nani

Luís Carlos Almeida da Cunha ComM (born 17 November 1986), commonly known as Nani (Portuguese pronunciation: [naˈni]), is a Portuguese professional footballer who plays as a winger and captain for Major League Soccer side Orlando City SC. He represented Portugal in international football, and has played over 100 times for the senior national team.
Nani was born in Amadora, Portugal, and is of Cape Verdean descent. He began his football career playing for local side Real Massamá. At the age of nine, he began training with Sporting CP and S.L. Benfica on alternate days, eventually joining Sporting's youth squad after they offered him pre-season training.Nani made his professional debut with the club in 2005 and won the Taça de Portugal during his second season with them. Nani was named the SJPF Young Player of the Month for May 2007 and his performances with Sporting culminated into a move to English club Manchester United in July 2007 for a fee of €25 million.Nani won the Community Shield on his competitive debut at Manchester United and added a number of trophies, including the Premier League and Champions League during his debut season at the club. He established himself as first-choice winger at United and won a further three Premier League titles, the Football League Cup, one FIFA Club World Cup, and three Community Shield titles. Individually, Nani was included in the Professional Footballers' Association (PFA) Premier League Team of the Year on one occasion and was a nominee for the PFA Young Player of the Year in 2011. Following a loan back to Sporting, in which he won the Taça de Portugal, he was signed for £4.25 million by Fenerbahçe in July 2015, and a year later he signed for Valencia. He rejoined Sporting CP in July 2018.
Nani is also a Portugal international. After first playing at under-21 level, he made his debut for the senior Portugal team in September 2006 in a friendly match against Denmark and scored his first goal during the 4–2 defeat in Copenhagen. Nani has represented his country at four major tournaments, including three European Championships: he took part at the 2008, 2012 and 2016 European Championships, reaching the semi-finals of Euro 2012, and winning Euro 2016; he also participated at the 2014 FIFA World Cup with Portugal. Since his debut, he has made over 100 international appearances and scored 24 goals.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    "Utekwaji nyara wakosoaji, si sera. Ni doa la aibu!" Mwonekano huu wa Tanzania ya leo ni kwa manufaa ya nani?

    Hii ni tahariri yenye kutuakisi tulipo: Mwonekano halisi wa Tanzania ya leo. Ukweli mchungu: "Mtanzania gani anaweza kuwa mnufaika wa Tanzania hii? "
  2. Mhaya

    Safari ya Demokrasia Nchini Tanzania toka mfumo wa vyama vingi ulipoanza hadi leo

    Mwaka 1992 uliandikwa kama mwaka wa mabadiliko makubwa katika historia ya kisiasa ya Tanzania. Baada ya miaka mingi ya mfumo wa chama kimoja uliotawaliwa na TANU kisha CCM, shinikizo la kisiasa na kiuchumi lilianza kujenga msukumo mpya. Wanazuoni wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, waandishi wa...
  3. Mhaya

    GE2025 Paul Makonda anazunguka Nchi Nzima na Kuweka Mikutano kama nani?

    Nimeona Clip ya Makonda aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha na sasa mgombea ubunge Arusha akipita Kanda ya ziwa na maeneo mengine nchini na magari yake akihotubia umma na kusema watu wasikubali alichofanyiwa magufuli afanyiwe Samia. Mimi swali langu ni Makonda alitakiwa afanye kampeni zake Arusha...
  4. Idugunde

    Apotezwe nani ili Watanzania waingie barabarani kama Kenya?

    Kapotea Mdude watanzania wapo Kimya. Kapotea Ben Saanane wapo kimya. Kapotea Azory Gwanda wapo kimya. Orodha ni ndefu sana.... Je, Wakenya wangekubali ndugu zao kupotezwa namna hii na hao wasiojulika a?
  5. R

    Unashindana na nani?

    Wewe Lucas Mwashambwa unashindana na nani ? Unaponda hela za kodi zetu, unashindana na nani?
  6. funaku

    Ni nani mnufaika wa machafuko iwapo yatatokea?

    Kama wazalendo tujiulize sana tena sana ni nani shabiki wa machafuko nchini? Kwa nini kikundi kilekile ndio hubakia kuwa wachochezi wa fujo kila mwaka na kwa kila Rais? Kama Taifa changa je tumewahi kujiuliza ni nani huyu asiyetaka tukjikwamue kwenye umasikini kwa namna yetu wenyewe? Tutafakari
  7. sanalii

    Kama Serikali imeshindwa kujua anayeteka na kuua raia, maana yake imeshindwa kulinda Raia, iachie watakaoweza

    Ni simple logic, Samia ndio anaongoza serikali, vyombo vya usalama vinawajibika kulinda mipaka, raia na mali zao. Kama raia wanatekwa na kuuawa, na mwenye mamlaka yeye hahusiki na huo utekaji, lakini pia 1. Hajui watekaji ni kina nani 2. Huwezi kuzuia utekaji. Maana yake ameshindwa uongozi i.e...
  8. Huihui2

    Miaka 2 ya vita vya Israel dhidi ya Hamas, Hezbollah na Houthi. Nani kashinda?

