Wadau, nina mke niliyeanza naue mapenzi mwaka 2010 baadaye akaenda kusoma certificate na akamaliza Diploma mwaka 2015.
Wakati huo aliniomba nimusaidie karo na matumizi shuleni na wakati walikizo alikjwa anakuja kwako anakaa kiasi na kuondoka. Mnamo mwaka 2016 alipata mtoto akaka kwa shemeji yake. Nami niliendelea kugaramia Kila kitu kama baba.
Mwaka 2020, niliamua kukaa naye na akahamia rasmi kwenye nyumba niliyokuwa nomejenga baada ya kufabya kazi kwa zaidi ya miaka 8kutokana na mishahara etc.
Sasa tangia amekanyaga kwangu kwanza anachukia hata watoto wandugu wanaopita kwetu kwenda masomoni.
Pili anaomba hera labda laki 3 ghafla nje ya bajet na ukiwa huna anakufungia nje ya nyumba au atapasua vioo vya nyumba au atachana nguo zangu kwa wembe.
Katika utafiti wangu nimesikia kunafygu wamemushauri anifanyie vituko ili ni overact harafu anipeleke polisi na mahakamani, nifungwe harafu nyumba na baathi ya pesa zilizoko benka amabzo sijamwabia zilizo basi zitafishwe kwa kisingizo za haki kupewa mwanamke kutunza yeye na mtoto.
Juzijuzi aliondoka na laptop yangu ikiwa na critical information na sijui Iko wapi inagea kakili kusema kaweka bond apate laki 5 alikuwa nazo, nimemuuliza aliiweka bond Kwa nani hataki kabisa kusema.
Huyu mwanamke sijatoa mahari sababu tangia kufika niliona vituko hadi nikashangaa hivyo sijapata moyo wakutoa mahari na hataki kuachika.
Wadau naombeni njia ipi Bora yakufanya ili likitokea la kupelekana polisi na mahakamani basi nia yake yakunidhurumu mali chache nilizonazo isifanikiwe na tuachane salama.
Nawashukuru sana