nani

Luís Carlos Almeida da Cunha ComM (born 17 November 1986), commonly known as Nani (Portuguese pronunciation: [naˈni]), is a Portuguese professional footballer who plays as a winger and captain for Major League Soccer side Orlando City SC. He represented Portugal in international football, and has played over 100 times for the senior national team.
Nani was born in Amadora, Portugal, and is of Cape Verdean descent. He began his football career playing for local side Real Massamá. At the age of nine, he began training with Sporting CP and S.L. Benfica on alternate days, eventually joining Sporting's youth squad after they offered him pre-season training.Nani made his professional debut with the club in 2005 and won the Taça de Portugal during his second season with them. Nani was named the SJPF Young Player of the Month for May 2007 and his performances with Sporting culminated into a move to English club Manchester United in July 2007 for a fee of €25 million.Nani won the Community Shield on his competitive debut at Manchester United and added a number of trophies, including the Premier League and Champions League during his debut season at the club. He established himself as first-choice winger at United and won a further three Premier League titles, the Football League Cup, one FIFA Club World Cup, and three Community Shield titles. Individually, Nani was included in the Professional Footballers' Association (PFA) Premier League Team of the Year on one occasion and was a nominee for the PFA Young Player of the Year in 2011. Following a loan back to Sporting, in which he won the Taça de Portugal, he was signed for £4.25 million by Fenerbahçe in July 2015, and a year later he signed for Valencia. He rejoined Sporting CP in July 2018.
Nani is also a Portugal international. After first playing at under-21 level, he made his debut for the senior Portugal team in September 2006 in a friendly match against Denmark and scored his first goal during the 4–2 defeat in Copenhagen. Nani has represented his country at four major tournaments, including three European Championships: he took part at the 2008, 2012 and 2016 European Championships, reaching the semi-finals of Euro 2012, and winning Euro 2016; he also participated at the 2014 FIFA World Cup with Portugal. Since his debut, he has made over 100 international appearances and scored 24 goals.

View More On Wikipedia.org
  1. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa hivi tangu serikali imejichagua yenyewe na kuapishana hakuna hata mmoja aliyekuja mbele ya umma sasa wanaongoza wakina nani ?

    Mpaka sasa hivi tangu serikali imejichagua yenyewe na kuapishana hakuna hata mmoja aliyekuja mbele ya umma sasa wanaongoza wakina nani ? Nilisema hakuna hata mmoja kati yao mwenye huo ubavu, na hali ya uwepo wa maandamano yasiyo ya kikomo ndio wanachizika kabisa Kitakacho tokea sisi...
  2. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Heche: Mauaji ambayo mmefanya kwa Watanzania leo mnasema mtaongoza?Mnataka kumuongoza Nani? Mnazungumza maendeleo ya nini?

    Kwa ukatili kama huu na mauaji ambayo mmefanya kwa Watanzania leo mnasema mtaongoza? Mnataka kumuongoza Nani? Mnazungumza eti maendeleo ya nini? Kwaajili ya nani kama mmeua watanzania na kuwatesa hivi? Maji, umeme, Barabara au kitu chochote bila binadamu kuwepo vina maana gani? Hili jeshi la...
  3. Pendaelli

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Onyesha sumu yako mapema watu wakujue wewe ni nani

    Ni msemo niliuona mahali kwamba onyesha sumu yako mapema nyoka asingekuwa na sumu watu tungemgeuza kamba! Kilicho tokea wakati wa kutangazwa mawaziri na manaibu wao alionyesha sumu yake mapema kabisa ili tujue yeye ni nani na kwamba si muoga wa maneno ya watu matamko na mijadala yao...
  4. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hivi Chakwera anajua anakuja kuridhiana nini na nani?

    Nimesikia amepanga kuonana na Maafisa wa Serikali, wawakilishi wa Mashirikia ya Kiraia, viongozi wa vyama vya siasa na wazee wa kimila, he is missing the target maana hao sio wahanga wakuu. Dr. Chakwera alipokutana na Dr. Samia. Asipokutana na vijana kwa kisingizio chochote labda kwa sababu...
  5. The Father of All

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kati ya Rais Samia na Gen Z nani anapaswaye kuomba au kutoa msamaha?

