naomba ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Melancholic

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu ofa ya mshahara

    Wakuu hope mmeamka salama. Nina jambo kidogo nahitaji ushauri ndugu zangu, Mimi ni kijana wa kiume ni mkaz wa Dar es salaam ila kwa sasa nipo mkoa wa pwani kibaha nimejiriwa na mtu binafsi tunalipana kwa % yeye anachuka 40% mimi nachukua 60% na pia kaniamini kwa kiasi kikubwa sana na kabla...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri. Mwili wangu unawasha ukipatwa na mtikisiko wa muda mrefu

    Ikitokea sijafanya mazoezi (mfano ya jogging) angalau mara mbili kwa wiki, mwili huniwasha unapokumbwa na mtikisiko. Mfano: kama sijafanya mazoezi angalau mara mbili kwa wiki, siku nkifanya mazoezi tena, mwili huanza kuwasha, then huacha baada ya kutokwa jasho jingi wakati naendelea na...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri namna ya kuhama kozi chuo cha udom

    Samahani viongoz wangu!Nilikuwa naomba mnisaidie je naweza kuhama kozi katika chuo cha udom kutoka nursing kwenda pharmacy au md nanabidi nifuate hatua zp? Na itakuaje kuhusu mkopo? Naomben msaada wenu nilikuwa pcb ufaul wa CBC yan points 8
  4. Empty containers Tanzania

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri sisi watu wenye Akili nyingi nchi gani inatufaa kuishi na kufanikiwa ?

    Nauliza , kuna nchi gani inatufaa sisi great thinkers kuishi na kufanikiwa?
  5. nipo online

    JamiiForums Tanzania Napenda pikipiki TVS lakini eneo nililopo wateja wanapenda BOXER. Naomba ushauri.

    Nimepita vijiwe kadhaa hapa nimechunguza kisha nikaona pikipiki nyingi ni boxer ikabidi niulize wadau hapa majibu yao ni kua TVS humpakii mtu haya maeneo TVS nenda mbeya au dsm. Lakini hakunitajia sababu kwa nini wateja wanapenda BOXER.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Ndugu naomba ushauri akili imestack

    Mimi Nina umri Miaka 38 sasa Nina mahusiano na mwanamke tangu mwaka 2014 na tumezaa watoto 4 kati ya hao 1 Mungu amemchukua na sasa Hivi tuna ambaye mwezi wa 10 atatimiza mwaka na wawili wapo shule darasa la 3 na 2. Sijawahi kufika kwao tangu 2014 mpaka mwaka 2022 pale aliponiibia vitu vya...
  7. John kirua

    JamiiForums Tanzania Msaada: naomba ushauri.

    Mjumbe wa mtaa kaniletea barua ya wito naitajika kwa afisa mtendaji. Barua imeandikwa naitajika kwa 7bu ya kutolipa ela ya takaa Nimeshindwa kujua kwanza mm ni mtumish wa serikalini pia nipo single naishi mwenyewe nipo busy hata muda wa kushinda nyumbn sina mwez au wiki sirudi nyumbn kutokan...
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kati ya Bachelor of Arts in Economics na Bachelor of Economics and Finance

    Habari wakuu, kwa heshma kubwa naomba, nahitaji muongozo wenu. Nimepata: 1: Bachelor of Arts in Economics -Ardhi university 2: Bachelor of Economics and finance I F M. Naomba ushauri wenu wakubwa zangu nichukue ipi itakuwa bora zaidi. Nahitaji ku confirm chuo kwa Sasa hivyo muongozo wenu...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kati ya kozi hizo

    Habari wakuu, kwa heshma kubwa naomba, nahitaji muongozo wenu. Nimepata 1: Bachelor of Arts in Economics -Ardhi university 2: Bachelor of Economics and finance -IFM Nilisoma HGE ufaulu wangu ni 1.8 (History B, Geography C, Economics C,Bam D) Naomba ushauri wenu wakubwa zangu nichukue ipi...
  10. _pyt

    JamiiForums Tanzania BCom in Accounting at UDSM or BSc in Accounting and Finance at Ardhi University?

