nani

Luís Carlos Almeida da Cunha ComM (born 17 November 1986), commonly known as Nani (Portuguese pronunciation: [naˈni]), is a Portuguese professional footballer who plays as a winger and captain for Major League Soccer side Orlando City SC. He represented Portugal in international football, and has played over 100 times for the senior national team.
Nani was born in Amadora, Portugal, and is of Cape Verdean descent. He began his football career playing for local side Real Massamá. At the age of nine, he began training with Sporting CP and S.L. Benfica on alternate days, eventually joining Sporting's youth squad after they offered him pre-season training.Nani made his professional debut with the club in 2005 and won the Taça de Portugal during his second season with them. Nani was named the SJPF Young Player of the Month for May 2007 and his performances with Sporting culminated into a move to English club Manchester United in July 2007 for a fee of €25 million.Nani won the Community Shield on his competitive debut at Manchester United and added a number of trophies, including the Premier League and Champions League during his debut season at the club. He established himself as first-choice winger at United and won a further three Premier League titles, the Football League Cup, one FIFA Club World Cup, and three Community Shield titles. Individually, Nani was included in the Professional Footballers' Association (PFA) Premier League Team of the Year on one occasion and was a nominee for the PFA Young Player of the Year in 2011. Following a loan back to Sporting, in which he won the Taça de Portugal, he was signed for £4.25 million by Fenerbahçe in July 2015, and a year later he signed for Valencia. He rejoined Sporting CP in July 2018.
Nani is also a Portugal international. After first playing at under-21 level, he made his debut for the senior Portugal team in September 2006 in a friendly match against Denmark and scored his first goal during the 4–2 defeat in Copenhagen. Nani has represented his country at four major tournaments, including three European Championships: he took part at the 2008, 2012 and 2016 European Championships, reaching the semi-finals of Euro 2012, and winning Euro 2016; he also participated at the 2014 FIFA World Cup with Portugal. Since his debut, he has made over 100 international appearances and scored 24 goals.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hivi ni nani alotudanganya kuwa wasiwasi ndio akili? Sio kweli, udadisi ndio akili

    Unataka kuwa na akili? Tena kimsingi sio kutaka kuwa na akili, bali ni je? Unataka kuzitumia akili ambazo tayari unazo? Na je Unataka mwanao aweze kutumia akili alizojaaliwa kwa kuzaliwa tu akiwa Homo sapiens a wise humanoid? Je unataka awe mwenye uwezo wa kujifunza? Ni kweli matumizi...
  2. JamiiForums Tanzania Ni kina nani hawa watoto wa mjini (Born town), wanajihusisha na nini?

    Mara kadhaa nimekuwa nikilisikia hili "watoto wa mjini" ama "Born town". Jambo ambalo limenifanya nitake kujua kuhusu wao ni kina nani na wanajishughulisha na nini...?? Fikra zangu kuhusu wao.. Hii ni nadharia au fikra zangu kuhusu wao.. kama jina lao lilivyo watoto wa mjini, nahisi mambo yao...
  3. JamiiForums Tanzania Nani alisema ukuta wa mabanzi ni sawa na Ukuta wa Yeriko? Mechi 7 goli 7 kunyavu! Clean sheet inatafutwa kwa tochi!

    Namtafuta aliyewapa jina la ukuta wa yeriko awa jamaa, inawezekana alikuwa amebugia k vant na ugoro akajitamkia tu! Timu inayojiita imekamilika Kila idara inaruhusu mabao Kila mechi, aijalishi inakutana wapi na uwanja Gani, ikipelekewa moto tu kidogo inakuwa Kama Tenga la kuuzia nyanya matobo...
  4. JamiiForums Tanzania Kati ya Onana na Max nani bora?

  5. U

    JamiiForums Tanzania Nani kiungo bora kati ya Max Nzengeli na Feisal Salum

    Tuongee ukweli sote tunajua Feisal ndo kiungo namba moja mzawa Kwa ubora nchi hii, na kiungo wa nje ya nchi Bora wako wengi. Tupo kijiweni tunajaribu kuangalia nani mkali hasa kati safi ya kiungo kati ya Max Nzengeli na Feisal Salum. Nani ana uwezo mkubwa kuliko mwenzake. Hatumuongelei Chama...
  6. JamiiForums Tanzania Makonda anaposema hatalipa kisasi, kwani alifanyiwa mambo gani mabaya na kina nani?

    Bila shaka Mko Pouwa! Makonda amesema mbele za Watu kuwa hatalipa Kisasi, kumaanisha kuwa kundi kubwa la Watu analoliambia kuwa hatalipa Kisasi linajua mabaya aliyofanyiwa Makonda. Hapo kwa upande wangu nimeachwa kidogo kwa sababu sijui nini na kina nani walimfanyia ubaya Makonda mpaka kufikia...
  7. JamiiForums Tanzania Nani mkali wa kudance kati ya Chino wanaman vs Msami

    Habari wana jf ,nani mkali kati Chino kidd vs Msami.
  8. JamiiForums Tanzania CCM imesahau kuwateua Makatibu wenezi CCM mikoa nchi nzima, Makonda utafanya kazi na akina nani?

    Uchaguzi mkuu wa CCM ulifanyika Oktoba 2022, ambapo makatibu wenezi wa CCM mkoa hawakuchaguliwa kipindi hicho na mwenyekiti amesahau kuwa alisema wenezi wa CCM mkoa watateuliwa. Hadi leo hawajawahi kuteuliwa, sasa Makonda utafanya kazi na nani? Kazi ya kwanza teua wenezo wa CCM mkoa ili uanze...
  9. JamiiForums Tanzania Aliyesema siasa zinahitaji vyeti nani?

