namna

Namnå is a village in the municipality of Grue, Innlandet county, Norway. Its population (2005) is 394.

View More On Wikipedia.org
  1. Msaada wa namna ya kukabiliana na ugumu wa maisha.

    Habari za leo wanajukwaa, poleni na majukumu... Maisha siku za karibuni yameniwia magumu, tafadhali mwenye mbinu za kukabili hali hii anisaidie.. Biashara ndogo ninayofanya ambayo siku za nyuma ilikuwa ikinitunza sasa imeyumba.. Kuna muda naishiwa nguvu nakata tamaa.. Naona Msongo wa Mawazo...
  2. Tusahau kuindoa CCM kupitia ballot box

    Unjani sabuwona Kwa hali niliyoiona jana pale Dodoma kamwe ccm haiwezi kutokana madaraka kwa kutumia ballot box hawa watu wamejipanga kweli kweli kila kitu ni Chao. Hapa nielewe sijamaanisha itumike violence hapana let make sure that katiba mpya inapatikana soon as possible ili mambo...
  3. USHAURI: Ndoa inaelekea kunishinda sina namna, naumia sana

    Habari Wanajamvi Leo naomba niwasilishe mkasa wangu unaonisibu hivi Sasa katika Maisha Yangu....Ndoa...Ndoa..Ndoaaa.. Baada ya kusaka Life Miaka 2 Nyuma na kujihakikishia Uwezo wa Kula kuvaa, Malazi, Starehe Nikiwa na Miaka 24 tu Nikaamua kumtafuta Mwenza wa Kujenga nae Life.. Nikampata binti...
  4. Madhara ya Ongezeko kubwa la joto kiafya na namna ya kuyakabili

    Mwili wa binadamu huhifadhi joto lake kwenye wastani wa nyuzijoto 37. Mabadiliko madogo yasiyozidi nyuzijoto 1 yanaweza kutokea muda wowote wa siku kutokana na athari mbalimbali za kimwili na kimazingira. Katika msimu huu ambao baadhi ya maeneo mengi ya nchi hayapati mvua za kutosha, baadhi ya...
  5. Simu ya kinabii iliyopelekea Rais wa nchi kurudisha jengo la kanisa lililoporwa na wasaidizi wake

    Miaka fulani mkuu wa polisi, katibu wa chama tawala na jaji mkuu wa nchi moja kusini mwa jangwa la sahara waliamua kuchukua jengo la kanisa kupitia kesi ya kutengenezwa. Askofu Oyedepo alipoambiwa akasema, "Mungu ni mkubwa na anaweza kujilinda na kujitetea yeye mwenyewe." Akawaambia viongozi wa...
  6. Muongozo wa namna ya kuoshea viatu vya ngozi kama hivi

    Wakuu nipeni ujuzi hapa.. viatu vya ngozi kama hv naosha kwa kutumia maji ya kawaida, valve/spay, au Sabuni..? Nipeni utaalamu maana naweza kuviharibu hv viatu paso kujua..
  7. Jifunze kuhusu utapeli mitandaoni na namna ya kuwatambua

    Siku hizi kumekuwa na utapeli mkubwa sana kwa njia ya mtandao, leo nitaelezea njia ya biashara na namna unavyoweza tapeliwa. Biashara ni nyingi sana mtandaoni kama biashara ya nguo, viatu, simu, laptop na nyingine nyingi. Wapo wafanyabiashara ambao siyo matapeli na wapo matapeli. Namna ya...
  8. RC Iringa na maandamano ya feki ya wakulima Iringa kumpongeza Rais Samia

    Leo nawaelezakile am.acho. nimekishuhidua na kukwazika nacho leo kwa upuuzi wa ajabu wa huyu mama alichotufanyia leo wakulima wa mkoa wa Iringa. Ni hivi, jana mchana nilipigiwa simu na bwanashamba wa hapa kata moja ya hapa Iringa Manispaa kuwa RC anatuhitaji wakulima 20 toka Manispaa ya Iringa...
  9. T

    Nguvu inayotumika kunyukana kwenye chaguzi za CCM iwaamshe wapinzani wafikirie upya namna ya kufanya siasa

    Inavyoonekana kupata uongozi ndani ya ccm ni jambo la kufa na kupona ndio maana uchaguzi wao una vitimbi na vituko vingi Kwa kiwango cha kufuatiliwa sana na wafuasi na wasiowafuasi. Kilichonitisha ni misuli inayotumika kushinda uchaguzi. Misuli hii inawajengea ccm uzoefu wa kushinda kwa njia...
  10. Tambua namna ya kujua uhalali wa mileage ya gari unalonunua Yard au kwa mtu

