Nani aliwashauri Makampuni ya Mawasiliano kushughulikia matatizo ya wateja wao kupitia mitandao ya kijamii?

Mchoraji Cyper255

JF-Expert Member
Nov 21, 2012
1,758
6,087
Ni hivi wakuu,

Ni nani aliyewashauri haya Makampuni ya Simu kutoa Huduma ya Wateja kwa njia ya sauti na kuipeleka kwenye mitandao ya kijamii?

Yaani ukipiga simu unaambiwa unaweza kuchat na sisi kwenye mitandao ya kijamii, na ukienda kuuliza shida yako huko wanachelewa kujibu mpaka unatoka online.

Baadaye mnaanza kuchat kwa kuchengana, mwishowe unakosa ufumbuzi wa tatizo lako.

Bora zamani ilikuwa ukipiga, unahudumiwa haraka na unapata ufumbuzi wa tatizo.
 
Back
Top Bottom