhusu kazi yeye haoni kama kuna kazi anaweza kufanya na sio kwamba labda amesoma ana vyeti ndani, yeye yupo yupo tu na pombe anakunywa shida haziishi kwake unaishia...
  16. kataza

    Naombeni ushauri nataka kufungua duka la dawa nina mtaji wa milion 10

    Mimi ni kijana wa miaka 30 nina elimu ya diploma ya clinical medicine nilimaliza chuo miaka 4 iliyopita.naomba kufahamishwa hasa namna rahisi ya kumudu biashara tajwa hapo juu. Siwezi kukaa mwenyewe kutokanq na majukumu yangu kwahiyo nimepangq nimuweke mtu kwa ajili ya kuuza. Naomba...
  17. Hammer11

    Je, ni sahihi kwangu kumuoa mwanamke huyu?

    Iko hivi mimi niko na mdada kwenye mahusiano ni mdogo tu ako na 21 saivi. Sasa kilichonileta ni kwamba huyu mdada kweli haniombi pesa na anakuja geto kwa wakati na tunafanya yetu vizuri sana. Sasa huyu mdada ana watoto wawili ambao amezaaa na jamaaa sasa huyu demu anapenda sana mimi na yeye...
  18. Shammy-

    Inachukua muda gani Mwanamke kufurahia mapenzi baada ya kutolewa bikira?

    Inachukua muda gani mwanamke kuenjoy tendo la ndoa baada ya kubikiriwa? Nilimsikia mwanamke mmoja akisema inachukua miaka 3- 5 Niliistaajabu!! Huyu mwanamke ni wakawaida au?
  19. Area 56

    Naombeni mnijuze kuhusu Samsung Galaxy A55

    Leo nimekuja kwenye jukwaa hili naomba kujuzwa kuhusu simu aina ya Samsung Galaxy A55 Ubora wake upoje? Kwenye camera, battery, software updates nk Bei halisi nijiandae na sh ngapi? Mkitaja na maduka sio mbaya
  20. MKANDAHARI

    Naombeni msaada wa mawazo

    Amemaliza form 4 na kapasi vizuri tu ana one, ni Ke. Anataka kwenda diploma kwenye kozi ya sekta ya afya. Anaomba ushauri wa kozi gani nzuri kati ya hizi Ordinary Diploma in clinical medicine Ordinary Diploma in Pharmaceutical sciences Ordinary Diploma in medical laboratory sciences Ordinary...
Back
Top Bottom