    Wakuu Habari, Leo nimeona nielezee kidogo kwa namna gani unaweza kujua uhalali wa kilometer zinazosoma kwenye gari unalotaka kununua either mkononi kwa mtu ama yard. Hii njia haitaweza kuapply kwa magari yote kwa sababu mbali mbali ikiwemo kwamba kipindi fulani hapa nyuma magari yalikuwa...
  11. Kipindi cha Mr. Right ni kizuri Ila namna kinavyofanyika kinaaibisha na kudhalilisha Wanawake

    KIPINDI CHA MR. RIGHT NI KIZURI ILA NAMNA KINAVYOFANYIKA KINAAIBISHA NA KUDHALILISHA WANAWAKE. Anaandika, Robert Heriel Kuhani. Ingawaje ni aibu kubwa Kwa mwanamke kutoka hadharani na kutangaza kukosa mume WA kumuoa lakini hiyo tunaweza kusema ni kasumba tuu Mbaya. Taikon ninaamini hata...
  12. Kuhusu umeme tumuamini nani? Maharage au Byabato? Kuna namna hapa

    Huyu ni Maharage. Huyu ni Byabato
  13. Hakuna anayemhujumu Rais Samia. Wananchi kwa macho yao wanaona namna anavyoboronga ila hawana mbadala kwa sasa

    Bei ya vya vyakula ni mateso raia wa kawaida sasa ni mateso kuishi Tanzania kwa raia wa kipato cha chini. Maana kula imekuwa anasa. Wale mabwenyeye CCM wasio na huruna na raia wanyonge wameshika hatamu. Maana umeme kero,.maji kero ajira kero na amayeumia ni mlalahoi. Madeni ya taifa...
  14. Kuna namna ya kufupisha muda wa simu kuita ukipigiwa?

    Habari wakuu sana, Kuna zile simu unapigiwa lakini unakuwa hautaki kupoke au muda huo hauwezi kupokea kwa sababu mbalimbali. Sasa zinaita muda mrefu inakuwa kero na kukata huwezi. nimeona kuwa kwa wastani simu inaita sekunde 30-45. Kuna namna ya kufupisha labda iite sekunde 5 au 10 hivi...
  15. Kuna namna natamani kuwa sijui kwa jinsi gani itawezekana

    Habari zenu wanajukwaa. Naamini wote ni wazima poleni kwa wale wenye changamoto Mungu awatangulie 🙏. Niende moja kwa moja kwenye Mada. Kiufupi nimechoka namna jinsi gani nilivyo. Simaanishi sijipendi au sitamani tena kuishi... lahasha ila kama binadamu tungekuwa kama namna...
  16. Msaada, namna ya kuwa register ERB bodi ya wahandisi

    Habari za muda wadau wa jukwaa,naomba kwa anaejua anisaidie namna ya resubmit vyeti vyangu kwenye ukurusa wa erb
  17. Msaada namna ya kuwa register erb bodi ya wahandisi

    Habari za muda huu wakuu,naombeni msaada namna ya kuresubmit vyeti vyangu hapa
  18. Mtanzania akifukuzwa kazi, utamsikia 'Nimeamua kuacha, Nifanye mambo yangu' hasemi kuwa nimetimuliwa

    Ahahahaha, Naanza kwa kucheka maana nimekutana na visa vingi vya namna hii. Kuanzia wale walioondolewa kwa vyeti fake na sababu zingine ilikuwa ukiwapigia simu mtu anakuambia kuwa NIMEAMUA KUACHA NIFANYE MAMBO YANGU. Then siku mbili mbele anakupiga sound umsaidie jambo fulani la kifedha au...
  19. Kulingana na namna Rais Samia anavyoupiga mwingi. Basi aishi miaka mingi (Milele)

    Wakuu amani iwe nanyi. Baada ya kushuhudia mateso makuu ya kimwili na kiroho katika awamu ya Tano, naam amani imerejea rasmi maana naiona milango ya mafanikio ikifunguka mmoja baada ya mwingine. Katika awamu hii ya sita nimeshuhudia Kwa macho yangu namna maisha ya wengi yalivyobadirika...
  20. Shirikisha Watu Wafuatao Kwenye Utafutaji wa Fedha Kwa Ajili ya Taasisi Yako

    Utafutaji wa fedha kwa ajili ya Taasisi yaani "Fundraising Process" ni jambo muhimu sana kwa ustawi wa Taasisi. Kupitia "fundraising process" Taasisi itaweza kupata fedha kwa ajili ya; kutekeleza miradi, kugharamia shughuli za uendeshaji n.k. Jukumu la utafutaji wa fedha kwa Taasisi nyingi za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…