    Oktoba 7, 2023 ndipo Hamas walivamia watu waliokuwa kwenye starehe na kuwafanya mateka. Nini kiliendelea? Viongozi Muhimu wa Kisiasa na Kijeshi Waliouawa Baada ya Operesheni Mafuriko ya Al-Aqsa mwezi Oktoba 2023, Israel imefanya mfululizo wa mauaji yaliyolengwa dhidi ya viongozi mashuhuri wa...
  9. baz kaiza

    Nani anaweza kusema kosa la Polepole?

    Polepole alikua anasema wahuni ndo kosa lake Je ni kweli wahuni wapo walikua wanachukia anayoyasema? Kwa hiyo maneno ya Polepole yalikua yana Ukweli sio propaganda za kisiasa. Kama ni kweli polepole katekwa basi tunakubaliana Polepole yote aliyokua anasema ni kweli. TANZANIA tuna safari ndefu...
  10. Ashampoo burning

    Je, Captain Tesha ni nani?

    Je kweli ni mwanajeshi au kavaat mavazi jeshi Je ni kweli yupo kikosi cha anga Je kuna watu wamesoma nae majirani wanaweza kuthibisha kuwa ni mwanajeshi JWTZ pia watoke watoe tamko nani ni captain tesha Kachafua hali ya hewa sana leo hapa nchini
  11. tonicimmobility

    (Kumbukizi) Lissu: Nani alisema kuingia barabarani ni haramu?

    Watanzania ifahamike ya kwamba kuandama barabarani kwa lengo la kutaka mabadiliko ni halali kwa mtanzania na imehalalishwa na katiba yetu na inaeleza kabisa kuwa jeshi la polisi litatakiwa kutoa msaada kwa waandamanaji kwa kuwapa ulinzi na kuhakikisha usalama wao. Shida inapokuja kwa viongozi...
  12. K

    Nguvu ya Kanisa dhidi ya haki, Bakwata na uchawa wa je unasimama na nani?

    Huu ndiyo ukweli wenyewe Kanisa limeamuwa kusimama na haki dhidi ya watawala huku Bakwata na baadhi ya Waisilamu wameamua kugeuka chawa kwa kweli Taifa linaenda kuwaka moto
  13. Mto wa mbu

    Kina nani walitumwa Kwa Lissu kwenda gerezani kumshawishi atoke, je Lissu ni tishio Kwa Serikali?

    Kwenye hii nchi machawa walikuwa wanamchukulia poa Lissu, lakini muda ume prove kuwa the man has influence. Serikali sio wajinga kuumiza kichwa na kutafuta exit plan ya kumwachia Lissu. Tuliambiwa na Heche kuwa Kuna team ilitumwa gerezani na Samia ya kumshawishi Lissu akubali kuachiliwa lakini...
  14. TUJITEGEMEE

    Nani Wanufaika Wakuu wa Foleni Jijini Dar es Salaam na Maeneo mengine Nchini?

    Nani Wanufaika Wakuu wa Foleni Jijini Dar es Salaam na Maeneo mengine Nchini? Na nani waathirika wakuu wafoleni hizi? Nini kifanyike kuwanusuru waathirika wakuu wa foleni hizi? Uzi tayari. Karibuni kwa majibu.
  15. kyagata

    GE2025 Kama wananchi ndio hawa wanaimba hawamtaki,anagombea ili amuongoze nani?

    Hii kitu imetokea huko kimara leo Abiria wa mwendokasi walikua wanaimba kuwa hawamtaki Samia. Cha ajabu police wamewakamata.
  16. Candela

    TRA mnafunga 'Comments' kwa nini, Mnampostia nani?

    TRA wamekuwa wakifunga maoni kwenye posti zao. Sasa najiuliza kwani wao wanafanya kazi na wananchi au wanafanyia maelekezo kutoka juu. Kama TRA inafanya haki kwa nini hawaweki maoni wazi ili watu watoe madukuduku yao.
  17. Mshana Jr

    Je nani kamuua Dickraka Mwamakula?

    Kamanda wa Polisi katika Mkoa wa Njombe, Mahamoud Banga ametoa taarifa ya kifo cha Dickraka Mwamakula (24) aliyekuwa askari wa Jeshi la Magereza katika Mkoa wa Njombe. Na kwamba, kijana Mwamakula alipotea tarehe 7 Septemba 2025. Lakini baadaye mwili wake umepatikana ukiwa amefukiwa shambani...
  18. Sifi Leo

    Mapepo yaliyotolewa na Makonda yalimwingia nani? Sasa we Gambo unabisha, ulikuwepo?

    Sasa wewe Gambo unabisha Makonda hakutoa mapepo, unabisha ulikuwepooooo? Je yalienda wapi mapepo hayoo? Ila siasa ni konyo wasemavya wapemba
  19. Ricky Blair

    Nani Hatari Zaidi?

    Yupi mtu hatari zaidi kati ya yule anayepigana na wewe hapo hapo au kugombana au yule anayehifadhi maumivu yake?
Back
Top Bottom