    Tuwe serious kidogo. Juzi, nilimsikia Rais Samia akijifanya Mungu na kutoa msamaha huku akikariri maneno ya kejeli kuwa tuwasamehe kwa vile hawajui watendalo. Nani hajui atendalo kati yake na wahanga wake yaani Gen Z? Nani anapaswa kuomba na kutoa msamaha kati ya wawili hawa. Nani...
  6. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Askofu Bagonza: Nani aliruhusu wauawe? Hata aliyehukumiwa kifo na mahakama ni mpaka mama aweke sahihi

    Anaandika Askofu wa Dayosisi ya Karagwe Kalikawe Lwakalinda Bagonza; NANI KAMA MAMA? Wekeni Mawe Chini! Najua hamtaki niseme NANI KAMA MAMA? Simaanishi huyo Mama mnayedhani nataka kumzungumzia. Basi wekeni mawe yenu chini ili niwasimulie: 1. Mama mmoja, Mjane, mwenye mtoto pekee na wa kiume...
  7. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Nani atazishauri mamlaka za Tanganyika?

    Taifa liko kwenye mkwamo wa vifo vya maelfu, maombolezo ni kila kina, vilio ni kila mahali matanga ni kote Wengine wamezika nguo... Wengine bado wanawatafuta wapendwa wao, sintofahamu ni kubwa sana kwa ambao hawajulikani walipo ... Majeruhi ni wengi, acha walio mahabusu na wale waliopewa kesi za...
  8. MEKADDISHKEM

    JamiiForums Tanzania Nani atamfunga Paka Kengele?- Taswira ya hali ya kisiasa Tanzania

    Katika hadithi maarufu ya “Nani Atamfunga Paka Kengele,” tunasikia simulizi la taifa la Panya lililovamiwa na Paka mwenye nguvu. Panya wanateseka, wanaishi kwa hofu, na hata sauti zao ndogo zinakuwa tishio mbele ya masikio makali ya Paka. Baada ya mateso ya muda mrefu, wanakusanyika kutafuta...
  9. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Hivi maridhiano yatakuwa kati ya nani na nani?

    1. Je kati ya serikali bandia vs wananchi? 2. Kati ya serikali na waliouliwa ndugu zao? 3. Je kati ya serikali na ndugu wa waliotekwa ? Ikumbukwe ile massacre wakati na baada ya uchaguz; 1. Wameuawa wapinzani 2. Wameuawa wana ccm 3. Wameuawa waandishi 4. Wameuawa in mass raia wa kawaida, 5...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kati huyu Mama anaekula na kusaza, na Mtanzania anaekula mlo mmoja kwa siku, nani mwenye amani kwa sasa?

    Hili ndio swali langu kumuhusu yule Mama wa Magogono anaeishi kwa kodi zetu. Mpaka hapo uzii umekamilika kwani kila kitu kinajulikana. Nyongeza: Kama anaumizwa na matusi, hizo picha kweli hazimuumizi? Majibu tafadhali.
  11. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baada ya kuua mamia kwa maelfu mnataka maridhiano. Mnataka turidhiane nini na nani?

    Watu MAMIA KWA MAELFU wameuliwa kwa MAKUSUDI kabisa pasipo chamber ya HURUMA wala UTU Kibaya zaidi KAULI NA MATENDO yao mpaka dakika hii,hayaonyeshi hata kwa bahati mbaya KUJUTIA kile walichikifanya Ajabu kuna watu wanatuambia story za maridhiano na kusubiri,kipi cha kuridhiana?kipi cha...
  12. Baba Kisarii

    JamiiForums Tanzania Kauli kinzani kati ya Rais na Mwanasheria Mkuu kuhusu waandamanaji

    Rais : Wandamanaji walikuwa raia wa kigeni. Mwanasheria Mkuu wa Serikali : Mange Kimambi ndo aliwachochea Watanzania mpaka wakaingia barabarani kuandamana. Sasa kati ya hawa tumuamini yupi?
  13. Raia Fulani

    JamiiForums Tanzania Kati ya watawala na wale waandamanaji ni nani mwenye mapenzi na Tanzania?

