naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Habari wakuu naomba kuuliza Kuna tofauti kati ya qfl na magodoro Dodoma

    Habari wakuu naomba kuuliza Kuna tofauti kati ya qfl na magodoro Dodoma Au hayo qfl ndio magodoro Dodoma Nahitaji kununua 5x6 my budget 300,000tzs Pia Ushauri wa godoro zuri kwa mwenye uzoefu inches 8 vs 10
  2. Habari wakuu naomba kuuliza Kuna tofauti kati ya qfl na magodoro Dodoma

    Habari wakuu naomba kuuliza Kuna tofauti kati ya qfl na magodoro Dodoma Au hayo qfl ndio magodoro Dodoma Nahitaji kununua 5x6 my budget 300,000tzs Pia Ushauri wa godoro zuri kwa mwenye uzoefu inches 8 vs 10
  3. U

    Naomba ushauri mwenzangu amekataa kabisa kushave maeneno nyeti adai it's against the tradition ,

    Wadau hamjamboni nyote? She has refused to shave her private areas,it's against her tradition. I don't like it at all This is so serious kindly advise
  4. J

    Jamani nimeyakoroga naomba ushauri

    Habari zenu wanajamii forums. Naomba ushauri kwenye hili. Nimekuwa kwenye ndowa miaka kumi na moja. Mimi nilichelewa kuowa sasa nina Miika 45 . Huyu mke wangu kusema kweli hakuwahi kunivitia kisura wala kimaumbile,. Ila kipindi naamuwa kuowa nilimuona ni mtu mpole asiye penda makuu. Na...
  5. Naomba mnifundishe kiswahili cha Kenya maana nateseka sana huku, natongoza nakataliwa

    Habari gani wana JF. Wakuu nawakaribisha wale wote wanaojua kiswahili cha Kenya hasa misamiati wanayotumia wanapoongea, misemo yao pamoja na ule mchanganyiko wao wa maneno ya kiingereza na kiswahili (code switching &code mixing). Nasema hivi kwa sababu sasa hivi nikitongoza wanawake wa Kenya...
  6. L

    Naomba ushauri ndugu zangu

    Mimi ni Binti ambae nikiwa chuo mwaka wa mwisho nilidate na kijana mmoja anaeishi ktk mkoa ambako nilikosomea.. Nilikuwa namchukulia kawaida sana wakati huo hadi nikahitimu na mawasiliano yakapungua kadili siku zilivoenda na Mimi sijauona tatizo hata mawasiliano yalipoisha sikuumizwa wala...
  7. Kwa sasa bila VPN huwezi kupata Instagram wala Mtandao wa X

    Hali si Hali nchini Tanzania. Kwa sasa bila VPN huwezi kupata Instagram wala Mtandao wa X. Hali hii imeanza kujitokeza leo baada ya Mtanzania aishiye Marekani Mange Kimambi kuanza kuweka hadharani ushahidi wa kutisha namna Rais wa Tanzania na watu wake wa karibu wanavyolifisadi Taifa...
  8. Naomba leo nikufundishe umuhimu wa expansion joint kwenye jengo la gholofa

    Expansion joint ni sehemu muhimu katika ujenzi wa ghorofa kwani husaidia kupunguza athari za mabadiliko ya joto, mtikisiko wa ardhi, na upanuzi wa vifaa vya ujenzi. Hapa kuna umuhimu wake: 1. Kuzuia Nyufa na Uharibifu wa Muundo - Ghorofa hupitia mabadiliko ya joto ambayo husababisha upanuzi na...
  9. Naomba kuhoji kuhusu elimu ya Zanzibar

    Ukimtoa msomi nguli kutoka Zanzibar, Prof Makame Mbarawa ambaye binafsi namhusudu Hawa wengine naona hamna kitu Kuna wabunge wa Zanzibar wakichanga hoja wanaongea kama laymen tu Wabunge wa Zanzibar wanaitwa watu Kenge, Mwingine anasema eti Bora jeshi lingemuuwa Martha Karia, nimeshangaa...
  10. M

    Kuelekea uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025, naomba tukubali mabadiliko.

    Ni muhimu sana kwa viongozi wetu kuona hali halisi iliyopo sasa kuelekea uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025. Hali inaonesha kwamba, Watanzania wanataka mabadiliko. Kwa sababu viongozi ni kwa ajili ya Watanzania wapatao 60,000,000 na si kwa ajili ya viongozi wenyewe ambao pengine wanaweza wasifike...
  11. Naomba kazi fundi mitambo (mechanical technician)

    Naomba kazi fundi mitambo (mechanical technician) Mawasiliano inbox
  12. Naomba kazi fundi mitambo (mechanical technician)

    Naomba kazi fundi mitambo (mechanical technician) Inbox mawasiliano
  13. S

    Naomba kujua sababu za msingi za vijana wa Kenya wanaosema "Ruto must Go"

    Uzi tayari. Natanguliza shukrani
  14. O

    WATAALAMU NAOMBA KUJUA AI GANI NZURI KWA KUTENGENEZA VIDEO?

    HABARI ZENU NNATAKA KUTUMIA AI KUTENGENEZA VIDEO NAOMBA KUJUA IPI NZURI KATI YA GROK AI AU DEEPSEEK AU KM KUNA NYINGINE YOYOTE NZURI ZAIDI YA HZO NAOMBA KUJUA
  15. Kuna mKenya kaniuliza swali hapa naomba mnisaidie kujibu

    Baada ya kukamtwa na kurudishwa kwa baadhi ya wanaharakati wa Kenya na baadhi yao kuripotiwa kuteswa na kutupwa mipakani (Tanga na Kagera) Kisha kauli ya Rais kuwa hatakubali chokochoko, na kuwa katiba yetu haiingiliwi na mtu, jamaa kanikomalia kuwa ni kweli nchi yoyote ile duniani ina...
  16. Wale mabingwa wa kutukana waislamu na uislamu naomba mkuje pande hii mnisaidie jambo hili

    Kuna watu humu wanawatusi sana waislamu na uislamu wao. Wanawashutumu mambo mazito mazito. Sasa mimi naomba tufanye hivi... Madrasa tunazijua vizuri mitaani na wengine tunazifikia mpaka kuweza kujua hata mafundisho yatolewayo humo. Misikiti kadhalika ni hivyo hivyo Naomba hao watu, kwa moyo...
  17. Naomba jina la hotel iliyopo Tanzania ambayo huwezi kuingia bila kuthibitisha cheti cha ndoa

    Wakuu naomba mnisaidie jina la hotel yoyote ambayo huwezi kuingia bila kuthibitisha cheti cha ndoa. Best Regards
  18. R

    Wanasheria naomba mtuelimishe kwa hili la Boniface Mwangi

    Anasema ameteswa sana. Anaweza kuwashitaki wapi waliomtesa mana anawafahamu. Kuna Iternational courts za ku handle situation kama hii?
  19. Naomba kazi ya ufundi mitambo (mechanical technician)

    Naomba kazi ya ufundi mitambo (mechanical technician) Piga : 0756704145
  20. M

    Naomba msaada wenu, namba yangu inagoma kusajili whatsapp

    Naombeni Masada namba yangu imekataa kabisa kuji register kwenye whatsapp nimejaribu sana, Lakini inaandika hivi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…