    Bado naona watu wanapambana humu kuhusiana na shule ya Makonda, ni wangapi wana makaratasi kibao vyeti vya vyuo wameshindwa kujimanage siasa ni karama ni uwezo binafsi wa kujaaliwa na Mwenyezi Mungu usiohitaji masters au PHD zikiwepo ni added advatage. Ukitaka kajipime na Kishimba au msukuma...
  10. JamiiForums Tanzania Mama kabandika picha sebuleni ambazo yumo ex, mke kazing'oa. Hapa kosa la nani?

    JE, HUU NI UUNGWANA? Mama wa rafiki alikuja na picha ya frem ili aiweke sebuleni, kwenye picha yupo yeye, rafiki yake mwengine na ex wake. mke wake alipofika nyumbani aliitoa hio picha, mama akaanza kulalamika kagharamika na kutumia muda mwingi kuchagua picha. mama akaanza kumwambia kachagua...
  11. JamiiForums Tanzania Al Ahly kukipiga na Mamelodi nusu fainali AFL. Nani atatinga fainali?

    Baada ya Simba kushindwa kufua dafu ugenini Al Ahly wapata nafasi ya goli la ugenini kanuni yaibeba Al Ahly mpaka nusu fainali ambapo anakutanishwa na wamba wa Afrika Kusini. Mamelodi waibuka kidedea baada ya kumpiga mpinzani wao bao 2-0 katika mchezo uliopita, Jana Mamelodi walishindwa kuona...
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Wanaoichukia Simba kubalini tu maumivu, Al Ahly atawaangusha!

    Nawaheshimu Al Ahly, lakini si kwamba hawafungiki, leo watalazimika kulitema tonge kabla hawajalimeza! Hii itapelekea wanaoichukia Simba kuumia sana! Ila sina jinsi ya kuwasaidia itabidi wajiandae tu kisaikolojia! Niwaombe tu akina Laban Og, Nalia Ngwena, Genta nani vile…. na wengineo...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kati ya Feisal, Chama na Aziz Ki nani zaidi?

    1. Feisal 2. Chama 3. Aziz Kii. Nani zaidi
  14. JamiiForums Tanzania Utiaji saini Mikataba ya DP World: Hakukuwa na haja ya kuwatupia vijembe TEC

    Halikuwa jambo la kiungwana. Wahusika mnisikie na kunielewa. Jana, pale Ikulu Chamwino kwenye utiaji saini mikataba mitatu ya uwekezaji katika Bandari ya Dar es Salaam kati ya Serikali/TPA na DP World vilirushwa vijembe kwa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC). Tuliofuatilia tunajua kuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Utiaji saini Mkataba wa Tanzania na DP World: Mkataba utakuwa wa miaka 30 na utendaji kazi wake utapimwa kila baada ya miaka 5 na sio miaka 100

    Fuatilia yanayojiri kutoka Ikulu kwenye Halfa ya utiaji saini wa Mikataba mahsusi 3 ya uwekezaji Bandari ya Dar es salaam, leo Oktoba 22, 2023. https://www.youtube.com/live/N6izYMjIOaI?si=O_YQZdZcwAOJWWpD MKURUGENZI MKUU WA TPA, PLASDUCE MKELI MBOSSA Uwekezaji huu wa Serikali kupitia TPA...
  16. JamiiForums Tanzania Rasmi: Maandamano ya kupinga mkataba wa bandari ni tarehe 9 Novemba 2023

    Rasmi sasa maandamano yetu ya amani ya kupinga mkataba wa bandari ni tarehe 9 Novemba 2023 kama tamko linavyojieleza. Watanzania anzeni kujiandaa na mvua za manyunyu kabla hatujaanza na mvua za mawe.
  17. JamiiForums Tanzania Nani katibu mwenezi ajaye baada ya Mjema kutumbuliwa

    Makonda is loading........
  18. JamiiForums Tanzania Dkt. Dyaboli Moyo aliyeandika kitabu chenye "ukakasi" Wasomi Wajinga ni nani?

    Juzi kati nilikutana na hiki kitabu kinaitwa Wasomi Wajinga. Katika kukipitia nilikuta kina mambo ya kushangaza sana. Ni kama zile play za Kezilahabi. Kina maneno makali na yenye ukakasi. Nimejaribu kumgoogle muandishi wake Dr Dyaboli Moyo nimeambulia patupu. Hata humu JF sijaona sehemu...
  19. JamiiForums Tanzania Wanasimba nani anapaswa kuanzisha uzi wa mechi ya kesho?

    Pendekeza jina hapa ili ajue kuwa anatakiwa kuandaa uzi mzuri maana tukichelewa tu, akina Labani og na NALIA NGWENA hawakawii kutuletea uchawi. Kila la heri Lunyasi
  20. JamiiForums Tanzania Je, Nani anaweza kupata tiba ya Chiropractic?

    Jibu la haraka ni mtu yoyote. Tiba ya chiropractic inasimama zaidi kwenye kinga kuliko tiba, unapata kinga kwaajili ya kuzuia magonjwa ya uti wa mgongo na magonjwa mengi ambatanishi. Ijapokua tiba hii watu wengi wanaitilia maanani wakiwa tayari wangonjwa amabo pengine hata kutembea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…