    Bachelor of commerce in accounting at udsm vs Bachelor of science in accounting and finance at ardhi university naomba ushauri niende course ipi apo
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu kozi na vyuo hivi

    Wakuu nimekuja kuomba msaada wa kunisaidia nisome ipi kati ya kozi hizi na vyuo hivi 1.Bachelor of arts in Economics _Ardhi university 2.Bachelor of Economics and finance _IFM 3.Bachelor of Agriculture investment and banking _SUA Nahitaji sana mawazo na muongozo wenu wakuu wangu,niende ipi...
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa Kozi ya kuchagua

    Habari wakubwa, Kwa heshma kubwa naomba ushauri Kwa Binti /kijana wetu anahitaji ushauri wa ki confirm kozi ambayo itakuwa Bora Zaid kwake Kwa ambazo amechaguliwa. Kozi zenyewe ni kama ifuatavyo 1. Bachelor of arts in economics_Ardhi university. 2. Bachelor of accounting with Information...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu biashara ya dagaa

    Naomba ushauri wenu waungwana je hii biashara ya dagaa ina lipa vizuri pia vipi kuhusu changamoto na hasara zake?
  14. Shaas

    JamiiForums Tanzania Nimeachwa na mtu ninayempenda sana, nimeshindwa kukubaliana na hali

    Mambo zenu. Guys nimeachwa na mtu ambaye nampenda sana nashindwa kuaccept situation. Naombeni Ushauri.
  15. J

    JamiiForums Tanzania Nina shida ya tatizo la Ngozi, naomba ushauri

    Shida hii ipo usoni tu na ni baadhi ya sehemu ya uso, ni kama vidoti vyeupe na ilinianza toka 2022. Nimetumia dawa za Mba lakini wapi, nikaenda pharmacy wakaanza kunipa dawa za  Fungus zakupaka na kumeza. Nikaja kwenda Hospital nikapatiwa pia dawa zakumeza siku 30 na yakupaka. Nimejikuta...
  16. BANGO JEUPE

    JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri Matumizi Mashine Ya Kufulia

    Habarini Ndugu Nyumba Ninayoishi haina miundombinu rafiki ya kutumia washing mashine , ingawa nyumba ina choo ndani na jiko na maji yanaflow ndani Naomba nijue mashine ipi itakua rafiki kwa matumizi ya familia kwa bajeti Isiyozidi laki 7 Pia nakaribisha mawazo mbadala mmefanyaje wadau Asante
  17. Right Way In Light

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wako juu ya kipi nifanye kwa hiki kilichotukumba kwenye ndoa

    Wakuu heshima kwenu. Polen na hongereni kwa majukumu yenu ya kila siku. Niko kwenye hali fulani ya mkanganyiko kidogo. Nasema kidogo kwasababu ni kama niko njia panda japo kuna njia ambayo kwa mujibu wa misingi ya imani na utamaduni na maadili yangu najua nitaiendea njia hiyo japo naona ni...
  18. Dollarssein

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Nataka nifungue duka la dawa

    Jamani wanaforums, nina mtaji wa kutosha kufungua duka la dawa (pharmacy)na nataka kusimama mwenyewe kwenye biashara yangu ila sina elimu ya afya na nina mpango wa kuanza chuo kwa ngazi ya diploma. Sasa naomba mnisaidie ushauri je nikasome kozi ipi kati ya PHARMACY na CLINICAL MEDICINE kwa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Naishi Arusha nataka kulima Tanga, naomba ushauri

    Nina shamba la familia wilaya ya muheza, kilapura, Tanga. Ni shamba lenye ukubwa wa ekari 8. Mimi nafanya kazi Arusha, hilo ndo jambo kubwa linalonipa mashaka katika usimamizi. Japo naweza pata muda wa kutembelea shamba mara moja au mbili kwa mwezi
  20. SweetyCandy

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Nifanyeje nirudie mwili wangu wa awali? Nimenenepa

    Mimi nataka kupungua nirudie upotable wangu sasa nitafanyaje niwe kadogo tena, sina mtoto mie kanene tu.
Back
Top Bottom