naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwa wanaofahamu chochote kuhusu hii mashine naomba mnipe muongozo tafadhali

    Ni mashine ya kukaanga karanga. Nataka kuinunua hii kwa ajili ya biashara, natamani kujua ulaji wake wa gesi upoje, yaani kwa mfano mtungi mdogo wa kilo tano unaweza kukaanga karanga debe ngapi. Lakini pia natamani kufahamishwa nisiyo yafahamu kuhusu hii mashine.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Naomba Maiki ya kurekodia video Youtube

    Msaada tafadhali. Mwenye maiki ya kurekodia maudhui ya Youtube naomba anisaidie, nilinunua maiki ya K9 lakini haina sauti nzuri kabisa. Kama kuna mtu ana maiki naomba anisaidie. SINA HELA ZAIDI YA 20,000 tu ndio maana nimeomba mwenye nayo anisaidie. Asante na mbarikiwe sana.
  3. JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa uzi wa Mpwayungu ''Sitosahu Safari yangu ya Lindi''

    Wakuu ama mods naomba ule uzi wa Mpwayungu Village nina shida nao sana labda kama kuna link yake , asanteni
  4. JamiiForums Tanzania Naomba kujulishwa Bei ya mahindi ya popcorn kwa Dar es Salaam

    Wakuu nataka nijue bei ya mahindi ya popcorn kwa Daresslam, Bei ya kuanzia mfuko wa kilogram 20 na kuendelea. Nipo mtwara.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Msaada wa title ya computer science iwe ya web based , nimefikiria ila mambo magumu instructor anakaa zote

    Wadau naomba mnisaidie title ya computer science iwe ya web based nilizofikiria zote instructor amezikataaa
  6. JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa ku unlock router hii hapa chini

    Nimeambatanisha d details zote pichani.
  7. JamiiForums Tanzania Leo naomba kujuzwa kuhusu senene wa bukoba

    Naomba nielimishwe kuhusu senene wa bukoba. Je wanaharibika baada ya muda Gani? Na kwanini wapo bukoba ZAIDI kuliko maeneo mengine?
  8. JamiiForums Tanzania PICHA: TBL Naomba Ufafanuzi Kidogo

    TBL naomba Ufafanuzi wa hizi bia mbili hapo kwenye picha Moja imejaa mpaka juu na nyingine haijajaaa Na hata Lebo na vizibo ni tofauti Swali ni je kuna fake na original Kati ya hizi bia?
  9. K

    JamiiForums Tanzania Naomba nifundishwe namna ya kuingiza pesa nikiwa na akaunti ya TikTok

    Naomba msaada wenu namna ya Kupata pesa kutokana na kuwa na acc. Ya TikTok pia umuhimu wa live chat.
  10. JamiiForums Tanzania Naomba kusaidiwa kutoa matangazo kwenye hii simu app zina matangazo

    Naomba kusaidiwa kutoa matangazo kwenye hii simu app zina matangazo sana simu ni Samsung galaxy a05
  11. A

    JamiiForums Tanzania Naomba kuwajua awa wazee wahenga majina yao ni wakina nani??

  12. JamiiForums Tanzania Naomba mawazo/ Ushauri wa kitabibu.

    Wakuu habari za wakati huu Nina changamoto moja ya kiafya
  13. JamiiForums Tanzania Traffic usiku naomba mjilinde msiamini haya malori pls mtaisha

    Leoo nilikuwa nasubiria kaka na gari la kutoka Moshi Saakumi usiku..BAADA ya mda nkashangaa hapatikan Nkakaa mpaka saa mbili akanipigia aisee sorry ndio tunakuja tumepata ajali Hee kivipi mbona MASAA mengi akasema walikuwa wameshapita bagamoyo BAADA ya mda wakasimamishwa na traffic Traffic...
  14. JamiiForums Tanzania Msaada: Je, unaweza kupata nakala ya taarifa zako ulizojaza NIDA?

    Hivi inawezekana kizipata taarifa zako ulizozijaza kwenye NIDA? Mfano ulipozaliwa, Kata, Ulipojiandikisha n.k? Ni muhimu sana. NIDA Tanzania
  15. JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa ajira/kazi/kibarua

    Habari za wakati huu wanajukwaa!? Sidhani kama huu ni uziwangu wa kwanza jukwaani juu ya maombi ya kazi. Mimi ni kijana (ME 23) ninaishi Dar es salaam, nimetoka chuo mwakajana ila sikufanikiwa kumaliza (juu ya changamoto zilizonipata) hivyo mwakahuu mwezi wa 11 nitaenda kumalizia mtihani wangu...
  16. JamiiForums Tanzania Tafadhali naomba kama kuna yoyote ana Picha ya Rais Samia akienda 'Kuhani' Msiba wa Waziri wake Mchengerwa aniwekee hapa

    Nitashukuru mno kwani nimejaribu kwa Kuhangaika kuitafuta sijaiona hivyo pengine Lucas Mwashambwa au ChoiceVariable wanaweza kuwa nayo.
  17. JamiiForums Tanzania Habari za usiku ndugu zangu naomba ushauri

    Nina mtoto wa kike ana MWAKA na mwezi 1 alizaliwa akiwa na changamoto ya kulia sana Tulimuona Dr mara kadhaa Dr wengi hawakuona ugonjwa Ila baadae tuligundua ana TB ya mapafu alipata matibabu Ila bado afya yake bado imedhoofika sana tumempa kila aina ya lishe Ila bado uzito wake ni ule ule pia...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Wajuba Naomba mniambie hawa watu wapo au ni wapigaji

    Wataalam hebu niambieni hicho kitu kipo au Ndio namna nyingine ya utapeli? San Mushroom Farm was established in 2013 and is one of the leading agricultural technology companies in Tanzania. Millions of tons of crops, processed foods, and raw materials are distributed domestically and...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanaume wa kunioa

    Namuomba MUNGU Anipe mchumba na mimi ,Mimi mkristo mkatoliki mwanamke mvumilivu umri ni 29+, Libra, Sio mnene sana/Chaga Ni wa kawaida Sina Ugonjwa wowote Naomba kama kuna mwenye hitaji la mchumba tuchumbiane Akiwa Chaga inapendeza zaidi na hata wengine inaruhusiwa (hii ni kwa sabbu wengi...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Bile acid reflux inanisumbua

    Habari naomba kusaidiwa dawa ya kupona bile acid reflux, nilienda hospital baada ya kuwa nasumbuliwa sana na tumbo kuwaka moto kama naungua tumboni baada ya kipimo cha endoscopy shida ilionekana mlango wa chini wa tumbo upo wazi nyakati zote( sphincter pyloric) kwahiyo unaruhusu alkaline kutoka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…