    Nikinukuu maneno ya Rais, kuwa "vurugu na uvunjifu wa amani huishia kupimana nguvu na uwezo wa kujihami, ila mazungumzo huzaa mshikamano. Sasa tuchague lenye manufaa kwetu, kwani usalama wa Taifa lolote hulindwa na wote kwa nguvu zote na gharama zozote" Niongezee kwa lugha ya sasa, kwa wivu...
  14. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tuone nani atapelekwa ICC kati ya Mange, Maria Sarungi Vs Viongozi wa Usalama

    Tuone nani atapelekwa ICC kati ya Mange, Maria Sarungi Vs Viongozi wa usalama Ni muda tu tutajua lakini kama mimi ni kiongozi wa ulinzi na usalama Tanzania mambo si mazuri
  15. Blue Bahari

    JamiiForums Tanzania Nani wa kuliponya taifa?

    Taifa limepondeka, Taifa lina majonzi, Taifa liko katika simanzi zito. Watanzania wengi wana majonzi, vilio kila kona, wanaomboleza kila kona. Simanzi na masikitiko vimejaa katika vifua vyao. Wapendwa wao wametoweka, hawatawaona tena asilani. Wengine hawajulikani walipo (hatujui wako hai au...
  16. The Box

    JamiiForums Tanzania Simulizi:Risasi Ya Nani?

    Risasi ya Nani? Na Kijana Wa Kizazi Kipya Dodoma Tanzania. Simulizi hii ni ya kubuni! Utangulizi Dodoma, jiji lililojengwa katikati ya nchi, liligeuka kuwa jukwaa la kizazi kilichochoshwa na ukimya. Ilikuwa usiku wa giza nene baada ya matokeo ya uchaguzi mkuu kutangazwa — matokeo...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Jaji Jacobs Mwambegele aliteuliwa na nani?

    Tuanze na hapo Watanganyika wenzangu,mpaka tufike kwenye point ni kweli anaweza kutangaza matokeo ya uchaguzi katika hii hari ya taharuki?
  18. U

    JamiiForums Tanzania INEC - Tanzania: Nani kampigia kura Samia Suluhu? Nani kapiga kura? Acheni ujinga huo mara moja wa kutangaza hayo mnayoita "matokeo ya uchaguzi"

    Wenye nchi (wananchi) hawakwenda wala kujitokeza kupiga kura kwa sababu tulisema toka mwanzo NO REFORMS NO ELECTION na mlitubeza na kudharau... Sasa hayo mnayoyaita "matokeo ya kura za udiwani, ubunge na Rais mmeyatoa wapi...? Bado mnaamini kuwa mtaendelea kututawala kwa uongo na udanganyifu...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Kosa na Mama Samia ni kupuuza wazee sasa nani atakuongelea! mwenye busara

    Kosa na Mama Samia ni kupuuza wazee sasa nani atakuongelea! mwenye busara. wazee kama Warioba na Kimiti wangeweza kuongea na kunyamazisha vijana lakini dharau na kejeli za viongozi wa CCM na ubinafsi wa Raisi Mstaafu Kikwete sasa nchi haina mtu mmoja wa kuongea na kusikilizwa mwenye busara...
  20. Sam pizzo

    JamiiForums Tanzania Ni nani wa kulaumiwa?

    Kutokana na hali ya maandamano ya Leo na machafuko yanayoendelea nchini ni dhahiri serikali na jopo lao lote ambao waliamua kutumia nguvu ,utekaji,ukiukwaji wa haki za binadamu,kufunga upatikanaji wa taarifa wanapaswa kuchukuliwa hatua Kali za kitaifa na kimataifa. Kesi ifunguliwe mahakama ya...
Back
Top Bottom